Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Watanzania wenye akili na kuona mbali tupo wachache sana,pengo ni mshenz tena kibaraka mkubwa wa shetani ccm,na akifa ataenda motoni,ameongea vizuri nini? Anaipigia ndogondogo katiba shetani ya ccm halafu unamsifu ujinga,mbona hakukemea kuchakachuliwa kwa katiba iliyopendekezwa na wananchi?Mbona hakukemea kupigwa kwa jaji warioba na aliyempiga akapewa ukuu wa wilaya,pengo ni mnafiki,hayawani mchumia tumbo,mbona hakuikemea serikali kuwanyenyekea waislamu wapate mahakama ya kadhi kupitia katiba wakati serikali haina dini? Pengo ni wa kupigwa kabisa na siyo kutukanwa,jibu ni moja,hapana kwa katiba ya ccm.

Umeona nini sasa? Pengo na ccm toka lini? kwani kasema upige kura ya NDIYO? unadhani kauli zinatolewa tolewa tu kama karanga kila kukicha? unajua waislamu wao watafanyaje kuelekeza waumini wao?

Wewe kama utashi wako umekuambia ni kura ya HAPANA upo na Pengo, kama utashi wako umekupeka kupiga NDIYO bado upo na Pengo!! ndicho alichokiongelea. Na katika barua ya TEC utaona wameeleza baadhi ya mapungufu, ni utashi wako sasa ndiyo utakaokuongoza mwisho wa siku, haina aja ya kutoa povu kama umeshaelewa hilo.
Alafu unaelekea wewe ata barua hujaisoma, mropokaji , IQ fupi, huna confidence, yani jinga jinga punguani tu lenye uelewa mdogo kuliko ata mbu, na utalaaniwa kwa kumtusi huyu baba bila kosa, shit wewe uharo wa paka.Gwajima style, mbweha mkubwa
 
we vp wewe? kanisa lina utaratibu wa kutoa mafunzo kwa waumini wake kila chaguzi, we unadhani wanaropoka ropoka tu kama kina gwajima, Pengo ametumia busara na amejua mpasuko ambao ungetokea kama uhuru wa kuchagua ungeingiliwa.

Kwa hiyo kanisa kutoa mafunzo ya kupiga kura ya hapana nini tatizo mpaka kadinali aingilie kati!! Tumesoma na tumefundishwa katika vitabu vyote kuwa upo huru kuchagua jema au baya!! Kuishi au kufa,Hii ni kidini zaidi lakini kweli katiba imeacha misingi mizuri ya uajibikaji harafu unashauri watu waamue wenyewe wakati unaona haifai!!. Something is wrong somewhere!!!...Tusubiri tutaona!!!
 
sijakurukupa mkuu usijifanye ww n mkatoliki sana zaid ya wengine humu,hoja hapa n pengo hasa ck za hv karibun hana nguvu na ushawishi ktk TEC hana jipya, fatilia kwa umakini hata ktk matukio muhim ya kikanisa hahudhurii na kutokudhuria kwake hakuna madhara yoyote n wa kawaida tu km maaskofu wengine

Nimekuuliza Umesikiliza Audio????...... Hebu isikilize Ndo utajua why walipeleka Barua Kwake wakapewe Ruhusa.....

Usilete Siasa
 
Bila Pengo kuruhusu Hilo Tamko kwenda Katika Majimbo Lisingeenda... Tatizo Hamjamuelewa Pengo

Mwongo wewe. Jimbo linalosimamiwa na Askofu Pengo ni Dar es salaam tu na majimbo mengine nchini yanasimamiwa na maaskofu wengine.
Wala usitake kutuaminisha uwongo hapa eti Pengo ni askofu mkuu wa Tanzania nzima NOOOOOO.
Jimbo lake ni Dar peke yake.
Tena kiongozi wa Balaza la maaskofu katoliki alikuwapo ktk kikao cha maaskofu wenzake na alikubalia na kutia saini katika makubaliano ya maaskofu.
Pengo yeye ni nani hata apinge makubaliano ya maaskofu wote ambayo tayari yalishatolewa kwenye public??? Hili Pengo kalifanya makusudi ili awadhalilishe wenzake.
 
