Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Mzee wa uzunguni kadanganywa achokoze nyuki wa Uswazi;kama ndugu zetu kwamba risasi zitageuka majimaji kumbe wakafa !
 
Pengo hakuwa sahihi ila namna Gwajima alivyofikisha ujumbe imemwacha uchi mwenyewe na tusiokuwa na imani ndiyo anazidi kutuelekeza shimoni!
 
Nampa hongera mch.Gwajima kwani tumemchoka kumsikia Pengo na timu yake kututeulia rais wa nchi.
ZAMA ZA PENGO ZIMEKWISHA
 
Hakuna cha maana ulichokiandika,jifunze kutofautisha kati ya typing errors na logical fallacies.
Pole sana. Hivi unaelewa maana ya fallacy au unajiongelesha tu? kwa hiyo ulichomkosoa Otorong'ong'o ni logical fallacy na sio typing error? hebu acha kujiaibisha. kajipange upya ndio uje hapa.
 
Nampa hongera mch.Gwajima kwani tumemchoka kumsikia Pengo na timu yake kututeulia rais wa nchi.
ZAMA ZA PENGO ZIMEKWISHA

mmmmmmh sasa nimeelewa kwa nini mnamshambulia sana Pengo kumbe ni vita ya Uraisi uchaguzi ujao ahaaaaaa.Lakini vyovyote vile Pengo si wa kuchezea.Nayaonya makundi yote yanayotafuta uraisi na washabiki wao.Pengo sio wa kuchezea.Shauri yenu.Kwa hiyo Gwajima na mikoba yake ya kisukuma ndiye mmempa kazi ya kuamua nani awe Raisi wa nchi.Haya weeeeeee.Mwenye macho hana haja ya kuja ambiwa tazama.
 
Hivi uyu alietoa matusi si ndio kazaa na florah mbasha??????
Sio tu kamdhalilisha pengo bali kawatukana wakatoliki wote
 
Hapana...Huyu amejidhalilisha mwenyewe..na kanisa lake analolisimamia. ni mfano hai wa wachungaji feki.. Kwa style hii.. Sidhani kama Flora alisalimika.
 
Bila kupofushwa macho ya kiroho...!huwezi kuwa muumini katika kusanyiko la Gwajima baada ya kusikiliza audio hii vinginevyo atubu mbele za Mungu. Pengo kakosea kibinadamu na hata kiroho...ingawa mwenye hukumu ya mwisho ni Mungu mwenyewe. Lakini lugha aliyotumia Gwajima katika audio hii haikubaliki katika imani ya kiroho ya Kikristo kwa Mungu wetu mmoja.
 
Unadhani kanisa katoliki ni kama hivo vijikanisa vyenu, free will ata Mungu aliwapa adamu na eva, Mungu mwenyewe haingilii free will yako unajichagulia peponi au jehanamu. Nyie makanisa yenu koko ndio mmezoea kutoambiana ukweli. Pengo hajakosea, Pengo ni sauti ya wakristu Tanzania , hilo ujue kabisa , Si malasusa wala gwajima wala pimbi mwingine yeyote. Tafakari.
 
acha kumpiga mkwala mwenzako,hiyo laana elekeza kwa gwajima kwanza,halafu tuone kama haijaludi kwa pengo ,mungu si anasimamia kwenye ukweli ,yaani dini ni kitu mbaya sana watu wanakua kama mambuzi,maaskofu wanaiba ,wanafiki , waongo na matakataka yote wanafanya wao,lakini waumini hawaoni salaree ,upofu gani huu!! kweli waumini ni makondoo

Haya bwana mkwara.
 
Imtafune kwa nini.? Kwa alipofika pengo kujifunua wazi kama kaahidiwa ubunge wa viti maalum.!

haya bwana mimi ni mkristo lakini siwezi kumtukana Mufti vile nikabaki salama! haya bwana vijana you are immune
 
ujasiri wa gwajima ni mkubwa na wa mfano hatutaki watumishi wa mungu wanaoona haya kwenye mambo ya kweli
 
Ni bora kuuliza kama huelewi Pengo ndiye kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania na Sio Tz tu Hata Kenya na Uganda hazina makadinali hivyo Pengo ni msimamizi pia. Watu wanashindwa kuelewa hoja ya Msingi alichokisema Pengo ni maoni yake binafsi na sio kosa mtu kutoa maoni yake binafsi
Nadhani wewe si mkatoliki ndio maana unadandia mjadala kwa mbele. Here is the Roman Catholic church hierarchy.
[h=1]Ranks in the Catholic clergy[/h]From http://www.catholic-pages.com/

People who have received holy orders or who have been ordained (see Seven Sacraments) are part of a union known as the clergy, a formal religious leadership within adenomination or a religion. The Catholic Clergy, the head with the Pope - being Pope Francis.
[h=2]Ranks[edit][/h]The Catholic Church, being one of the oldest organisations in the world, has a very complicated hierarchy.

