Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Hata goliati hakuwa size ya Daudi na alikula kichapo cha jiwe moja tu historia yake ikafutika;(
ukubwa wa pua si wingi wa kamasi

asante kwa jibu muruaaa Pengo ni msaliti tu kama wasaliti wengine.....michano ya gwajima imeisindikiza wikiendi yangu vizuri sana
 
Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani.

Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo.

Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.

Acheni kupotosha mambo na watu... katiba sio swala la siasa... tena nasema hivi KATIBA SIO SWALA LA SIASA.. warioba alisema mkiwaachia wanasiasa hili swala litavurugwa... KATIBA ndio sheria mama.. inayo ongoza kila kitu kuanzia dini, shule, kazi, haki za binadamu na miongozo yooote katika nchi na muhimu kuliko yooote KATIBA inamgusa kila mtu katika nchi hata wageni wanao tembelea nchi yetu katiba inawahusu...

Ukisikiza hiyo audio utasikia wanasema maaskofu wa katoliki walikubaliana na pengo alisaini hiyo barua inakuwaje leo anaibuka na kuwasaliti wenziwe??? Naomba radhi kwa kuwaingiza wenzetu waislamu... ila naomba niulize wanao push swala la mahakama ya kadhi ni viongozi wa dini ya waislam.. mbona wao hamsemi kuwa wanaingilia mambo ya siasa???

Haya ni mambo yatakayo tuongoza kwa miaka 50 ijayo.. yata gusa kuanzia watoto wetu hadi wajukuu wetu... Iwapo mambo ya dini yataruhusiwa kuingia kwenye katiba hii nchi haitaenda... vip wale wasio na dini?? Serikali yetu haina dini... hivyo mambo ya dini waachiwe wenye dini na viongozi wa hizo dini husika...

PENGO AMEKOSEA SANA... NA KWA CHEO CHAKE NILITEGEMEA AWE NA HEKIMA KULIKO ALIZOONYESHA HASA UKIZINGATIA MAASKOFU WENZIE WA KATOLIKI WENZIE NDIO WALIOKUBALIANA NA YEYE AMESAINI HIYO BARUA (sina uhakika kama alisaini thou ni kwa mujibu wa hiyo audio)
 
Hapa kuna kitu kimoja, ukweli haya makanisa yanayo chipua kama uyoga ya kilokole ni hatari kwa usalama yana pokea misaada mingi kutoka nje na yanaogozwa na watu hovyo kabisa ambao kwao busara ni zero Haya makanisa ndio haya ya mtikila na kesi yake ya kadhi

Binafsi simpendi Pengo kwa sababu mara nyingi ameonesha wazi kuwa na chuki za wazi na waislam tena bila msingi. Hata hivyo atabaki kuwa at least ni mtu mwenye busara katika maamuzi ,mfano wakati wa vurugu za mbagala na kumwagiwa acid mapadre hakutoa kauli ya vurugu bali kusamehe .

Msimamo ule wengine hawaku upenda walitaka vurugu yeye akasimama kuiomba serikali ichhukue hatua hivyo ni busara ya ukubwa na elimu ambayo hawa walokole wenye mihemko hawana siku wakiwa wengi kama kule nigeria nchii hii itaripuka huo ndio ukweli

Walokoloe ni wakiogopwa sana watu wameacha makanisa yao yenye historia zao na kufata mihemko bila kujua chanzo cha hilo kanisa huyo mchungaji anaepiga mikelel ametokeanwapi watu wamekua kondoo wa kweli kama kondoo mnyama

acha kurusha mawe wakati una nyumba ya vioo! kahtaan akirusha mambo ya vatican huwaga mnajificha MMU
 
Acheni kupotosha mambo na watu... katiba sio swala la siasa... tena nasema hivi KATIBA SIO SWALA LA SIASA.. warioba alisema mkiwaachia wanasiasa hili swala litavurugwa... KATIBA ndio sheria mama.. inayo ongoza kila kitu kuanzia dini, shule, kazi, haki za binadamu na miongozo yooote katika nchi na muhimu kuliko yooote KATIBA inamgusa kila mtu katika nchi hata wageni wanao tembelea nchi yetu katiba inawahusu...

Ukisikiza hiyo audio utasikia wanasema maaskofu wa katoliki walikubaliana na pengo alisaini hiyo barua inakuwaje leo anaibuka na kuwasaliti wenziwe??? Naomba radhi kwa kuwaingiza wenzetu waislamu... ila naomba niulize wanao push swala la mahakama ya kadhi ni viongozi wa dini ya waislam.. mbona wao hamsemi kuwa wanaingilia mambo ya siasa???

Haya ni mambo yatakayo tuongoza kwa miaka 50 ijayo.. yata gusa kuanzia watoto wetu hadi wajukuu wetu... Iwapo mambo ya dini yataruhusiwa kuingia kwenye katiba hii nchi haitaenda... vip wale wasio na dini??

