Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

binafsi nasema pengo kakosea lakini haku stahili matusi kama alivyo fanya gwajima....una muita kiongozi mwenzako wa kiroho "mpuuzi","mjinga"...that means na wote wanao muamini yani waumini wa kanisa analo liongoza ni wapuuzi na wajinga....

pengo alistahili hilo, harafu ili tuweze ku roll out tusi tunaimba kujua kuwa maamuzi yalikuwa yake peke yake au baraza lote? Ili tutukane wote. Watu tuko serious na maisha nyie mnaleta mbwembwe
 
Anayemuunga mkono Pengo ndiye mhuni,Gwajima amempa haki yake.
Gwajima ni muhuni angalia zungumza yake mi napataga shida kuwaelewa hawa wanaojiita wachungaji wenye makanisa binafsi.Ifike point tuwakimbie hawa watu stress zetu za maisha ndio mitaji yao.
 
binafsi nasema pengo kakosea lakini haku stahili matusi kama alivyo fanya gwajima....una muita kiongozi mwenzako wa kiroho "mpuuzi","mjinga"...that means na wote wanao muamini yani waumini wa kanisa analo liongoza ni wapuuzi na wajinga....
Mahubiri ya Gwajima ukiyaangalia kwa jicho huru yatakutia kichefuchefu, ila ukiyaangalia kwa jicho la mhemuko wa kisiasa utampigia makofi kama zuzu.


Yale matusi hayafai kutamkwa na kiongozi wa kiroho, vipi wale Walioenda na familia zao wamejifunza nini.?

Tuliowengi hatukubaliani na Katiba pendekezi lakini vilevile hatuungi mkono uvunjifu wa maadili kupitia viongozi wa kiroho!


Pengo kateleza ila Gwajima kaanguka kabisa.!
 
Gwajima hajalitukana kanisa katoliki. Amemjibu Pengo. Gwajima alitamka neno kwamba kanisa katoliki ni kanisa lililomlea.
Sioni tatizo. Nafasi ya Pengo kwenye jamii ni kubwa ila yeye anajidharaurisha. Hivyo kapata mpuuzi mwenzie.
 
Mkuu, hujasikia kuna fake pastors wameenda kumshawishi EL kuchukua fomu? wameandamana mpaka kwake area D.

Hamna fake pastors watu wameonesha hisia zao, mbona na wewe una fake id hapa jf does it mean you are fake too
 
huu uzi haukuhusu ndugu yangu!

unafamu kanisa katoliki liliwahi kunyonga watu wangapi kwa tuhuma za uchawi kipindi cha medieval :what:
kwanini makosa ya makasisi hawa wasiadhibiwe kama wachawi wale (ambao sidhani kama kanisa lilikuwa na uhakika kama ni wachawi kweli :what🙂
 
Na kwa huyu askofu Pengo kosa lake ni kupingana na wenzake japokua alisema kwenye kikao hicho yeye hakuwepo kama mlimsikiliza vizuri, kwahio huo ndio ungekua mchango na maoni yake, na kwa uelewa wangu mdogo namuona yuko sawa kwani kla mtu anaongozwa na dhanmira yake hauwezi kumpendekezea mtu chakufanya tena akiwa kwenye chumba cha siri,nadhani wote tulimsikia kama mnasema kaongea vibaya ni mihemuko yenu tu ya kisisa na uchama na si vinginevyo. Askofu yupo sawa ila maoni yake asingeyasema tena kwani maazimio yalishapita angekaa kimya tu kwani ukimya ni busara kuu kuliko zote lakini ukweli usiopingika ni kura ya hapana.

Huyu mchungaji ndio amekosea pengine kulikowote kwani maandiko matakatifu yanatutaka kuwa naupendo kwa watu wote na tukoseanapo tuonyane kwa saburi, sasa hio ndio saburi? Nadhani analeta hisia zake kwa mgongo wa injili, baba mchungaji mimi ni mdogo sana tena sana kwa habari ya injili, nijuavyo mtu kama yeye kila akiongeacho kwa waamini kina mwongozo wa ROHO kwa hapo hakika si ROHO ni hisia
 
Najua hasira za gwajima ni kuambiwa na serekali ahame yale maeneo anayofanyia ibada so kawachukia ccm balaaa...ila katumia matusi sana
 
Ahsante sanaaaa GWAJIMAAAAAAAA, mpe vyake huyo kibaraka wa Kikwete, ameshashiba pesa za ESCROW anaropoka tuu. Mpe vyakeeeeeee, shenzi kabisa huyo Pengo.

Shenzi hii itakutafuna maisha yako yote! Just wait and see!
 
asante kwa jibu muruaaa Pengo ni msaliti tu kama wasaliti wengine.....michano ya gwajima imeisindikiza wikiendi yangu vizuri sana

mkuu hilo jina litakudhuru! au una undugu na Kakende??
 
Last edited by a moderator:
Najua hasira za gwajima ni kuambiwa na serekali ahame yale maeneo anayofanyia ibada so kawachukia ccm balaaa...ila katumia matusi sana

Baba klareee chochea moto chochea moto baba klareee.
 
Kweli wewe ni MKATOLOKI. Anyooshwe kwa Kudhalilishwa vile? Hakukuwa na njia nyingine?

Hahahahh!umenifanya nicheke maana cjui ni kitu gani ambacho hawataki kuelewa kuwa mchungaji kakosea , © Binti kiziwi njoo muone Mkatoloki
 
haya wewe ndie mkatatoliki peke yako!

Chinga, usiwe na ghadhabu. JF ni sehemu ya elimu. Ndio maana nimekuomba urejee kwenye ukweli ndipo utakapojua kwamba Kardinali Pengo si Kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania. Nakupa homework hiyo ili umtafute na umjue kuanzia leo.
 
Pengo ungeangalia kwanza upepo wa siasa za nchi unaelekea wapi kabla ya kutamka. Siasa si Liturjia. Ona sasa unavyotukanwa. Lakini muhimu zaidi ni "JE, WAWEZA KUMSAMEHE KAJIMA KWA KUWA HAKUJUA ALILOLISEMA?"
 
Huwa inatokea, Rais mstaafu Mzee Mwinyi aliwahi kutandikwa kofi na bwana mdogo kwa kile kilichaaminika kuwa kaenda kinyume na wenzake. Hiki ndicho kilichompata Pengo japo siungi mkono kauli aliyotumia Gwajima. Pengo aliwasaliti wenzake, haiwezekani mkubaliane kitu na mkitie sahini kisha baadaye uongee kinyume na yale mliyokubaliana.

Uko juu ya mstari.pengo alitikiwa atoe yake kwenye vikao vyao vya ndani.sio kusimama wima bila kisisi kusema vile. Kwanza yule roho ya yuda skariote anayo zamani.siku hizi uwanadini si wito ni deal.
 
Back
Top Bottom