  • Laity: People baptised as Catholics (the faithful) are counted as members of the Catholic Church - the Lay people.
  • Deacon: Attaining the 'rank' above the Laity is only possible after receiving the Sacrament of Ordination, where after 6 years of training a seminarian can be ordained adeacon - becoming part of the Diaconate.
  • Priest: A deacon can then choose to take the vows of celibacy after one year, to become ordained a priest and part of the Presbyterate, (a brother in service to approximately 400,000 other priests in the world).
  • Pastor: The priest who is in charge of a parish.
  • Monsignor: If a priest is noticed as being a notable individual in service to the Catholic Church, he can attain the title of Monsignor. (Note: monsignori are not the 'bosses' of other priests)
  • Bishop: If a priest is noticed by bishops around him and the local diocesan bishop is either dead or retiring (the recommended age is 75), the local bishops can send a suggestive report to the Apostolic Nuncio of the country (who is the Vatican's representative to a country), who will then conduct his own investigation into the person and if proven positive again, he will send his findings to the Vatican; where independent bishops will look into the person. If the priest concerned is pleasing to these Bishops, they will present a report to the Pope, who has the power to veto the decision if he so wishes. If the Pope doesn't veto the priest becoming a bishop - the priest is then episcopally consecrated (more commonly referred nowadays as Episcopal Ordination), therefore becoming a diocesan bishop and part of the episcopate, and one of 5000 bishops.(Note: a bishop is only the 'boss' of the priests in his diocese)
  • Archbishop: An archbishop is not a specific 'rank' in the clergy and archbishops are not the bosses of other bishops. Archbishops are merely the diocesan bishop of a larger diocese - an archdiocese, which will usually be in a city area.
  • Cardinal: If the reigning pope (currently Pope Francis) chooses a clergyman to help him run the Church in the Roman Curia in Rome, then the clergyman concerned will be elevated to the rank of cardinal. (Note: cardinals are not the bosses of other bishops.). There are three branches of cardinal: cardinal priest, deacon and bishop; who will be given larger roles in the organisation of the church depending on their respective roles. Each of these branches of cardinal are the clergy rank those men had before becoming a cardinal. Cardinal is an honorary position that is used as a reward for some of the best clergymen. According to Papal Law (or more commonly known as Canon Law), any man who is a member of the three Rites of the Catholic Church can become a cardinal regardless of their rank.
  • Pope: The final rank and the highest rank is the Pope, who Catholics believe to be the successor of Peter and the Vicar of Christ. He is elected by the College of Cardinals at the conclusion of the previous papacy - resignation or death. To be elected pope, one must have a 66.6% majority of the votes. The current pope is Pope Francis.

"One must have a 66.6% majority of votes". Mkuu mbona hiyo namba ni ya mpinga kristo..?
 
tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama kardinali wa kanisa katoliki tanzania, hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani.

Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo.

Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.

nb: attachment ni mahubiri ya mwadhama kardinali pengo ambayo ndiyo yamemfanya gwajima aongee hayo

i like
 
Pengo amekosea.amuombe gwajima na maaskofu msamaha,kila mara huwa anakurupuka.
 
hekimatele umejibu swali langu lakini at the same time nimejibu swali lako.Ukisikiliza aliyoongea Gwajima huna haja yakujua Pengo aliongea nini kwa maana hastahili yale maneno hata kama kweli alikose
 
Last edited by a moderator:
Unadhani kanisa katoliki ni kama hivo vijikanisa vyenu, free will ata Mungu aliwapa adamu na eva, Mungu mwenyewe haingilii free will yako unajichagulia peponi au jehanamu. Nyie makanisa yenu koko ndio mmezoea kutoambiana ukweli. Pengo hajakosea, Pengo ni sauti ya wakristu Tanzania , hilo ujue kabisa , Si malasusa wala gwajima wala pimbi mwingine yeyote. Tafakari.

Hapo kwa Malasusa nadhani unachokoza nyuki.....huwezi kumuweka kundi moja na Gwajima.
 
Clip ya Gwajima nimeisikiliza na mi kama mkristo sidhani kama ile ilikuwa njia sahihi ya kumuongelea Mzee Pengo.
Kwanza ukiangalia suala la umri tu, Gwajima anapaswa kumuita Pengo Baba. Tofauti ya itikadi za kidini haitupi right ya kumuongelea mwingine namna ambavyo Gwaj amefanya.
Nadhani unajua fika kuwa vitabu vyote vya dini hususani Biblia nnayoisoma mimi imeainisha kinagaubaga kuwa suala la kuwaheshimu wazazi ni jukumu letu sote. Yeyote aliye umri sawa na mzazi wako naye ni sawa na mzazi wako. Hivyo ndivyo tulivyolelewa enzi zile mpaka sasa. Utandawazi umepunguza maadili sana lakini haitufanyi kukengeuka kiasi hicho.
Tunapaswa kuenenda kama maandiko yanayotuambia tusije jichumia dhambi za kukosa utiifu buuureeee.

Nadhani mpaka hapo nimeshajibu swali lako

Yesu aliwahi mwita mfalme wa nyakati zake mbweha. Maaskofu wa Catholic hawawezi kumrudi pengo maana ni mwajiri wao. Hivo Mungu huinua aliye juu yake kumwadibisha
 
Back
Top Bottom