Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Maneno ya Gwajima VS Matendo ya Pengo????????????????????????
Ingekuwa tuko katika nchi iliyostaarabika - Pengo angepigwa risasi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Una Asilimia 90% ya Mihemko .. au Hypoxia unatumia only 10% ya ubongo wako
 
Asante Kikulachochako, Asante kwa kunipa hoja ya upande wa alichosema Pengo! Naomba tafadhali unipatie source nami nimsikilize/nimsome Kardinali Pengo. Please kama unayo.

Bahati mbaya mkuu sina nakala yake...kama kuna mwanajamii mwenye nayo atatusaidia...
 
Sioni tatizo kwa pengo na wala si busara kuwaamulia watu pengo ndo yupo sahihi kabisa alichoongea.
 
Sasa hujasikia alichokisema Pengo halafu unamtetea baba flora!!

Ninaposema sina nakala...nina maanisha kuwa baada ya kusoma huo ujumbe wake Pengo sijahifadhi nakala yake....nadhani umeshanielewa...
 
Acha mapenzi ya kutumia moyo weweee. Pengo ni mtoto wa kiume, agangamalee, mmekalia katukanwaa katukanwa, hilo la usaliti wa wakubwa wenzie mnaona kama Pengo anacheza mdako??? Grow up!

Mchungaji wako amekufundisha mtu akikusaliti mtukane? Kama tamko lina makosa Pengo akubali tu kisa taasisi imesema hivyo? Unakubalije mtu timamu uamuliwe aina ya Kura? Leo maaskofu wakituamulia Rais wa kumpigia kura utakubali? Acha kujidhalilisha wewe kisa Jina bandia na hatukuoni
 
AISEE WEWE JAMAA KUMBE NI KILAZA!!
Hebu mwambie aliyekutuma akufundishe na vya kuandika basi ili uwe logic kidogo mana unaandika utumbo na utaahira mtupu humu ndani. Yani unataka na viongozi wa dini wanaowakilisha makanisa yote katika Baraza la Maaskofu nao uwapigie kura? HIZO NI AKILI ZA MILEMBE

Utaratibu uko vizuri kwani kila kanisa lina maaskofu wake ambao kimsingi ndio walezi wakuu wa makanisa au madhehebu nchini sasa kwa makubaliao yao ambayo yapo kikatiba na waliyoridhia juu ya namna ya kupata uwakilishi wa kila kundi la kikristo ndani ya Baraza.

ILA Kwa hoja yako hiyo ya kipuuzi wewe unaweza kumwambia hata Mungu angekupa nafasi ya kumpigia kura baba na mama yako waliokuzaa.

Na, ikumbukwe hakuna utafiti alioufanya Pengo ila aliongea MAHABA yake na CHAMA CHA MAPINDUZI. Na kwa taarifa yako kama ulikua hujui au aliyekutuma hajakuambia, Pengo ndiye aliyekua mtu wa kwanza kudandia hoja ya Katiba Mpya na kusema kuwa Muungano upo na anatambua serikali mbili ila Askofu Paul Ruzoka alimuumbua kuwa hakuna serikali mbili ni uongo.

Kwahiyo mahaba ya Pengo na CCM ndio yanayomfanyaga awe anakurupuka siku zote..... ACHANA KABISA NA KUMTETEA MSALITI HUYU KADA WA CHAMA CHA MAPINDZUI ALIYEJIVIKA VAZI LA DINI.

#Kumbuka mabomu ya Arusha pale kanisani huyu huyu Pengo ndiye alikuwa wa kwanza kusema kuwa aliyerusha bomu ni mkristo, sasa atuambie hayo yote nayo alifanya uchunguzi gani? PENGO TUNAMFAHAMU VYEMA ANAPENDA KULAMBA MIGUU YA WATAWALA.

