Audi A4 Gari Moja Ya Kichawi Sana, Twende Pamoja utanielewa

Utazijuaje Sasa kuwa hii ndio nzuri kununua Elivate

Sent using Jamii Forums mobile app
Anza na kuangalia mileage na mahala gari ilipokua yani mazingira ya location yake ili ujue gari ilikua inatumika katika mazingira gani. Maana mazingira pia huchangia kwny kuchosha baadhi ya component za engine kama gari imetembea mileage kubwa kwny lets say maeneo yenye baridi kwa kipindi kirefu. Lakini overall Audi A4 za 2010 (zenye facelift) kwenda juu ndo nzuri zaidi japo bei ni kipengele
 
Yani turbo inakua introduced kwa mafuta yanayoingizwa kwa pressure katika combustion chamber na kuchoma instantly


Umetafsiri vp hii

Yan turbo inakuwa introduced aje ?? Kwenye mafuta tena
 
Kwanza ili engine ya petrol iwe na Hp sawa na ya diesel, Maana yake engine ya diesel iwe na Torque kubwa ili kufidia RPM yake ndogo.

Kwa stock ecu bado kama naona petrol atakaa mbele sababu ya high revs zake.
Jarbu kupita pdrive uone wakitest gari tofauti tofauti chagua gari search then compare na version yake ya petrol au diesel kuchanganya nk....ushawah jiuliza kwann zile discovery na RR zenye 2.7L diesel engine haziteseki?? Torque 44Onm ziteseke na nini??



Au body kama hilux,isuzu dmax nk zenye 2.4L kwa 2.5L hp 150... torque somewhere 420nm to 440nm afu ulete engine ya petrol ifungwe kwa hizo body yenye hp 150 pia... ambapo hapo tunaongelea labda ya harrier au alphard 2.4L japo zina 160hp afu gari zile mzigo uone kama hizo petrol zitaweza mziki
 

Lakini diesel engine ni nzito inakuwa na compression ratio kubwa.

Engine za petrol za sasa ni nyepesi sana.

Tukija kwenye kwenye kuaccelerate engine ya diesel inakuwa nzito kuaccelerate.

Hii imekaaje?
 
Lakini diesel engine ni nzito inakuwa na compression ratio kubwa.

Engine za petrol za sasa ni nyepesi sana.

Tukija kwenye kwenye kuaccelerate engine ya diesel inakuwa nzito kuaccelerate.

Hii imekaaje?
Tofauti inaeza kuwa sekunde kidogo sana

Mfano ... Audi A4 yenye 2.0L TSFI quattro..yenye hp 200..ina accelerate from 0 to 100kph lwa sekunde 7.2 na top speed ni 238kph

Haya tukichukua 3L TDI yenye hp 204 nayo inatumia 7.2s kufika 100 topspeed ni 235kph

Haya kuna petrol 1.8L quattro yenye 161hp inatumia 8.7s kufika 100 top speed ni 226..tukija kwenye diesel yake yenye hp hizo hizo 161hp engine size ya 2.5L v6 TDI ...yenyewe inatumia 8.8s kufika 100 top speed ni 227kph...tena hapo ni barabara iko level mkirudia test na wote mkapewa mzigo diesel inashinda hapo ..vimipando vyote...
 

I think hapa umeleta kitu kizuri.

Mjadala ulikoanzia na Bavaria ilikuwa tu nani akataa mbele.

Hatukuweka consideration ya mzigo.


Kinachoonekana hapa kwenye haya maelezo yako ni kwamba HP matters.

Hizo gari zinaelekeana HP na acceleration time haipishani sana. Ni almost the same, Although diesel in torque kubwa.

Hapa kuna kitu nimepata.
 
Yani turbo inakua introduced kwa mafuta yanayoingizwa kwa pressure katika combustion chamber na kuchoma instantly


Umetafsiri vp hii

Yan turbo inakuwa introduced aje ?? Kwenye mafuta tena
Hewa mgandamizo inaingizwa kwa pressure ktk combustion chamber na kuchomwa chap chap..
 

Audi A4 ikiwasha yale mataa kwenye dash bord unafanyaje? Kwa kifupi hizi gari zinahitaji ulinunue likiwa brand new au uwe unaishi nchi zenye spaire zake na uwr na uwezo wa kifedha kulihudumia, pia uwe na mafundi makini waliyoyasomea otherwise sio gari la kimaskini​

 
Ikiwasha taa ni kufanya diagnosis tu ujue shida ni nini ufanye marekebisho..
 
Audi,Benz, BMW nunua mpya au second hand under warranty. Wanao miliki hizo Gari used bongo wanateseka sana.
Hayo magari sio masumbufu tatizo kodi zetu sio rafiki watu wakaweza kuagiza gari za kuanzia 2010 kuendelea upate hizo gari ya 2014,2015 itakusumbua nini hasa Mercedes ambayo mfumo wake wa umeme sio mwingi kama hayo mengine nikimaanisha Sensor sisi mafundi Michael tunasema lina umeme mwingi...katika gari naiamini sana Mercedes Benz ila iwe ya miaka ya karibuni sio gari mnafanana mwaka wa kuzaliwa harafu unaikosoa...2000,2002 au 2004...
 
Mkuu hapa naona kama wanachofanya ni ku compensate kwa kuongeza ukubwa wa engine kwenye diesel, au mimi sijaelewa. Mfano hiyo 1.8L petrol ipo sawa na 2.5L V6 diesel...
 
Mkuu hapa naona kama wanachofanya ni ku compensate kwa kuongeza ukubwa wa engine kwenye diesel, au mimi sijaelewa. Mfano hiyo 1.8L petrol ipo sawa na 2.5L V6 diesel...
Na kwenye argument zao hichi ndo kinacho-miss, in this aspect you are correct otherwise wafanye comparison kwa engine zenye displacement zinazoliangana au kukaribiana pamoja na output zinazokuwa generated, tofauti na hapa majibu hayawezi kuwa sahihi.
 
Mkuu hapa naona kama wanachofanya ni ku compensate kwa kuongeza ukubwa wa engine kwenye diesel, au mimi sijaelewa. Mfano hiyo 1.8L petrol ipo sawa na 2.5L V6 diesel...
Ujazo..sababu diesel engines can't spin faster ila ina torque kubwa at Lower rpm

Compression nayo kubwa kuiforce 1.8L itoe 161hp inawezekana ...ila at 161hp Kuna torque zaidi ya 350nm hapa hata engine material yake inatakiwa yawe imara tofauti na petrol ya size hip unaweza pata 160hp bila hata huitaji wa turbo , less compression
 
Uchumi wa watanzania wengi ni kipengele kununua gari za 2014 + wachache wana afford
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…