Audi A4 vs Toyota Crown nipe maoni yako

Bro ukiwasikiliza hao toyota user unaweza acha kununua european cars, Mimi kipindi nataka kununua gari nilikuwa napenda sana BMW for no reason nilijikuta nimeipenda tu hii bland, sasa nikawa natafuta ushauli kwa wabongo wenzangu, 80% walinitisha nilitaka kukata tamaa kununua BM. Nikajilipua nikaagiza X1, nilichokutana nacho ni tofauti sana na maneno yao. Mwaka wa tatu sasa gari iko vyema na easy maintainance. Huku mtandaoni utasikia mengine ila ukiingia balabalani utakutana na mengine. Hizi BMW na hiyo tiguan zimejaa balabalani na hauzikuti juu ya mawe ila ukija mtandaoni utasikia wanakwambia spare zake hazipatikani. Na cha kushangaza ni kuwaona toyota users ndio wanaongoza kuongelea european cars.
 
Ndio hivyo sasa na bado watu hawazinunui pamoja na kuwa bado zinabei ya kawaida sokoni
 
Mhh....sio kweli..

Jaribu kupitia comments za wamiliki wa hizo gari hapo halafu ufanye conclusion mwenyewe. Audi A4 zote za nyuma ya mwaka 2011 ziangalie
 
Noma sana









Yaani Mabeberu yenyewe yanatoa milio kwa huyu AUDI, naangalia mpaka maintenance kuvua engine kubadili piston najua utakuwa unaelewa gharama. Na hawa wenzetu wanachukua gari za 0 km wengi. Ndio maana hata consultation wanawasiliana na dealers wao kwanza.

Mkuu tubanane hapahapa kwa TOYOTA ukishindwa uzalendo pita NISSAN, SUBARU, TATA, SUZUKI hao ndio ndugu zetu.
 
Gari inayokula oil kila baada ya km 900 ni mbovu...
 
Hayo yote nayafahamu.

Uhalisia wa watu kukimbilia Toyota ni kwasababu unapata spares hata feki.

Wabongo hatuna uwezo wa kutunza hata hizo Toyota. Ndio maana mtu anaweza tembea na taa ya check engine mwezi mzima au shockups zilizokufa mwaka mzima.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Audi ni pasua sana sasa hao wanatoa vilio sio wenzetu wa used vehicles 😅😅
 
Sawa na Android users wanavyozipondea Iphones.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Hizo comments huwezi zikosa kwa gari yeyote ile.

Niliwahi fanya utafiti wa Mini Cooper. Negative comments ni nyingi kuliko positive ones.

Soma comments hata za LC 200 series. Lazima uzikute mbaya.

Hizo comments zisikutishe chochote, hata Crown wapo na negative comments.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…