To be honesty naunga mkono alichokisema Gwajima,lakini haikutakiwa kutoa kauli ngumu km ile ktk mazingira yale,ameonesha hisia binafsi na hasira kali juu ya Pengo,by the way ni mkubwa kwake kwa hiyo busara ingetumika kwani kwa kawaida Watanzania hatuna tamaduni hiyo,.Angalizo kwa Viongozi wa dini,kutotumia uwingi wa waumini hasa siku za ibada kutoa maneno ya kejeli kwa wenzao,muhimu ni kutumia lugha nzuri tu na ujumbe utafika..
 
Gwajima is psychiatric and pathetic person, kalewa mafanikio na cheap popularity, UUNGWANA NA AKILI YA MHASHAM KADINALI PENGO ipo juu saana kueleweka na Gwajima. Achunguzwe akili zake asije akachoma watu moto kama KIBWETELE wa Uganda, na pengine kwao ndo huko, manake hana busara ya kitanzania hata chembe. Anaongea utumbo na matusi halafu watu wanamshangalia, SOMETHING IS NOT RIGHT.
 
Hata kama alikosea Gwajima hakuwa na haki ya kumtukana;
Je, hivyo ndivyo kuongoza roho za watu ili wafike mbinguni?

Gwajima ni mhuni tu.

kumbe kardinali PENGO alielekezwa na Mizengo PINDA Kutoa Tamko lake.

Wadau

Kuna mambo yanatimka na kuendelea huku Maofisini kwetu, yanakera, yanachefua na si ya kizalendo hata kidogo, na kila mpenda haki na amani lazima ayapinge kwa nguvu zake zote. Nimeona niyachomoe yaende hewani hivi hivi.

Jana Kumekuwa na Vikao vya ‘wakubwa selikalini ’ Kujadili tamko la Gwajima kwa Pengo, waziwazi wakubwa hao wametueleza kwamba wameelekezwa na Mizengo Pinda wamfuatilie Gwajima, kuanzia Usajili wa kanisa lake na sijui wamepanga nini zaidi. Maafisa Polisi wameagizwa kuanza ‘kazi’ ambayo hatujaijua bado kuhusu Gwajima, na maelekezi Yote yametoka kwa waziri Mkuu, Mh Peter Kayanza Pinda

Chanzo cha karibu kabisa na nyumbani kwa Pinda kinasema Pinda na Kardinali Pengo ni marafiki, na wamesoma Seminary pamoja, na wote ni wafipa. Chanzo kimesema bila kuogopa kwamba kumekuwa na kutembeleana kwa Pinda na Pengo kwa Mazungumzo, na chanzo kimetema wazi kwamba ni Pinda ndie aliye muelekeza Kardinali Pengo kwenda kinyume na matamko ya maaskofu Wote kwenye waraka ambao hata yeye Pengo aliusaini na kuukubali.

Chanzo kinasema pia kwamba Ni Pinda aliye mshawishi Pengo awaasi maaskofu wenzake na watu wa makanisa Yote. Chanzo kinadai binafsi kilikasirishwa sana na Kitendo cha Waziri mkuu kumnajisi kardinali pengo ambaye alikuwa na sifa kubwa ndani na nje ya nchi yetu.

Taarifa hizi ambazo zimesambaa kwa maaskofu wote wa Kanisa Katoliki wamemlaani sana Pinda, kitendo cha Pinda kumuharibu Pengo, na Kumfanya Pengo kama mtoto wa kuasi maamuzi yake mwenyewe kimewakera sana.

Baraza la maaskofu wa Katoliki linangoja kumuuliza Pengo, Ni kitu gani huyu Mfipa mwenzake alimlewesha kiasi cha kuropoka maneno hatari. Tamko la Gwajima kumrarua Pengo lilikuwa kumrarua Pinda ambae amekuwa mtoa maelekezo yale, sasa Pinda amekuwa Mbogo, ameanza kama chizi Kumsakama Gwajima, na Kutuharibia utaratibu wa kazi zetu za kila siku serikalini.

