Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Mkuu, ufinyu wetu wa kufikiri ndio huwa unatufanya kila kitu kulaumu tulipoangukia na si tulipojikwaa. Pengo kama Askofu amepungukiwa "collective responsibility" kama kiongozi katika hili tamko na haya ya Gwajima ni matokeo tu ya uzembe wa Askofu Pengo si kicheo wala kibinafsi. Hebu tukumbushame mheshimiwa Mrema kilichomkuta kufukuzwa uwaziri na Rais Mwinyi.

sijui ni lini ujinga wa kufikiri wa watanzania utakwisha, kweli naona sasa ni rahisi kununua baadhi ya watu kama kununua nyanya sokoni
 
Ninasita kukujibu maana sijui uelewa wako ukoje (nawe pia hujui uelewa wangu ukoje). Tunaweza tukawa tunapishana sana katika reasoning faculties hivyo hatutaendana. Ninaweza nikawa chini sana ya uwezo wako nikaku-bore! Umetukana watu!

Chuakachara, nilitegemea kwamba ungekuwa muwazi ukaweka msimamo wako wazi hapa. Ninataka kujua hili:
a) Haki ya Pengo kuchagua niupande gani wa ku-support ni haki yake ya msingi na mimi niko tayari kuilinda haki yake hiyo. Pia, haki ya Gwajima kuelezea kusikitishwa kwake na (breach of Trust) ambayo pengo ameifanya ni haki yake ya msingi ambayo niko tayari kuilinda.

b) Chuakachara, umeleta hoja ambayo ni ya kumshitaki Gwajima, naendelea kuamini kwamba wewe umechagua upande wa ku-support Pengo badala ya kuzingatia hoja iliyopelekea tukafika hapa.

c) Tumekuwa na tabia ya watu ambao ni intellectully bankrupt wanaofanya ukuwadi wa kuendelea kunajisi akili na morals za watu wakitetea ufisadi.

d) Unataka kuonyesha kwamba wewe ni mstaarabu (nikisoma maandishi yako) ila mwisho wa mjadala huu umeshaupanga.

Nimeamua kuwa achana wararuane wenyewe - kama pengo kakasirika, anajua cha kufanya, na sio kuingiza jeshi la makasisi wake kuleta hukumu baada ya yeye Pengo kuwa ameshalikoroga!
 
ASK.PENGO ASITUDANGANYE !
Mungu ametoa hiari ya kuchagua sambamba na ushauri wa kuchagua JEMA {SOMA KUMBUKUMBU 30:15-19}
Mkuu pamoja na UHURU aliotuachia Mola lakini ile dini iliyompa cheo Pengo inatueleza kuwa baada ya Mungu kuumba dunia na kila kitu kilichomo akamuita Adam na kumkabidhi vyote view chini yake "ila" akamueleza asile tunda la 'mti wa katikati', hapa Pengo atueleze maana yake nini. Pengo atueleze hizo 'Amri kumi za Mungu' na ;Amri za Kanisa' ni za nini? Na kwa nini pana 'PEPO na JEHANAMU'?
 
Kupitia GWAJIMA ndio nimepata picha kwanini....waumini wake wengi wapo kama mazezeta....kwa sababu mtu mwenye akili timamu kukaa kwenye nyumba ya ibada ambayo kiongozi wako wa kiroho anaongea mitusi namna tena mbele ya mazabahu.......

Hata Pengo ana madhabahu - na bado anafanya matusi!

Lengo langu sio kushindanisha matusi wa viongozi - Ukienda kwenye siasa unakuta viongozi wahuni, kila mahali Tanzania kuna wahuni. Sasa hivi viongozi wa makanisa ni wahuni kuliko wanasiasa wa Tanzania!

Na hakuna wa kuwaonya!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hakuna wa kuwaonya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hakuna wa kuwaonya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tatizo lililopo - wananchi na waumini wana watu wao wana - support! Katholics wana-support Pengo na wengine wana support gwajima.

Sijajua ubaya wa ku-support kiongozi wako. Hivyo wanao support waendelee ku - support labda tutaona mwisho wake!
 
