Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

tetere,

Ninasita kukujibu maana sijui uelewa wako ukoje (nawe pia hujui uelewa wangu ukoje). Tunaweza tukawa tunapishana sana katika reasoning faculties hivyo hatutaendana. Ninaweza nikawa chini sana ya uwezo wako nikaku-bore! Umetukana watu!
 
Last edited by a moderator:
MTK,

Unachotaka kusema hakina mantiki yoyote. Kwa hiyo kwa upeo wako mdogo unasema Gwajima ana haki ya kumtukana Kardinali eti kwa sababu Kardinali ametoa maoni yake binafsi ambayo yanapingana na ya Gwajima?

Wewe uanaona hilo ni sawa kabisa ndio maana nchi hii haiendelei kwasababu ya fikra finyu kama hizi!!!
 
Last edited by a moderator:
ASK.PENGO ASITUDANGANYE !
Mungu ametoa hiari ya kuchagua sambamba na ushauri wa kuchagua JEMA {SOMA KUMBUKUMBU 30:15-19}
 
Pengoooo, mpuuzi sana wewe Pengo.

wewe utakuwa punguani, angalia hata maisha yako nina uhakika ni maisha ya kimaskini na yasiyomema mbele ya watu wengine na hapo ulipo wewe si muumini mzuri na unaishi maisha ya contradiction huna recodi yoyote ya ustawi wa kweli
 
Kiongozi tatizo lako unaangalia Ulipoangukia badala ya kuangalia ulipojikwaa?! tafuta kiini au chanzo cha tatizo! panua wigo,

ruhusu akili yako ivinjari kutafuta kwa nini Gwajima aliyasema aliyosema na kwa mpangilio ule, style na msisitizo! Kwa nini Gwajima akamshukia Pengo na sio Malasusa au Kakobe au Bagonza?!

vinginevyo utaishia kutukana, kukebehi na kuwaita watu majina yasiyona maana; simply shouting!! na mwisho wa siku you will achieve nothing substantial; except wasted time and negative energy only!!

sasa unataka kusema nini ?. mtu unayepishana naye mtazamo hayo ndo majibu yake ? .busara zitutangulie jamani
 
kwani askofu PENGO amefanya nini mpaka watu wamemshupalia hvyo naomba kujuzwa kinachoendelea
 
Kama shetani na ibilisi anakemewa sembuse akina ask.Pengo ambaye hajawahi kuwa hata malaika wala kumwona Muumba wake tu!

akili zako ni chini ya wastani kutokana na upeo mdogo na uhuni unaouunga mkono hapa
 
Yes amua mwenyewe. unao utashi.
Basi na mufti na jumuiya zote za kiislamu wameamua kupiga NDIYOOO..si ndio mnachotaka nyie na gwajima na kundi lote la IQ ndogo.

Hauko nchi hii Mufti alitamka hadharani sio mara moja au mbili na shura ya maimamu kuwa watapiga hapana mpaka mahakama ya kadhi iwekwe humo kwenye katiba!!! Yasikutoke mapovu mengi IQ yako unaweza kuiangalia kwa majibu yako!!Maana unavyopost huna tofauti na Gwajima!!
 
Ukirikoroga katika kizazi cha kisichoamini ni lazima utalinywa kama ask.Pengo au mwingine yeyote.
Si kizazi cha waoga nk
 
Nimesikiliza kwa makini clip ya Pengo na ile ya Gwajima na haya ni maoni yangu. Lakni kabla naomba kudeclare kuwa mimi sio mkatoliki na sio mfuasi wa Gwajima na pia binafsi sikubaliani na kuingiza masuala ya kidini kwenye katiba:

Askofu Pengo
Pengo was very composed, bila papara wala mihemuko

Pamoja na kwamba Pengo hakukubaliana na kile kilichomo katika matamko hayo bado alionyesha heshima kubwa na unyenyekevu kwa maaskofu wenzake walioyaandaa.