Baadhi ya maofisa wetu kwenye kikao walimjibu Pinda kwamba Askofu Pengo kashambuliwa na Askofu Gwajima waachwe maaskofu wapambane wao kwa wao bila kuweka mkono wa serikali kwenye mambo ya dini. Matamshi hayo yalionekana kumkera sana Pinda aliyemtishia nafasi yake.

Kuna chanzo kingine cha karibu sana ambacho kilirekodi kikao cha Pinda na Pengo. Kadiri ya sakata linavyoendelea kaeni mkao wa kuona Mengi. Kanisa la Gwajima jiandaeni kupokea ‘mambo’ kutoka kwa Pinda.
Natuma kama nilivyopata.

Umbea tuu, leta habari, gwajima ni mtanzania wa wapi
 
Natabiri anguko kubwa la Gwajima ndani ya miaka mitatu. Mark my words.
 
Revocatus Kashaga, Nikujibu kwa kutumia Canon Law ujue majukumu ya Kardinali. Kwanza ujue Kanisa Katoliki halina wakuu wa kanisa kila nchi ila kila jimbo lina askofu anayewajibika moja kwa moja kwa Pope. Katika nchi kuna baraza la Maaskofu Cardinali akiwa mmojawapo wa wajumbe kati ya maaskofu wanaounda baraza hilo na kuchagua Mwenyekiti wao ambaye anakuwa msemaji wao.

Kuna nchi ambazo kuna makardinali zaidi ya mmoja, utakuta wawili au watatu, sasa nani ni kardinali mkuu wa kanisa katika nchi wakati wapo wengi? Usibishane na wanaotoa hoja kwa kufikiria ya kichwani mwako ndio utaratibu, nakuletea hapo chini Context Canon Law ya Kanisa Katoliki kuhusu majukumu na wajibu wa makardinali.


Unaijua Codex of Catholic Canon Law na responsibilities za makardinali?

Nikupe darasa hapa jaribu kutulia na kusoma hiyo sheria ya Codex of Canon Law.

Responsibilities of the cardinals of the Holy Roman Church

The most important duty of a cardinal is to elect the Pope, but the responsibilities of the College of Cardinals have steadily evolved over the centuries. Cardinals are personally selected by the Pope. They give counsel to the Pope, contribute to the governance of the Church and act as papal envoys. Some are officers of the Roman Curia while many serve as bishops of major diocese around the world. Cardinals have been responsible for electing popes since 1059. They remain eligible to vote until age 80 and the number of voting cardinals is limited to 120.

The summary of the role of a cardinal from the Latin Code of Canon Law, 1983


The cardinals of the Holy Roman Church constitute a special College, whose prerogative it is to elect the Roman pontiff in accordance with the norms of a special law. The cardinals are also available to the Roman pontiff, either acting collegially, when they are summoned together to deal with questions of major importance, or acting individually, that is, in the offices which they hold in assisting the Roman pontiff especially in the daily care of the universal Church.

:nono: The College of Cardinals is divided into three orders:
1. the episcopal order, to which belong those cardinals to whom the pontiff assigns the title of a suburbicarian church (episcopal sees near Rome), and eastern-rite patriarchs who are made members of the College of Cardinals;
2. the presbyteral order; and
3. the diaconal order.

:nono:Cardinal priests and cardinal deacons are each assigned a title or a deaconry in Rome by the pontiff.

:nono: Eastern patriarchs within the College of Cardinals have their patriarchal see as a title.
:nono: The Cardinal dean has the title of the diocese of Ostia, together with that of any other church to which he already has a title.

:nono: Those to be promoted cardinals are men freely selected by the pontiff, who are at least in the order of the priesthood and are truly outstanding for doctrine, virtue, piety and prudence in practical matters; those who are not already bishops must receive episcopal consecration.

:nono: Cardinals are created by a decree of the pontiff, which in fact is published in the presence of the College of Cardinals. From the moment of publication, they are bound by the obligations and they enjoy these rights defined in the law.

