Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hivyo ndivyo nilivyoelewa ,je Kuna namna yoyote mashabiki watz wanawadharau wenyeji na kuheshimu wageni ,nikiwa na maana je Kuna mchezaji mzawa yanga haheshimiwi na alistahili heshima na Kuna mgeni anaheshimiwa ingawa hakustahili heshima!?
Ila mkuu si unaona mwenyewe Konkoni hadi alivunjiwa mkatabaLeo leo kuna tu alisema kuwa Mzize akikosa goli huwa anatukanwa sana lakini mchezaji wa nje akikosa goli hatukanwi matusi ya namna hiyo. Hiyo ndiyo kitu aliyokuwa anaisistiza
Binafsi naamini watanzania wamekuwa na mchango mkubwa sana katika kukua kwa soka letu kwa kwenda uwanjani kwa kufatilia kwenye tv na hata kusifia kwenye social mediaLeo leo kuna tu alisema kuwa Mzize akikosa goli huwa anatukanwa sana lakini mchezaji wa nje akikosa goli hatukanwi matusi ya namna hiyo. Hiyo ndiyo kitu aliyokuwa anaisistiza
Na watambue tu Aucho ako huru kutoa maoni yake ila siyo kutuangia.Aliimbwa Amis Kiiza,Tambwe ,Kamusoko Ngoma,Okwi ,Ambani ,Berko na Junior Lokosa na Mbiyavanga.Hao wawili wa mwisho nimetaniaLabda hatujui watz, sisi tunaishangilia team na wachezaji wake wotee. Huyo feisal si aliimbwa kuliko hata aziz?? Unaona baka anavyoimbwa uko njee?? Sisi hatulishabikii wala kulishobokea taifa la mchezaji, sisi tunamsapoti mchezaji wa yanga anayeperform ijapokuwa ni mzawa au ni mgeni. Kumbukeni aliimbwa ngasa, akaja msuva, boko na bado watakuja. Aziz angekuwa mchezaji wa ihefu au azam, wala hasingekuwa homa ya jiji
Ni kweli kabisa hayo mataifa hayawezo hata kidogo kulingana na Tanzania kimpira kwanzia kwanzia ndani ya uwanja mpaka kwa mashabiki....Congo mshindi wa Chan na 4th runner wa Caf
Misri mshindi wa mda wote wa mashindano ya caf (ingawa Tau alikuwa analipwa pesa nyingi sana)
Hayo mataifa huwezi linganisha na Tanzania ndugu mwelevu
Nakumbuka Bocco alikuwa anatukanwa na kuitwa majina mengi sana ya ajabu na mashabiki wa simba kwa kukosa kosa magoli, lakini Emmanuel Okwi na Meddie Kagere wakionesha kiwango kibovu walikuwa wanatetewa sana si tu mashabiki wa simba bali mpaka Medias za hapa kwetu zinawatetea...Leo leo kuna tu alisema kuwa Mzize akikosa goli huwa anatukanwa sana lakini mchezaji wa nje akikosa goli hatukanwi matusi ya namna hiyo. Hiyo ndiyo kitu aliyokuwa anaisistiza
Hao ma legend wamebadilisha Nini kwa Tau na maneno Yao mbona hadi Leo Tau yupo na hela anakula na hakuna kitu wamefanyaNi kweli kabisa hayo mataifa hayawezo hata kidogo kulingana na Tanzania kimpira kwanzia kwanzia ndani ya uwanja mpaka kwa mashabiki....
Wao hawana ulimbukeni na ujinga wa kumlamba makalio mgeni na kumpuuza mzawa, Mayele huyu aliyeluwa anaimbwa kama Mungu mtu pale Jangwani yuko kule Misri, umeskia juzi alichokisema kwenye interview yake? Kule hata ufunge goli mia kwa msimu hakuna media hypes wala shobo za kipuuzi kutoka kwa mashabiki kama ilivyo bongo.
Kuhusu Percy Tau natambua ni mmoja wa wachezaji wanaolipwa pesa ndefu pale Misri lakini huyo huyo Tau malegends na mashabiki wengi tu wa National al Ahly wanaamini anapewa hela nyingi isiyoendana na kiwango chake... na pia wamisri wanawapenda zaidi El Shaat na Kahrab kuliko Tau tofauti na nyie wabongo ambao mnapenda sana Guedes kuliko Mzize.
Ni namna ya kuonesha tunathamini mchango wa Kila mtu kwenye teamMbona hata yeye tunamuita dr na alisema anafurahi kuitwa hivyo au anaonea wivu akina pacome kupendwa zaidi..