Serikali yetu haina dini... hivyo mambo ya dini waachiwe wenye dini na viongozi wa hizo dini husika... PENGO AMEKOSEA SANA... NA KWA CHEO CHAKE NILITEGEMEA AWE NA HEKIMA KULIKO ALIZOONYESHA HASA UKIZINGATIA MAASKOFU WENZIE WA KATOLIKI WENZIE NDIO WALIOKUBALIANA NA YEYE AMESAINI HIYO BARUA (sina uhakika kama alisaini thou ni kwa mujibu wa hiyo audio)

Mkuu umeongea kwa hisia kali, lakini naomba nikuulize swali moja, je mahubiri ya Mwadhama Kardinali Pengo uliyasikiliza?
 
Kama Kilaini alipata mgao wa hela za dhambi (escrow), inaingiaje akilini kuwa yeye Pengo akose huo mgao? ulizia akaunti za stabic kama ya kwake haipo. Kwa hali hiyo unadhani hawezi kufanya mambo ya kujikosha kwa ccm?

usiwe mwenye kushindwa kufikiri. Mbali na hilo yeye ni kiongozi mkubwa tena wa kiroho, angekuwa na busara angeongea na viongozi waliotoa matamko hayo kuwa wanakosea na si kwenda public kwenda kuleta malumbano na kuwaaibisha wenzanke.

Juu ya hilo yeye alikuwa wapi wakati wenzake walipokutana na kujadili hayo matamko. PENGO NI MNAFIKI NA MPENDA SIFA.

Words mkuu.
 
Hata goliati hakuwa size ya Daudi na alikula kichapo cha jiwe moja tu historia yake ikafutika;(
ukubwa wa pua si wingi wa kamasi

Usitetee ujinga.......angetumia approach nzuri kuyasema hayo na sio matusi.Kosa halihalalishwi kwa mtu mwingine kutukana.
 
Hili sio suala la siasa ni kwamba Pengo kachemka sana haiwezekani maamuzi yafanyike na taasisi alafu wewe uje kuyakana kwa sababu tu mawazo yako hayakukubalika. kiongozi mzuri ni yule ambaye anasikiliza hata pale ambapo hoja zake dhaifu hazikupenya kwenye kikao. (institutionalization). sababu ya yeye kumtaka pinda kwa kuwa anatoka nae sehemu moja haiwezi kutufanya tusiwe objective kama taasisi. kwa ufupi ameshindwa kusoma alama za nyakati na kupigania mtu ambaye hawezi kushinda au kukubalika kutokana na historia dhaifu ya uongozi kwa nafasi aliyonayo sasa. acha ushabiki kwa pengo mwambie ukweli asizidi potoka
 
Huyu gwajima hana heshima hata kidogo. Hekima na mwenye akili hawezi kutamka hivi.
 
Mkuu Remote, watu wanachanganya madawa tu. Nitaendelea kuwapiga wasaliti wote hadi dakika ya mwisho. Jitu kama Zitto linastahili kuwa CCM. Chadema tulimvumilia sana

mpaka leo mgoni Slaa ana kadi ya Ccm mwambieni airudishe kwanza

#Zitto
 
Last edited by a moderator:
imbombo ngafu , kama kuna dhehebu mwaka huu litakiunga mkono ccm basi litakuwa limelaaniwa na Mungu wa israeli, isaka na yakobo

eheee kumbe kila mtu ana mungu wake!?
haya mungu wa Tanzania nae atalani!?
 
Gwajima ametimiza wajibu wake kama mtanzania yeyote ambaye ameamua kutumia haki yake kikatiba
 
Kiukweli Pengo amedhihirisha kuwa yeye ana mahaba na CCM, ni hii mbaya sana kwa watumishi wa mungu.

Naanza kupata mwanga kuhusu mgao wa escrow inawezekana hata kwake uliptia huyu pengo nikiongozi mzuri lakini kwa hili afadhali awaombe radhi watanzania
 
Pendo ndo kajidharirisha, Pengo ni mpumbavu hata mimi namuunga mkono Gwajima, kwa hali ya sasa ya Tanzania hakuna mtu mwenye akili timamu ataunga mkono MAHAKAMA YA KADHI.

Nikweli mkuu
 
Gwajima ametimiza wajibu wake kama mtanzania yeyote ambaye ameamua kutumia haki yake kikatiba

Wajibu kutukana?Pengo ndiye aliyetimiza wajibu wake hata kama alitereza lakini hakutukana mtu.
 
Duh!! Mwaka huu sijui kama tutatoboa salama,,,

Kuna ishara mbaya mbele inaonekana inakuja,,

Hapo bado issue ya mahakama ya kadhi haijaanza ,,, kiukweli ni shida!!

Kikweli ni kuwa giza kimetanda mbele yetu bila kujali itikadi za siasa kila mtu aombe anavyoweza
 
Back
Top Bottom