PetterIsuti
Senior Member
- Nov 29, 2014
- 118
- 28
Alichokifanya Gwajima NI UGAIDI...................................................
Ugaidi upi kwani kapanga kuua?
Alichokifanya Gwajima NI UGAIDI...................................................
kaka nmeisikiliza kwa makini sana,cha muhimu hapa yeye kama kiongozi tena mkubwa ktk kanisa hakupaswa kutoa kaul ya kupinga kile walichokubaliana maaskofu wengine,
kuna mambo mengine inabid kukubaliana nayo hata km huyapenda ili kuonyesha UMOJA kati yao maaskofua,mbona kuna mambo meng t ktk kanisa ambayo yako dogmatic sijawah kumsikia akikosoa hadharan,kubal ukatae TEC ndo chombo kikubwa cha utendaji na maamuzi yote katika kanisa hapa Tanzania,nasisitiza tena n habar ya kukinzana kimtazamo haileti afya njema kwa ustawi kwa kanisa.
RG Forever audio zote nimezisikiliza barabara!!! Una maoni tofauti?
Kura nitapiga kwa ninavyoona mimi sio kwa kulazimishwa na mtu yoyote..wajinga ndo waambiwe jinsi ya kupiga kura
Chuakachara, nilitegemea kwamba ungekuwa muwazi ukaweka msimamo wako wazi hapa. Ninataka kujua hili:
a) Haki ya Pengo kuchagua niupande gani wa ku-support ni haki yake ya msingi na mimi niko tayari kuilinda haki yake hiyo. Pia, haki ya Gwajima kuelezea kusikitishwa kwake na (breach of Trust) ambayo pengo ameifanya ni haki yake ya msingi ambayo niko tayari kuilinda.
b) Chuakachara, umeleta hoja ambayo ni ya kumshitaki Gwajima, naendelea kuamini kwamba wewe umechagua upande wa ku-support Pengo badala ya kuzingatia hoja iliyopelekea tukafika hapa.
c) Tumekuwa na tabia ya watu ambao ni intellectully bankrupt wanaofanya ukuwadi wa kuendelea kunajisi akili na morals za watu wakitetea ufisadi.
d) Unataka kuonyesha kwamba wewe ni mstaarabu (nikisoma maandishi yako) ila mwisho wa mjadala huu umeshaupanga.
Nimeamua kuwa achana wararuane wenyewe - kama pengo kakasirika, anajua cha kufanya, na sio kuingiza jeshi la makasisi wake kuleta hukumu baada ya yeye Pengo kuwa ameshalikoroga!
Kupitia GWAJIMA ndio nimepata picha kwanini....waumini wake wengi wapo kama mazezeta....kwa sababu mtu mwenye akili timamu kukaa kwenye nyumba ya ibada ambayo kiongozi wako wa kiroho anaongea mitusi namna tena mbele ya mazabahu.......
Kikulachochako, Asante sana.
Ninaamini matusi ya Gwajima hayajaondoa au kupunguza nguvu ya uovu ama Ubaya wa Usaliti wa Pengo. Yaani mimi ningetaka kujua details za Ubaya wa Pengo uliomkasirisha Gwajima hadi kufikia kuwa na hasira/ukali wa kiasi hicho. Hili ndilo lingefanya washangiliaji wawe na majadiliano ambayo yako balanced! Lakini kwa sasa tuna jeshi la msituni hapa JF linalolalamika - bila kuweza kuonyesha kwamba wao wameathirika kivipi na hasira ama ukali wa kauli ya Gwajima!
Hatuwezi kulalamika tulipoangukia bila kuangalia tulipojikwaa!
Hihhiihii..wanajiweza kumskiliza
Pengo kasema lipi baya? Acha upumbavu wewe!!
Kisha wanajiita magreat thinkers, poor reasoning capacity ndiyo inafanya wawashabikie hata wendawazimu. Kama ilimuuma alishindwa nini kumuandikia waraka?
Wewe umemtukana Pengo, kama alivyofanya Gwajima, watu wenye high mental power reasoning faculties do not go by ad hominen arguments. Ndiyo maana nikasema inawezekana tukapishana. Si busara kutukana kama ulivyofanya! Hilo limenipa mashaka makubwa!
Maoni ya bwana Pengo ni kwamba...mabalaza ya kikristo yasiingilie uhuru wa waumini wao kwa kuwapangia cha kufanya....waachwe waamue wenyewe kwa utashi wao...kuwataka wapigie kura ya hapana kwa katiba pendekezi ni kuwapora uhuru wao wa kutoa maoni na kuchagua....
Narudia! Wewe sijui ndio umetoka Kipalapala juzi, wamekupost mtandaoni?? Mimi nimekuomba usitumie moyo kujadili hii post yako - badala yake unarudi unaleta Liturgical approaches which arent answering or atleast responding to anything. Unadai intellectual supremacy ambayo ni hewa/haipo.
Unadai una integrity you are protecting (kwa argument ipi??) Toa hoja iteteeeeeee, sio unatumia moyo kufikiri!!!
Ugaidi upi kwani kapanga kuua?
Maoni ya bwana Pengo ni kwamba...mabalaza ya kikristo yasiingilie uhuru wa waumini wao kwa kuwapangia cha kufanya....waachwe waamue wenyewe kwa utashi wao...kuwataka wapigie kura ya hapana kwa katiba pendekezi ni kuwapora uhuru wao wa kutoa maoni na kuchagua....
ASK.PENGO ASITUDANGANYE !
Mungu ametoa hiari ya kuchagua sambamba na ushauri wa kuchagua JEMA {SOMA KUMBUKUMBU 30:15-19}
Hauko nchi hii Mufti alitamka hadharani sio mara moja au mbili na shura ya maimamu kuwa watapiga hapana mpaka mahakama ya kadhi iwekwe humo kwenye katiba!!! Yasikutoke mapovu mengi IQ yako unaweza kuiangalia kwa majibu yako!!Maana unavyopost huna tofauti na Gwajima!!
Unaionaje hao hao waumini wakiachwa wafanye maamuzi yao ktk maisha yao badala ya kuwaongoza wasifanye baadhi ya mambo kwa kuambiwa eti ni dhambi?
Wewe unahukumu maneno ya Gwajima bila kuyasema matendo ya Pengo??? Hivi wewe ni kichaa???