Hayo yalikuwa ni maoni yakebinafsi – kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni yake

Maaskofu hawana mamlaka ya kuwalazimisha waamini watende kitu kinyume cha dhamira zao, kwa sababu hata Mungu hamlazimishi mtu kutenda mema. Mungu anatuacha kama wanadamu tutende sawasawa na dhamiri zetu, kama anavyoamini kuwa Mungu anamwelekeza – Ni kweli, hakuna mwanadamu mwenye haki ya kumwamulia mwanadamu mwingine nini cha kufanya, mwanadamu anaweza tu kumshauri mwingine na sio kumlazimisha

Maaskofu hawana mamlaka ya kuwalazimisha watu kupiga kura ya hapana, waumini sio watoto wadogo wa kuambiwa kila kitu. Jambo hili linadharirisha uhuru wa waumini wa Kikristo – Ni sawa na hapo juu

Matamko haya (lile la Baraza la Maaskofu na lile la Jukwaa la Wakristo) yanawagawa Watanzania kati ya Wakristo na wale wasio Wakristo – Sina hakika na hili

Matamko haya yanawagawa Wakristo dhidi ya serikali yao – Sina hakika sana na hili


Askofu Gwajima
Gwajima alikuwa amejaa mihemuko na hakuwa ametulia kabisa

Gwajima katika hotuba yake alipungukiwa na hekima kwa kiasi kikubwa sana. Kwa mtu mwenye hekima hata kama anapinga au kukataa jambo atatumia lugha ya hekima na isiyo ya kuudhi. Binafsi siamini mameno kama mpuuzi, hafai, amezeeka, mtoto mdogo amevaa pampers, ukome, amempa vipande vyake, hana akili, n.k yanafaa kutumiwa na mtumishi wa Mungu, tena akimshambulia mtu anayemzidi umri. Hayo ni maneno ua mtaani zaidi na hayategemewi kabisa kutolewa na mtumishi wa Mungu. Hivi kweli kulikuwa hakuna maneno mengine ambayo Gwajima angeyatumia kufikisha ujumbe wake badala ya hayo yanayoudhi namna hiyo

Gwajima anadai Pengo alisaini matamko hayo – sio kweli, ni askofu Ngalelemkutwa ndiye aliyesaini kwa niaba ya TEC

Gwajima anawaambia watu wasimuheshimu Pengo – hakuna mwanadamu mwenye haki ya kumwamulia mwingine cha kufanya, kila mtu ana uhuru wa kufanya sawasawa na anavyoongozwa na dhamiri yake mwenyewe. Mwanadamu anaweza akashauri tu.

Ameliaibisha kanisa katoliki na kuwaaibisha maaskofu wakatoliki na wengineo na wakristo – sioni mantiki hapa, Pengo alikuwa anatoa maoni yake binafsi na sio msimamo wa maaskofu wala Wakristo. Pia Pengo alitoa angalizo la kuwafanya watu wachague au wasichague kitu kwa sababu tu wao ni Wakristo

Gwajima anamtakia Pengo apate matatizo, tena apigwe na malaika – hii ni kinyume kabisa na mafundisho ya Bwana Yesu aliyesema “Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi” – Mathayo 5:44
 
sasa unataka kusema nini ?. mtu unayepishana naye mtazamo hayo ndo majibu yake ? .busara zitutangulie jamani

Busara is a relative term! One man's terrorist is another man's freedom fighter!
 
Unachotaka kusema hakina mantiki yoyote. Kwa hiyo kwa upeo wako mdogo unasema Gwajima ana haki ya kumtukana Kardinali eti kwa sababu Kardinali ametoa maoni yake binafsi ambayo yanapingana na ya Gwajima? Wewe uanaona hilo ni sawa kabisa ndio maana nchi hii haiendelei kwasababu ya fikra finyu kama hizi!!!

Ok mimi nina fikira finyu; does it change the status Quo?! nops; Penmgo remjains katukanwa tu! mbona na wewe umenitukana na hunijui? je hizo ni fikira pevu sio; dictionary as per Mr YOU?!
 
Wana Jf, Acheni unafiki ! Tangu lini mmekiri GWAJIMA ni mtumishi wa Mungu;hata leo mseme HAKUSTAHILI hayo kama ASKOFU ?
 
Nimesikiliza kwa makini clip ya Pengo na ile ya Gwajima na haya ni maoni yangu. Lakni kabla naomba kudeclare kuwa mimi sio mkatoliki na sio mfuasi wa Gwajima na pia binafsi sikubaliani na kuingiza masuala ya kidini kwenye katiba:

Askofu Pengo
Pengo was very composed, bila papara wala mihemuko

Pamoja na kwamba Pengo hakukubaliana na kile kilichomo katika matamko hayo bado alionyesha heshima kubwa na unyenyekevu kwa maaskofu wenzake walioyaandaa.

