Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwasha taa ya check engine msiba unaanzia hapo😊.Nilikutana nayo hii gari nikiwa natoka Moshi. Jamaa alikuwa anateleza kama kipande cha sabuni kwenye sakafu ya malumalu.
Hizi gari kwenye mwendo unaweza sema inatumia nyuklia. Kuna hizi, kuna golf GTI nimezishuhudia zikipita bila ubishi na kuniacha kama nimesimama.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Vijana wa BM uwa hawataki ufananishe na gari yoyote. Siku hizi wanaanza fananisha acc. ya F-16
View attachment 2234433