Audi A4 Gari Moja Ya Kichawi Sana, Twende Pamoja utanielewa

Na kwenye argument zao hichi ndo kinacho-miss, in this aspect you are correct otherwise wafanye comparison kwa engine zenye displacement zinazoliangana au kukaribiana pamoja na output zinazokuwa generated, tofauti na hapa majibu hayawezi kuwa sahihi.
Ukubwa wa engine haipimwi kwa ujazo ni output power
 
Ukubwa wa engine haipimwi kwa ujazo ni output power
Aisee, Ngoja ninyamaze.
Without getting too technical, the size of an engine refers to the total volume of air and fuel being pushed through the engine by the cylinders. It's measured in cubic centimetres (cc). For example, a 1,000cc engine can displace one litre (1,000 cubic centimetres) of this air-fuel mixture.4 Sept 2020
 
Point yako hapo ni nini? Huwa kitu kikiandikwa kingereza Basi mnachanganyikiwa

Ulishawah shiriki rally? . uliwahi ulizwa engine displacement measured in cc or L au what is your total output power after modification?
 
Uchumi wa watanzania wengi ni kipengele kununua gari za 2014 + wachache wana afford
Hawana taarifa tu sio kweli kama wananunua Rav 4 milion 45 benzi ya mwaka huu A 200 -2022 ipo rand 500,000 na kama inatoka baadhi ya kodi zao za co2 tax na 15 % yao watatoa ina maana itapungua zaidi kutokua na taarifa ni tatizo sana ila wengi nawaletea gari Tanzania na wengine wanakuja wenyewe kununua..
 
Hiyo gari hadi iwe imezalishwa hapo SA ? Nje ya SA nyundo ni ile ile unapo ileta TZD 😁
 
Hiyo gari hadi iwe imezalishwa hapo SA ? Nje ya SA nyundo ni ile ile unapo ileta TZD 😁
Gari za SA kodi ipo kidogo sana na nyingi zimezaliwa SA unawezaje kuhangaika na mengine tena hapo nimejaribu kukufungua kama gari ya kwenye karatasi bei ipo hivyo hayo ya 2014 yatakuaje na ukipeleka Tz kodi unapata punguzo kwa sababu ya SADC..
 
Gari za SA kodi ipo kidogo sana na nyingi zimezaliwa SA unawezaje kuhangaika na mengine tena hapo nimejaribu kukufungua kama gari ya kwenye karatasi bei ipo hivyo hayo ya 2014 yatakuaje na ukipeleka Tz kodi unapata punguzo kwa sababu ya SADC..
Kwa mtu akiwa kama ana $15,000 anapata gari gani hapo brand za ukaya
 
Audi chembe cha moyo
 
Mkuu usimponze mwenzio
Shida ninyi mnanunua magari ya zamani sana sijui 2003 huko gari unafanana nayo umri tafuta Audi za kuanzia 2008 mpaka 2014 hapa kati uone kama utapata tabu kuhusu umri wa gari ni gari nyingi ukizingatia utaishi nalo vizuri...mimi nanunua gari yeyote ili mradi tuu umri wake uwe wa karibuni tunasema model wakati Watanganyika wengi wao wanazingatia namba E...kumbe E unaweza kuiweka hata gari ya mwaka 1990.
Audi ni moja ya magari Jiwe sana sana na yanashika Road,balance ipo comfort ipo unataka nini hapo mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…