Taslend Member Joined Aug 22, 2018 Posts 66 Reaction score 30 Sep 3, 2023 #81 Achana nae huyo, sie bado tuna ndoto nabhizi madude. Jamaa mleta uzi anafanya kuelezea ionekane ni kazi rahisi sana, anajua anachokifanya, ni taaluma yake maybe, abarikiwe sana!
Achana nae huyo, sie bado tuna ndoto nabhizi madude. Jamaa mleta uzi anafanya kuelezea ionekane ni kazi rahisi sana, anajua anachokifanya, ni taaluma yake maybe, abarikiwe sana!
ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,340 Reaction score 4,069 Mar 10, 2024 #82 Rav four za south za kuanzia 15 kuja juu inaweza fika kiasi gani
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 Mar 29, 2024 #83 Nilikutana nayo hii gari nikiwa natoka Moshi. Jamaa alikuwa anateleza kama kipande cha sabuni kwenye sakafu ya malumalu. Hizi gari kwenye mwendo unaweza sema inatumia nyuklia. Kuna hizi, kuna golf GTI nimezishuhudia zikipita bila ubishi na kuniacha kama nimesimama.
Nilikutana nayo hii gari nikiwa natoka Moshi. Jamaa alikuwa anateleza kama kipande cha sabuni kwenye sakafu ya malumalu. Hizi gari kwenye mwendo unaweza sema inatumia nyuklia. Kuna hizi, kuna golf GTI nimezishuhudia zikipita bila ubishi na kuniacha kama nimesimama.
ipyax JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,247 Reaction score 6,578 Mar 29, 2024 #84 Zemanda said: Nilikutana nayo hii gari nikiwa natoka Moshi. Jamaa alikuwa anateleza kama kipande cha sabuni kwenye sakafu ya malumalu. Hizi gari kwenye mwendo unaweza sema inatumia nyuklia. Kuna hizi, kuna golf GTI nimezishuhudia zikipita bila ubishi na kuniacha kama nimesimama. Click to expand... Ikiwasha taa ya check engine msiba unaanzia hapo😊.
Zemanda said: Nilikutana nayo hii gari nikiwa natoka Moshi. Jamaa alikuwa anateleza kama kipande cha sabuni kwenye sakafu ya malumalu. Hizi gari kwenye mwendo unaweza sema inatumia nyuklia. Kuna hizi, kuna golf GTI nimezishuhudia zikipita bila ubishi na kuniacha kama nimesimama. Click to expand... Ikiwasha taa ya check engine msiba unaanzia hapo😊.
HSE Officer JF-Expert Member Joined Apr 10, 2023 Posts 665 Reaction score 892 Apr 2, 2024 #85 Mad Max said: Vijana wa BM uwa hawataki ufananishe na gari yoyote. Siku hizi wanaanza fananisha acc. ya F-16 View attachment 2234433 Click to expand... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Mad Max said: Vijana wa BM uwa hawataki ufananishe na gari yoyote. Siku hizi wanaanza fananisha acc. ya F-16 View attachment 2234433 Click to expand... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app