Audi A4 vs Toyota Crown nipe maoni yako

Kwa kifupi tu:

Audi ni Slayqueen mrembo sana mbwembwe nyingi na gharama za hali ya juu. Havumili shida hata kidogo.

Crown ni wife material ila mrembo asilia au natural. Anavumilia hata wakati wa shida.

Ni hayo tu...kama una akili utajiongeza.
 
Crown ni verosa lililochangamka....hii gari inaporomoka mdogo mdogo heshima
 
Audi au BMW nI gari za kitajiri. Hata huko mbele waoendesha hizi gari ni watu wanaojielewa. Zikiwa nzima raha sana, I'll ikiharibika sasa, kila kitu chake ni mara mbili au tatu zaidi ya hizi gari zetu za kimasikini, Hata kupiga rangi. Mimi nishawahi kuchuna bumper la AUDI A4 ya mtu wakati niko lena gari manual, bei yake kulipa nilikoma. Na Hata huko mbele hizi gari haziendi gereji yoyote, zinaenda kwa mafundi wake special. Najua watu kibao wameshindwa kutengeneza ma AUDI yao. Spare ghali sana.
Kama uko vizuri, chukua A4 it's a status symbol. Kokote duniani mtu anaendesha AUDI sio mwenzio.
Kama ni mwenzangu Na Mimi we nunua to crown. Unaeza Hata enda pale Tandale ukapata spare.

Ni ushauri wangu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…