Naomba kwa upuuzi wangu na denial nianze kukulamba matako braza naahidi sitakuangusha mzawaNakumbuka Bocco alikuwa anatukanwa na kuitwa majina mengi sana ya ajabu na mashabiki wa simba kwa kukosa kosa magoli, lakini Emmanuel Okwi na Meddie Kagere wakionesha kiwango kibovu walikuwa wanatetewa sana si tu mashabiki wa simba bali mpaka Medias za hapa kwetu zinawatetea...
Mleta mada hataki kukubali kwamba watanzania wame embrace sick culture ya kuwathamini na kutukuza wageni kuliko wazawa kitu kinachopelekea mpaka hao hao wageni watudharau... ngoja tumuache na upuuzi wake abaki kwenye denial
Mtu anapewa heshima kwa kazi yake sio kwa utaifa wake Messi ana heshima kubwa Barcelona sababu ya legacy yake, utawaambia nini Real Madrid juu ya Ronaldo pamoja kua anatoka Portugal?Ni kweli kabisa hayo mataifa hayawezo hata kidogo kulingana na Tanzania kimpira kwanzia kwanzia ndani ya uwanja mpaka kwa mashabiki....
Wao hawana ulimbukeni na ujinga wa kumlamba makalio mgeni na kumpuuza mzawa, Mayele huyu aliyeluwa anaimbwa kama Mungu mtu pale Jangwani yuko kule Misri, umeskia juzi alichokisema kwenye interview yake? Kule hata ufunge goli mia kwa msimu hakuna media hypes wala shobo za kipuuzi kutoka kwa mashabiki kama ilivyo bongo.
Kuhusu Percy Tau natambua ni mmoja wa wachezaji wanaolipwa pesa ndefu pale Misri lakini huyo huyo Tau malegends na mashabiki wengi tu wa National al Ahly wanaamini anapewa hela nyingi isiyoendana na kiwango chake... na pia wamisri wanawapenda zaidi El Shaat na Kahrab kuliko Tau tofauti na nyie wabongo ambao mnapenda sana Guedes kuliko Mzize.
Mifano ni mingi sana ila ukifanya mtz ili kufurahia mpira na maisha yaendelee unaitwa majina mengi sana mabaya which is not goodMtu anapewa heshima kwa kazi yake sio kwa utaifa wake Messi ana heshima kubwa Barcelona sababu ya legacy yake, utawaambia nini Real Madrid juu ya Ronaldo pamoja kua anatoka Portugal?
Hakuna kingine cha maana ambacho ungeweza kuja nacho zaidi ya hii comment, mpumbavu ueleweshwa hili kuondokana na upumbavu wake... lakini kama akiendelea kuukumbatia upumbavuu wake licha ya kuelezwa kwanin yeye ni mpumbavu... sasa acha nikuache na upumbavu wako fala weweHao ma legend wamebadilisha Nini kwa Tau na maneno Yao mbona hadi Leo Tau yupo na hela anakula na hakuna kitu wamefanya
Mkuu kama unaona shida azizi kulambwa makalio(kama unavyosema kwenye maandiko Yako mengi)basi njoo ulambwe wewe maana naamini wajinga na Malimbukeni wa bongo hawatashindwa kukulamba hadi ulowane chapachapa ili upunguze maneno ya hovyo uanze kutoa miguno
Wewe ni wale wale tu mashabiki hoya hoya walamba makalio ya wageni... hujaelewa chochote na huwezi kuelewa kwa akili zako, endelea na unacho kiaminiMtu anapewa heshima kwa kazi yake sio kwa utaifa wake Messi ana heshima kubwa Barcelona sababu ya legacy yake, utawaambia nini Real Madrid juu ya Ronaldo pamoja kua anatoka Portugal?
Mi naomba nikulambe kuondoa upumbavu ila unarukaruka sana sema sio kesi one day yesHakuna kingine cha maana ambacho ungeweza kuja nacho zaidi ya hii comment, mpumbavu ueleweshwa hili kuondokana na upumbavu wake... lakini kama akiendelea kuukumbatia upumbavuu wake licha ya kuelezwa kwanin yeye ni mpumbavu... sasa acha nikuache na upumbavu wako fala wewe
Upumbavu wa asili huwa hauondoki kirahisi, so ni obvious wewe utazikwa nao matako weweMi naomba nikulambe kuondoa upumbavu ila unarukaruka sana sema sio kesi one day yes
Wewe ni wale wale tu mashabiki hoya hoya walamba makalio ya wageni... hujaelewa chochote na huwezi kuelewa
Tunajadili mpira au kupambana makalio?Wewe ni wale wale tu mashabiki hoya hoya walamba makalio ya wageni... hujaelewa chochote na huwezi kuelewa kwa akili zako, endelea na unacho kiamini