Socratic
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 568
- 308
Mpuuzi ni mtu anayepuuzia mambo ya muhimu! Mjinga ni mtu asiyejua! Mpumbavu ni mtu asiyejua ila akifundishwa anajua/anaelewa...Tusi liko wapi hapo?
Halafu hivi Pengo alishindwa kuitaadharisha na serikali isiwaambie wananchi waipigie katiba kura ya Ndio?
Ndugu yangu rudi darasani... hapo kwenye nyekundu hasa umechemka vibaya sana.. unawadanganya wenzako wasiojua kitu kama wewe.Na vipi kuvaa pampaz kama mtoto kwenye kauli ya gwajima kwako sio tusi? vipi kuhusu kumwambia kala maharage maharage (kwa context) sio matusi? Ama hujaisikiliza clip ya gwajima vizuri au unaongea kiushabiki..kama unataka kusema kweli usichague vipande na kuacha vingine katika kauli ya Gwajima.