Heshima haifai kabisa kuwa mchungaji. Wachungaji wanatakiwa kuwa wenye hekima na busara sasa maneno gani Yale mtumishi unaongea mbele ya waumini wako? Alafu hawa waumin Nina waswas nao sana et wamekaa wanashangilia na kusikiliza upuuzi wa gwajima

Wewe unahukumu maneno ya Gwajima bila kuyasema matendo ya Pengo??? Hivi wewe ni kichaa???
 
sijui ni lini ujinga wa kufikiri wa watanzania utakwisha, kweli naona sasa ni rahisi kununua baadhi ya watu kama kununua nyanya sokoni
SIASA imetupeleka pabaya mno. Pana watu wanaamini sana mwanasiasa ndio yupo juu ya kila kitu hapa nchini hivo akisemacho hakina walakini. Sasa wanasiasa wameamua kutugawa kidini kutupelekea kupigana, tunawachekea tu!
 
Maneno ya Gwajima VS Matendo ya Pengo????????????????????????
Ingekuwa tuko katika nchi iliyostaarabika - Pengo angepigwa risasi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Alichokifanya Pengo si sahihi na ninauhakika anajutia jinsi. alivyokurupuka.Na upande mwingine simlaumu sana Gwajima maana ametoa yake ya moyoni japo njia aliyotumia inaweza ikawa iliwakera wengi.
 
Simuungi mkono Gwajima kwa kauli kali aliyoitumia dhidi ya Pengo,

But sikubalianai na alichokifanya Pengo kutoka hadharani na maoni ya kwake kinyume na watumishi wenzake tena ndani ya kanisa moja hakukuwa na namna ya kuitana na kuzuia huo waraka usisomwe kwenye makanisa!!!!??

kuliko anasema "nilikubaliana na waraka na kuruhusu usomwe kwenye makanisa" then anaibuka na tamko against waraka huo ni ubinafsi na ni usaliti mkubwa dhidi ya mapadri na maaskofu wenzie na waumini pia!!

Huu ndo UKWELI. Mi ni mkatoliki but alichokifanya Pengo nakiona ni USALITI kwa maaskofu wenzie!
 
1) Alichosema Gwajima ni uhuni, na hafai kuitwa kiongozi especially kiongozi wa kiroho. "Viongozi' kama gwajima na wengineo wanapaswa kuwa kielelezo cha hekima na uadilifu katika kutumia maneno yenye staha kwa YEYOTE ikiwemo wale ambao wana different opinions.
2) Nilimsikiliza Gwajima na kwa jinsi alivyokuwa amehamaki ni kama kwamba Pengo hana haki ya kutofautiana na maaskofu wenzake wa TEC. Na kama ameamua kutofautiana na wana-TEC wenzakem, yeye Gwajima hiyo inamuhusu nini?. Hii inaonyesha jinsi watanzania taratibu wanazoezwa culture ya INTOLERANCE ambayo in its developed form inazaa terrorism ambayo expression yake ni kama IS, Al Quaida, Boko haram, Al Shabaab, etc. JE WATANZANIA TUNATAKA KUFIKA HUKO? Lazima tujifunze kukubali na kuheshimu mawazo huru ya kila mtu hata kama hatukubaliani nayo, na kama tunayakataa busara inataka tufanye hivyo kwa hoja na kwa staha..vinginevyo ni wehu tu kama wa Gwajima.

3) All in all, nimesikiliza alichosema Pendo na bado sijaona kakosea wapi...YEYE ANACHOSEMA NI KUWA WATU WAELIMISHE KUHUSU KATIKA LAKINI WASILAZIMISHWE AU WASIKARIRISHWE KUPIGA KURA YA HAPANA. It is the duty of spiritual/religious leaders to uphold the sanctity and freedom of the human mind to make the FINAL decision. Pengo kama individual, kutofautiana na MTAZAMO wa maaskofu wenzake sio ajabu, ni kawaida kabisa na anaonesha value of a free mind...ndio maana pamoja na kuwa aliruhusu waraka usambazwe (kwa kuwa ni maoni ya maaskofu walio wengi kama kanisa) ila akaona ieleweke yeye kama yeye mtizamo wake ulivyo. So he was perfectly right, in a free society as the Tanzania we are building.
4) Mwisho SIKUBALIANI KABISA NA TREND HII YA MAASKOFU (na masheik, for that matter) ya kutoa matamko na kutaka wakristo wote wafuate mtazamo au maamuzi yao. Hii inaleta MPASUKO mkubwa sana Tanzania na if unchecked italeta mgawanyiko mkubwa UNAOWEZA KUSABABISHA UTENGANO KATI YA DINI HIZI MBILI NA MWISHO UMWAGAJI WA DAMU. Itafika mahali hakuna kinacho move mpaka wakristo wakubali, vilevile hakuna kinachomove mpaka waislamu wakubali,....given kwamba tuko nusu kwa nusu hakuna kitakachofanyika katika nchi hii and WORSE STILL THIS TREND IS MAKING ORDINARY PEOPLE BECOME MORE AND MORE SENSITIVE AND AWARE OF THEIR RELIGIOUS DIVIDE...SOMETHING WHICH WAS NEVER THE CASE UNDER MWALIMU NYERERE..

