Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Heshima kwenu Wanabodi
Wote mtakuwa mmemsikia jinsi Mchungaji Gwajima alivyomtusi Kardinal Pengo juu ya msimamo wake kwenye tamko lilotolewa na Maskofu...Na katika shutuma za Gwajima alisema kuwa kuna mtu yupo nyuma ya Kadinali Pengo kumbe ni Pinda aka wapigwe tuu.

Waliopo ndani wananyetisha kuwa Pinda na Pengo wanaurafiki wa siku nyingi ambao unachagizwa na wawili hawa kusoma seminari moja na wote wakiwa ni wafipa. Tamko alilolitoa Kadinali pendo inasemakana ilikuwa kwa maagizo ya Pinda. kitu ambacho kiliwasikitisha Maskofu na waumini wengi maana Pendo alishiriki katika zoezi zima kisha akaja kutoa tamko ambalo kwa tafsiri nyepesi ni kama Pengo alikuwa ana likwepa tamko lililo tolewa na Maaskofu.

Baada ya Gwajima kuhamua kumtolea uvivu Pengo na Kumpa Vipande Vyake( Japo matusi na maneno ya Gwajima hayakuwa ya kiungwana) kimemkera sana Pinda na sasa vijana wapo kazini kufuatialia kanisa na Gwajima Soon utasikia ...... Japo Maofisa waliopewa kazi hawajalifurahia sana hili na walimshauri aliyewatuma kuwa serikali isijiingize kwenye hili bali waachie maaskofu wenyewe.

Urafiki huu kati ya Pinda na Pengo unahusishwa na harakati za uungwaji mkono katika mbio za uraisi kitu ambacho kinazidi kuonyesha ni jinsi gani CCM kupitia wanachama wake ambao wanawania uraisi wanavyo tumia mbinu chafu.

Naomba kuwasilisha!
 
Kweli MKUU. Lakini cha ajabu zaidi Pengo akiwa ndiye Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania, na vile vile mjumbe wa TEC kama askofu Mkuu wa Dar alishindwa nini kuita mkutano wa WanaHABARI KUPINGA MSIMAMO huo WA mAASKOFU na akaamua kuzungumza KWENYE KIKAO CHA kinamama?
 
Kumbe ndo maana JK anapata wakati mgumu sana... Pinda na Pengo wanatumia taasisi ya ukatoliki kutimiza malengo yao ikiwemo mauaji plus kuwapaka matope mahasimu wao! Watanzania siyo wajinga tena, wanajua mikakati yote ya kishenzi... nilikuwa najiuliza Gwajima amepata wapi huu ujasiri ?... kumbe alikuwa amepelekewa mpango mzima wa makanjanja Pengo na Pinda... wachawi wenye kujificha nyuma ya mgongo wa kanisa..
 
Acheni kuzua zua mambo msiyoyajua kwanza hy Gwajima afatiliwe na Pinda kwa lipi? Hy Gwajima analaana ya kuchukua Mke wa Mtu, Pinda anamambo mengi ya kufanya, afatilii Mbwia Sembe wa nini!! kaiuza imeona haitoshi sasa anakula mwenyewe.
 
Ila kama nilimuelewa Pengo nadhani alitaka kila mwananchi atumie dhamira yake ya ndani kufanya maamuzi kwa kupiga kura ya ndio au hapana kitu ambacho kwangu pia ni sahihi na kwa upande wako Kwajoma nadhani alitakiwa kumwita Pengo amweleze alichokosea na si kutukana hadharani mbele ya waamini wake na kupata sifa za kijinga matokeo yake anaweza kutengeneza uhasama mkubwa haa machafuko kati ya madhehebu hayo mawili ya kikristo.
 
Kweli MKUU. Lakini cha ajabu zaidi Pengo akiwa ndiye Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania, na vile vile mjumbe wa TEC kama askofu Mkuu wa Dar alishindwa nini kuita mkutano wa WanaHABARI KUPINGA MSIMAMO huo WA mAASKOFU na akaamua kuzungumza KWENYE KIKAO CHA kinamama?

Mkuu tuweke mambo sawa. Kardinal Pengo si mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania. Pengo ni Askofu mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam.
 
Hapa Ndipo Pengo Anawaona Wapuuzi na Msiotumia Utashi... Hao Watu unaowatetea Watapiga Kura Ya HAPANA kisa Tu Eti Mahakama Ya Kadhi haipo..

Mnakuwa Vipofu kwa Mambo Mengine ya Muhimu mnang'ang'ania Mihemko ya Kidini na Kibaguzi...

Inamaana Mahakama Ya Kadhi Ingewekwa Halafu Haki za Binadamu zisiwepo Basi Waislam Wangepiga Kura Za NDIYO..

MTAKUWA NA AKILI ZA MATOPE NYIE

Umenena vema na ujumbe umewafikia Hii ndio Tanzania na hii ndio jamiiforums very interesting and relaxing!! Nafikiri wamekupata vizuri mie simo nilikuwa namjibu jamaa kuwa nao wametoa tamko na umenipeleka huko wakati simo safi sana!!!
 
Kweli MKUU. Lakini cha ajabu zaidi Pengo akiwa ndiye Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania, na vile vile mjumbe wa TEC kama askofu Mkuu wa Dar alishindwa nini kuita mkutano wa WanaHABARI KUPINGA MSIMAMO huo WA mAASKOFU na akaamua kuzungumza KWENYE KIKAO CHA kinamama?
Si unajua tena kabanwa kuhusiana na kina mama lakini nafsi yake inapenda kuwa karibu sana na kina mama? Naye ni binadamu bado adrenalin zinafanya kazi. Anawahitaji zaidi kinamama hao wakati huu kuliko hata zamani kwa kuwa sasa ni mgonjwa.
 
Huyu si tapeli na yeye wale wale tu alikuja nawatu wake hap akasem ni misukuke si ndo huyu huyu alikula mke wa mtu
 
Acha mapenzi ya kutumia moyo weweee. Pengo ni mtoto wa kiume, agangamalee, mmekalia katukanwaa katukanwa, hilo la usaliti wa wakubwa wenzie mnaona kama Pengo anacheza mdako??? Grow up!

Ulishawahi pima magonjwa ya akili..??
 
Hata mimi sikufurahia pengo alivyosema cause amesaliti kanisa, but gwajima du! kavuka mipaka kwa kweli, hata kama pengo amekosea hakupaswa kudhalilishwa kiasi hicho! ki kanisa gwajima ameinajisi madhabahu, huwezi mtaja YESU kwenye matusi kiasi kile dah! nimeumia kwa kweli ni naomba tu gwajima amtake radhi kardinali pengo ili kuisafisha madhabahu aliyoinajisi..!!
 
Asante Kikulachochako, Asante kwa kunipa hoja ya upande wa alichosema Pengo! Naomba tafadhali unipatie source nami nimsikilize/nimsome Kardinali Pengo. Please kama unayo.
Sasa ulikuwa unakurupuka nini kama chiriku jike....Kwann usijipe muda wa kupitia hotuba ya Pengo kisha utumie akili yako kuchanganua..??
 
Hauko nchi hii Mufti alitamka hadharani sio mara moja au mbili na shura ya maimamu kuwa watapiga hapana mpaka mahakama ya kadhi iwekwe humo kwenye katiba!!! Yasikutoke mapovu mengi IQ yako unaweza kuiangalia kwa majibu yako!!Maana unavyopost huna tofauti na Gwajima!!

IQ yako mpaka imekupeleka kumsupport gwajima, yani ujue umebakiza pointi chache sana uwe chimpanzee
 
Back
Top Bottom