:nono: A person promoted to the dignity of cardinal, whose creation the pontiff announces, but whose name he reserves in pectore (in confidence), is not at that time bound by the obligations nor does he enjoy the rights of a cardinal. When his name is published (made public) by the pontiff, however, he is bound by these obligations and enjoys these rights, but his right of precedence dates from the day of the reservation in pectore.

:nono: The dean presides over the College of Cardinals. When he is unable to do so, the sub-dean takes his place. The dean, or the sub-dean, has no power of governance over the other cardinals, but is considered as first among equals.

:nono:When the office of dean is vacant, those cardinals who have a suburbicarian title, and only those, under the presidency of the sub-dean if he is present, or of the oldest member, elect one of their number to act as dean of the college. They are to submit his name to the pontiff for approval.

:nono: Cardinals assist the Supreme Pastor of the Church in collegial fashion particularly in consistories, in which they are gathered by order of the pontiff and under his presidency. Consistories are either ordinary or extraordinary.

:nono: In an ordinary consistory all cardinals, or at least those who are in Rome, are summoned for consultation on certain grave matters of more frequent occurrence, or for the performance of especially solemn acts.

:nono: All cardinals are summoned to an extraordinary consistory, which takes place when the special needs of the Church and more serious matters suggest it.

:nono: Only an ordinary consistory in which certain solemnities are celebrated can be public, that is when, in addition to the cardinals, prelates, representatives of civil states and other invited persons are admitted.

:nono: Cardinals who head the departments and other permanent sections of the Roman Curia and of Vatican City, who have completed their 75th year, are requested to offer their resignation from office to the pontiff, who will consider all the circumstances and make provision accordingly.

:nono: It belongs to the cardinal dean to ordain the elected pontiff a bishop, if he is not already ordained. If the dean is prevented from doing so, the same right belongs to the sub-dean or, if he is prevented, to the senior cardinal of the episcopal order.

:nono: The senior cardinal deacon announces the name of the newly elected Supreme Pontiff to the people. Acting in place of the pontiff, he also confers the pallium on metropolitan bishops or gives the pallium to their proxies.

:nono: Cardinals have the obligation of co-operating closely with the pontiff. For this reason, cardinals who have any office in the curia and are not diocesan bishops are obliged to reside in Rome. Cardinals who are in charge of a diocese as diocesan bishops are to come to Rome whenever summoned by the pontiff.

:nono: When a cardinal has taken possession of a suburbicarian church or of a titular church in Rome, he is to further the good of the diocese or church by counsel and patronage. However, he has no power of governance over it, and he should not for any reason interfere in matters concerning the administration of its good, or its discipline, or the service of the church.

:nono:A cardinal may be deputed by the pontiff to represent him in some solemn celebration or assembly of persons as a Legatus a latere, that is, as his alter ego; or he may, as a special emissary, be entrusted with a particular pastoral task. A cardinal thus nominated is entitled to deal only with those affairs which have been entrusted to him by the pontiff himself.

:nono: When the Apostolic See is vacant, the College of Cardinals has only that power in the Church which is granted to it by special law.

Hakuna kifungu kinachoeleza au kuelekeza kwamba makardinali wanamajukumu ya kanisa kwa kiwango cha kuwakilisha na kuwa wasemaji katika nchi zao la hasha, ila ni;




  • Washauri wa Pope
  • Wajumbe wa kanisa katika vikao vya vatican
  • Wajumbe wa kanisa wanaomchagua Pope
  • Wajumbe ambao moja kwa moja ni candidates wa kuchauguliwa kuwa papa kunapokuwa vacant.


Pengo kadiri ya hieralikia ya kanisa yuko chini sana katika makardinali yeye ni askofu wa jimbo na kuna makardinali wengine waliokabidhiwa kuongoza idara huko Vatikan. Kuna baadhi ya makardinali ambao hukabidhiwa jimbo, parokia nk huko Italia. Soma maelezo hapo juu ya sheria utaelewa.

Hivyo basi Pengo zaidi ya majukumu aliyo nayo katika kuingia kwenye halmashauri ya kumshauri Papa, jukumu alilo nalo Tanzania ni kuongoza Jimbo Kuu la Dar es Salaam kama ilvyo maaskofu wengine wanaoongoza majimbo mbalimbali nchini, na kiutawala wanawajibika moja kwa moja kwa Pope kila askofu, kwa mambo yanayowahusu kiukanda huchagua mwenyekiti wao kila baada ya miaka mitatu na ndiye msemaji kupitia ofisi yao kitaifa inayoratibiwa na Padre katibu mkuu wa Baraza la Maadkofu Tanzania (TEC).

Kuwa mkatoliki haimaanishi kujua mfumo na majukumu mbalimbali ya watumishi wa kanisa. Kujua na kuelimika kuhusu mambo ya kanisa inakubidi uzamie kidogo vitabu si mabishano ya vijiweni kanisa Katoliki haliende kwa mwendo huo ila kisomi yakhe.

naona kiingereza kinakupiga chenga, unabishana na kitu ulichoandika mwenyewe!kazi kweli kweli
 
Natabiri anguko kubwa la Gwajima ndani ya miaka mitatu. Mark my words.

....kisa kumwambia pengo hivi?
.....tatizo pengo mmemuona kama Yesu, pengo ni mwanadamu tu kama wewe, hivyo usimtukuze kiviiiiile.
 
....kisa kumwambia pengo hivi?
.....tatizo pengo mmemuona kama Yesu, pengo ni mwanadamu tu kama wewe, hivyo usimtukuze kiviiiiile.



Tutasikia mengi safari hii.....Kwanini na Gwajima anaipinga katiba pendekezwa? Kwanini asifanye kz ya Mungu na kuachana na mambo ya serikali? Je hivi ndio Yesu alifanya pale alipokua hapa Duniani? Au ni muendelezo wa vuguvugu la wa protestant km walivofanya ktk katiba ya US pale zamani ndio linaendelea?
 
Heshima kwenu Wanabodi
Wote mtakuwa mmemsikia jinsi Mchungaji Gwajima alivyomtusi Kardinal Pengo juu ya msimamo wake kwenye tamko lilotolewa na Maskofu...Na katika shutuma za Gwajima alisema kuwa kuna mtu yupo nyuma ya Kadinali Pengo kumbe ni Pinda aka wapigwe tuu.

Waliopo ndani wananyetisha kuwa Pinda na Pengo wanaurafiki wa siku nyingi ambao unachagizwa na wawili hawa kusoma seminari moja na wote wakiwa ni wafipa. Tamko alilolitoa Kadinali Pengo inasemakana ilikuwa kwa maagizo ya Pinda. Kitu ambacho kiliwasikitisha Maskofu na waumini wengi maana Pendo alishiriki katika zoezi zima kisha akaja kutoa tamko ambalo kwa tafsiri nyepesi ni kama Pengo alikuwa ana likwepa tamko lililo tolewa na Maaskofu.

Baada ya Gwajima kuhamua kumtolea uvivu Pengo na Kumpa Vipande Vyake( Japo matusi na maneno ya Gwajima hayakuwa ya kiungwana) kimemkera sana Pinda na sasa vijana wapo kazini kufuatialia kanisa na Gwajima Soon utasikia ...... Japo Maofisa waliopewa kazi hawajalifurahia sana hili na walimshauri aliyewatuma kuwa serikali isijiingize kwenye hili bali waachie maaskofu wenyewe.

Urafiki huu kati ya Pinda na Pengo unahusishwa na harakati za uungwaji mkono katika mbio za uraisi kitu ambacho kinazidi kuonyesha ni jinsi gani CCM kupitia wanachama wake ambao wanawania uraisi wanavyo tumia mbinu chafu.

Naomba kuwasilisha!
 
Back
Top Bottom