kwahio ndio imehalalisha askofu gwajima mtumishi wa Mungu kutoa matusi hayo tena mbele ya madhabahu???
Tusi kama lipi?
kwahio ndio imehalalisha askofu gwajima mtumishi wa Mungu kutoa matusi hayo tena mbele ya madhabahu???
Pendo ndo kajidharirisha, Pengo ni mpumbavu hata mimi namuunga mkono Gwajima, kwa hali ya sasa ya Tanzania hakuna mtu mwenye akili timamu ataunga mkono MAHAKAMA YA KADHI.
We jamaa kichwani mwako sijui umeweka nini aisee, anyway mimi sina mda wa kuweka mjadala mreeefu na wewe. Kwa kifupi tu ni kwamba mimi naunga mkono kwa wananchi kulazimishwa kupiga kura ya Hapana. Mahakama ya kadhi ni janga kwa taifa.
wewe kijana ndio maana nakwambia acha ugoro nani kakwambia Katiba ni mahakama ya kadhi?
Na kama umeisoma mahakama ya kadhi imeruhusiwa humo?
Hahhaha....pengo kwakweli kalidhalilisha kanisa katoliki na maaskofu wenzake kwa kukengeuka na kuwageuka wenzake...ila mtumishi wa mungu gwajima angapunguza jazba kidogo!!!
Katumia lugha kali sana
Duh! Gwajima ndo kaamua kutembea na kidumu cha petrol, atalipuka sasa hivi!