Mungu ibariki Tanzania
 
Hata Pengo ana madhabahu - na bado anafanya matusi!

Lengo langu sio kushindanisha matusi wa viongozi - Ukienda kwenye siasa unakuta viongozi wahuni, kila mahali Tanzania kuna wahuni. Sasa hivi viongozi wa makanisa ni wahuni kuliko wanasiasa wa Tanzania!

Na hakuna wa kuwaonya!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hakuna wa kuwaonya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hakuna wa kuwaonya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tatizo lililopo - wananchi na waumini wana watu wao wana - support! Katholics wana-support Pengo na wengine wana support gwajima.

Sijajua ubaya wa ku-support kiongozi wako. Hivyo wanao support waendelee ku - support labda tutaona mwisho wake!

Pengo ametoa maoni....lakini katika lugha ya kistaarabu....maoni yangepaswa kuheshimiwa au kujibiwa kwa hoja na si kwa kumtukana....
 
tetere,

Ninasita kukujibu maana sijui uelewa wako ukoje (nawe pia hujui uelewa wangu ukoje). Tunaweza tukawa tunapishana sana katika reasoning faculties hivyo hatutaendana. Ninaweza nikawa chini sana ya uwezo wako nikaku-bore! Umetukana watu!

Chuakachara, meaningless doesn't come from the experience of Pain. But from the abundance of pleasure!!!!!!

You are living in the bubbles! Umeamua kujificha kwenye kivuli unachokijua wewe - Sipo hapa kujipima wewe unajua ama haujui nini. Umeleta hoja ya Pengo VS Gwajima - lakini ghafla you are deflecting the discussion from the main subject and apparently you want me to discuss your abilities????? Are you real?????
 
Last edited by a moderator:
Pengo ametoa maoni....lakini katika lugha ya kistaarabu....maoni yangepaswa kuheshimiwa au kujibiwa kwa hoja na si kwa kumtukana....

Kikulachochako, Asante sana.
Ninaamini matusi ya Gwajima hayajaondoa au kupunguza nguvu ya uovu ama Ubaya wa Usaliti wa Pengo. Yaani mimi ningetaka kujua details za Ubaya wa Pengo uliomkasirisha Gwajima hadi kufikia kuwa na hasira/ukali wa kiasi hicho. Hili ndilo lingefanya washangiliaji wawe na majadiliano ambayo yako balanced! Lakini kwa sasa tuna jeshi la msituni hapa JF linalolalamika - bila kuweza kuonyesha kwamba wao wameathirika kivipi na hasira ama ukali wa kauli ya Gwajima!
Hatuwezi kulalamika tulipoangukia bila kuangalia tulipojikwaa!
 
Mwongo wewe. Jimbo linalosimamiwa na Askofu Pengo ni Dar es salaam tu na majimbo mengine nchini yanasimamiwa na maaskofu wengine.
Wala usitake kutuaminisha uwongo hapa eti Pengo ni askofu mkuu wa Tanzania nzima NOOOOOO.
Jimbo lake ni Dar peke yake.
Tena kiongozi wa Balaza la maaskofu katoliki alikuwapo ktk kikao cha maaskofu wenzake na alikubalia na kutia saini katika makubaliano ya maaskofu.
Pengo yeye ni nani hata apinge makubaliano ya maaskofu wote ambayo tayari yalishatolewa kwenye public??? Hili Pengo kalifanya makusudi ili awadhalilishe wenzake.

●Kwani Amepinga Wapi ?? Ni wapi amesema Watu Wapige Kura Ya Ndio??

● Barua Aliyopelekewa Ni kwa Majimbo ya Dar Kama Umesikiliza Audio sasa Nashangaa unakurupuka Kusema Tanzania. ... na Nenda Kasome Kardinal ni Nani ndo utajua Pengo ni Nani hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom