Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Mkuu Remote, watu wanachanganya madawa tu. Nitaendelea kuwapiga wasaliti wote hadi dakika ya mwisho. Jitu kama Zitto linastahili kuwa CCM. Chadema tulimvumilia sana

a jamaa alituumiza sana, yaani jamaa aliuza kila siri ya chama kwa CCM.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani. Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo. Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.

Hapo ndipo inapokuwa vigumu kujua nani anaminfluence nani!. Pengo kawambia watu wakavote waonavyotaka na maaskofu wametoa yao na kwanini wavote hapana!. kama kuna kasoro hapa hakuna anyepaswa kutuagiza sisi tufanye nini!, kama hivyo basi na Pengo naye asiwambie watanzania wafanye nini. kwa maoni yangu watanzania wanataka ushauri wowote ule kutoka kwa mtu yeyote na watachuja wenyewe lakini kusema ukweli influence ya wanazuoni wa dini iko kila mahali na nchi nyingi zinapractice hii iwe ni nchi za west au east. Kwa maoni yangu ni kwamba sisi watanzania tumeachwa kuwa mbumbumbu wa elimu ya uraia na watawala ili tuendelee kuletewa sera mbovu na bila kuwa makini pengine kutokana na uelewa mdogo tulio nao watawala hao wanataka tuwe hivyo kwa makusudi. Pengo aseme yake na Maaskofu lakini demokrasia iwe wazi kwa wote na kama kuna dosari lazima ziweke wazi. don't shut up people for their opinions.
 
Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani. Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo. Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.

Hahahahahaaaaa Pengo ni Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania?
 
Maboso nikusahihishe Pengo sio Mkuu wa wa Kanisa Katoloki tanzania, vinginevyo kuingekuwa na mwenyekiti wa baraza la Maaskotu ambaye anakuwa msemaji wa. Pengo hadhi yake ni hehima ya kuingia katika baraza ya kumshauri pope. Mkuu wa kanisa ni Pope na kila askofu anawajibika moja kwa moja kwa pope kupitia ubalozi wa Pope kila nchi dunuani.
Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani. Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo. Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.
 
Kwa style hii naanza kumkubali Gwajima, hawa viongozi wajingajinga waliolewa madaraka na ufisadi hii ndio saizi yao, hivyohivyo Gwajima wako wengi wiki ijayo mpake mwingine
 
Hapa ndipo utaona viongozi wetu hawa wa dini, hawafanyi kwaajili ya Mungu, Maana hawana Uoga hata kidogo na Mungu. Bora hata wanasiasa wenyewe wanasitaha, Siku zote bora umkosee Mungu pekee Kuliko Mwadamu, Maana huweze umkosee mwanadamu bila kumkosea Mungu.
 
Back
Top Bottom