Askofu mkuu wa Katoliki kadinali Pengo ni mnafiki mkubwa anayejipendekeza kwa serikali dhalimu ya ccm,ni makubaliano ya maaskofu wote wa makanisa na walitia saini kuikataa mahakama ya kadhi,lakini Pengo anazunguka na kuwashawishi waumini wa katoliki kuipigia kura katiba mpya inayotaka mahakama ya kadhi iwepo kinyume na katiba halisi ya nchi ambayo inatambua wazi kuwa serikali haina dini ila watu wake,sasa serikali inawezaje kuweka kifungu cha katiba inayotambua mahakama ya kidini wakati serikali haina dini? CCM ni hatari sana,inafanya hivyo ili kuwaridhisha %25 ya waislamu kote nchini ambao kwa ukorofi wao utadhani wamejaa nchi nzima,inaogopa kupoteza kura za waislamu ktk uchaguzi wa rais,Pengo kiongozi wa dini mnafiki kabisa anajikomba kwa serikali hii isiyojali maisha ya wananchi wake,badala ya kuweka kipengele kinacholinda uhai wa albino ccm inakimbilia kuridhisha kundi la wahuni,Pengo kasahau makanisa kuchomwa moto? Hajui tukio la mchungaji kuchinjwa geita?Na wahusika wote wakiwa ni waislamu.