Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Nimecheka sana kwenye hii audio tunakoelekea itakuwa bora ya jana! ngoja aje ahitimishe! kahtaan

Teh teh teh!

Kamanda Jambazi hujanishinda mimi kwa Kucheka.
Leo Gwajima Anamuuliza KADINALI PENGO ni nani aliyemloga?

Na mimi namjibu kuwa MCHAWI WAO YUKO VATICAN! Na wasiposhtuka Wataendelea na usanii wao Mpaka roho ziwachomoke!

Sisi yetu macho!
 
Last edited by a moderator:
Ameshindwa kushugulikia maaskofu waliokula mgao wa ESCROW anakuja kuleta upuuzi wake huku.Mimi ni mkatoliki nasiumi maneno Pengo kachemka tena sana.Ila nashukuru mapadri huku parokiani wanatuambia katiba haifai.
 
vijana wa chadema kwa double standard, wanamkosoa pengo sababu tu kapingana na maaskofu wenzie, ila wanampongeza sheikh wa wilaya Bagamoyo, kwa kukanusha kauli ya masheikh wengi
 
kwahio ndio imehalalisha askofu gwajima mtumishi wa Mungu kutoa matusi hayo tena mbele ya madhabahu???

Wacha upuuzi wewe! Msanii unamuita Mtumishi wa Mungu? Au mpaka akupitie na wewe?

Viongozi wa Wagalatia wote Wasanii tupu! Ukiwa na senti unanunua mmoja mmoja na kumuamrisha Utakavyo!

Mimi nataka Nione majibu ya Pengo hapa! Je! Atakuwa Pengo kweli? Au kumbe ni mwanya tu!
We endelea Kupekesa Makalio. Movie ndio kwanza imeanza.
 
Kanisa linamamlaka hayo hasa baada yakujiridhisha kama wanananchi/waumini wake wanatapeliwa kupitia hadaa za Sitta na washirika wake katika mchakato wa kupitisha vifungu vya katiba

Na kama mchakato mzima ungekua sahihi,kanisa kazi yake ingekua ni kuhamasisha waumini wake wakapige kura tu.
 
Kama kweli hiyo audio ni ya huyo mtu anayeitwa Gwajima, namshauri Mwadhama Kadinali Pengo asijibizane naye. Ni kichaa aliyevuka wendawaximu wa kawaida. Na kwa hakika huyu, hana hata chembe ya ulinganifu na Kadinali Pengo, iwe kwa heshima mbele ya jamii, uchaMungu na hata akili au hekima ya kawaida ya mwanadamu. Na hata kama tuchukulie Kadinali Pengo alifanya kosa kubwa saana, hayo majibu ya gwajima hata mvuta bangi na mpumbavu was kawaida tu asingezungumza hivo. Nakusii Kadinali Pengo usijibizane nae..
 
Mkuu Remote, watu wanachanganya madawa tu. Nitaendelea kuwapiga wasaliti wote hadi dakika ya mwisho. Jitu kama Zitto linastahili kuwa CCM. Chadema tulimvumilia sana

We mbona umewasaliti wazee wako wa Kamachumu na kujiunga na Chadema?
Au unataka tukudadavue hapa?
 
Last edited by a moderator:
Pengo kachemka. Mbona serikali na CCM wanazunguka nchi nzima wakitumia rasilimali za umma kuwaambia watu wapige kura ya ndio kwa katiba pendekezwa? Tatizo linaanzia hapo. Pengo halioni hilo? Wao wanapata wapi mamlaka ya kuwaamulia watu?
Tamko la maaskofu ni sahihi. Ni sauti ya kinabii. Pengo aache maaskofu watimize wajibu wao bila kuwachanganya.
 
Safi Sana Kwajima, much appreciated for sending a clear message to Pengo
 
Kanisa linamamlaka hayo hasa baada yakujiridhisha kama wanananchi/waumini wake wanatapeliwa kupitia hadaa za Sitta na washirika wake katika mchakato wa kupitisha vifungu vya katiba.
Na kama mchakato mzima ungekua sahihi,kanisa kazi yake ingekua ni kuhamasisha waumini wake wakapige kura tu.

Kanisa halina mamlaka hayo kamwe. Msidanganye vitu kwa maslahi ya siasa zenu. Kanisa linaendeshwa na Biblia, na kwa upande wa Kanisa Katoliki linaendeshwa na Canon laws (Code of Canon Law). Niambie ni wapi kanisa limepewa hayo mamlaka ya kupoka uhuru wa waumini wake?
 
Gwajima mzinzi mkubwa na mwizi wa wake zawatu. Sadaka za masikini zinazompa kiburi na dharau zitamkaanga kama viazi katika moto wa milele. Na ulaaniwe Gwajima
 
Maboso nikusahihishe Pengo sio Mkuu wa wa Kanisa Katoloki tanzania, vinginevyo kuingekuwa na mwenyekiti wa baraza la Maaskotu ambaye anakuwa msemaji wa. Pengo hadhi yake ni hehima ya kuingia katika baraza ya kumshauri pope. Mkuu wa kanisa ni Pope na kila askofu anawajibika moja kwa moja kwa pope kupitia ubalozi wa Pope kila nchi dunuani.

Canon Law (CODE OF CANON LAW) inampa majukumu hayo ndio maana ana influence katika Katika Kanisa. Bila hivyo basi ukardinali usingekuwa na maana yoyote.
 
Back
Top Bottom