Hakuna haja ya kupoteza muda kwa "kuisoma". Sote tuliona matusi, kejeli, udhalimu na ulazimisha wa kuipitisha hiyo rasimu "live" bungeni kupitia tv.
Hakuna chakupoteza wala kususa. Kinachohitajika ni kura ya "HAPANA" tuuu.
 
Pengo kajieleza vizuri sana, alichotoa ni reservation yake hii mihemko na mapovu inashangaza Demokrasia gani ya kuwapangia watu wazima cha kufanya? Lawama ziende kwa waliokimbia katika medani ya vita.
 
Nimekuuliza Umesikiliza Audio????...... Hebu isikilize Ndo utajua why walipeleka Barua Kwake wakapewe Ruhusa.....

Usilete Siasa

kaka nmeisikiliza kwa makini sana,cha muhimu hapa yeye kama kiongozi tena mkubwa ktk kanisa hakupaswa kutoa kaul ya kupinga kile walichokubaliana maaskofu wengine,kuna mambo mengine inabid kukubaliana nayo hata km huyapenda ili kuonyesha UMOJA kati yao maaskofua,mbona kuna mambo meng t ktk kanisa ambayo yako dogmatic sijawah kumsikia akikosoa hadharan,kubal ukatae TEC ndo chombo kikubwa cha utendaji na maamuzi yote katika kanisa hapa Tanzania,nasisitiza tena n habar ya kukinzana kimtazamo haileti afya njema kwa ustawi kwa kanisa.
 
Kwa hiyo kanisa kutoa mafunzo ya kupiga kura ya hapana nini tatizo mpaka kadinali aingilie kati!! Tumesoma na tumefundishwa katika vitabu vyote kuwa upo huru kuchagua jema au baya!! Kuishi au kufa,Hii ni kidini zaidi lakini kweli katiba imeacha misingi mizuri ya uajibikaji harafu unashauri watu waamue wenyewe wakati unaona haifai!!. Something is wrong somewhere!!!...Tusubiri tutaona!!!

Yes amua mwenyewe. unao utashi.
Basi na mufti na jumuiya zote za kiislamu wameamua kupiga NDIYOOO..si ndio mnachotaka nyie na gwajima na kundi lote la IQ ndogo.
 
Kwa hiyo mwisho wa siku tukiambiwa na TEC kwamba lazima tumchague fulani kua Rais tukubali kwani sisi ni Punda
 
Ukimsikiliza Pengo utashangaa mihemko iliyoko humu ya kumpamba Gwajima.

Pengo na Gwajima woote wana makosa ya kipi cha kusema na wapi pa kusemea na ni lipi kulisema au kutolisema! wajifunze kuwa wao ni viongozi katika jamii!

Kard.Pengo - Ameruhusu barua isomwe na halafu anaiponda! Yeye siyo msemaji wa TEC!
Gwajima - Matusi siyo kitu chema na katika kadhia kama aliyoianzisha Kard.Pengo kunahitajika uvumilivu!
 
Chungurumbira:
Wewe unayefuata ya kuambiwa bila kutumia akili yako ndiyo Punda
 
Yesu aliwahi mwita mfalme wa nyakati zake mbweha. Maaskofu wa Catholic hawawezi kumrudi pengo maana ni mwajiri wao. Hivo Mungu huinua aliye juu yake kumwadibisha

Ndo mtazamo wako au standpoint yako wewe?
 
Kura nitapiga kwa ninavyoona mimi sio kwa kulazimishwa na mtu yoyote..wajinga ndo waambiwe jinsi ya kupiga kura
 
Ilitakiwa vijana wa kikatolic mkamtie dispiline,nashangaa mpaka sasa kimya.

Hapana... Hatujafundishwa hivyo.. Kichaa akikimbia na nguo zako unajisitiri kwanza. Naamini Mungu mwenyewe ataamua juu ya gwajima na kauli zake hizi.
 
Back
Top Bottom