Hayo yalikuwa ni maoni yakebinafsi – kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni yake

Maaskofu hawana mamlaka ya kuwalazimisha waamini watende kitu kinyume cha dhamira zao, kwa sababu hata Mungu hamlazimishi mtu kutenda mema. Mungu anatuacha kama wanadamu tutende sawasawa na dhamiri zetu, kama anavyoamini kuwa Mungu anamwelekeza – Ni kweli, hakuna mwanadamu mwenye haki ya kumwamulia mwanadamu mwingine nini cha kufanya, mwanadamu anaweza tu kumshauri mwingine na sio kumlazimisha

Maaskofu hawana mamlaka ya kuwalazimisha watu kupiga kura ya hapana, waumini sio watoto wadogo wa kuambiwa kila kitu. Jambo hili linadharirisha uhuru wa waumini wa Kikristo – Ni sawa na hapo juu

Matamko haya (lile la Baraza la Maaskofu na lile la Jukwaa la Wakristo) yanawagawa Watanzania kati ya Wakristo na wale wasio Wakristo – Sina hakika na hili

Matamko haya yanawagawa Wakristo dhidi ya serikali yao – Sina hakika sana na hili


Askofu Gwajima
Gwajima alikuwa amejaa mihemuko na hakuwa ametulia kabisa

Gwajima katika hotuba yake alipungukiwa na hekima kwa kiasi kikubwa sana. Kwa mtu mwenye hekima hata kama anapinga au kukataa jambo atatumia lugha ya hekima na isiyo ya kuudhi. Binafsi siamini mameno kama mpuuzi, hafai, amezeeka, mtoto mdogo amevaa pampers, ukome, amempa vipande vyake, hana akili, n.k yanafaa kutumiwa na mtumishi wa Mungu, tena akimshambulia mtu anayemzidi umri. Hayo ni maneno ua mtaani zaidi na hayategemewi kabisa kutolewa na mtumishi wa Mungu. Hivi kweli kulikuwa hakuna maneno mengine ambayo Gwajima angeyatumia kufikisha ujumbe wake badala ya hayo yanayoudhi namna hiyo

Gwajima anadai Pengo alisaini matamko hayo – sio kweli, ni askofu Ngalelemkutwa ndiye aliyesaini kwa niaba ya TEC

Gwajima anawaambia watu wasimuheshimu Pengo – hakuna mwanadamu mwenye haki ya kumwamulia mwingine cha kufanya, kila mtu ana uhuru wa kufanya sawasawa na anavyoongozwa na dhamiri yake mwenyewe. Mwanadamu anaweza akashauri tu.

Ameliaibisha kanisa katoliki na kuwaaibisha maaskofu wakatoliki na wengineo na wakristo – sioni mantiki hapa, Pengo alikuwa anatoa maoni yake binafsi na sio msimamo wa maaskofu wala Wakristo. Pia Pengo alitoa angalizo la kuwafanya watu wachague au wasichague kitu kwa sababu tu wao ni Wakristo

Gwajima anamtakia Pengo apate matatizo, tena apigwe na malaika – hii ni kinyume kabisa na mafundisho ya Bwana Yesu aliyesema "Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi" – Mathayo 5:44

Asante kwa hekima zako!
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza support matusi yale ya Gwajima.....

Kama Gwajima alishawahi ugua kichaa hapo naweza sema huenda kulikuwa na recurrance..

Kwa mandate gani inayokiufanya utumie neno "hakuna mtu?!"; unamuwakilisha nani? mtu kama mimi stereotyping sio kanuni yangu ya maisha; I read between the lines; labda kwa kuwa sina akili timamu!? Je na wewe mbona unakashifu watu enmass; "kutokuwa na akili timamu" simply because tumetofautiana maoni kuhusu gwajima; hapo wewe una tofauti gani na Gwajima unayemuona hana akili timamu?!

Unaweza usikubaliane na Gwajima kuhusu alichokisema na jinsi alivyokisema lakini utalazimika kuheshimu haki yake ya kukisema; kwa sababu bottom line ni kwamba msimamo wako katika hilo haubadilishi status quo! Pengo katukanwa period; kama ni sahihi kumtukana au la! hilo sio jukumu langu, tumwachie Pengo atafakari achukue hatua!
 
Back
Top Bottom