This is too much..
Safi hata mwenye akili kiduchu atamielewa Gwajima.
This is too much..
Kwani Pengo ni nani mpaka asiambiwe ukweli. We ni mpuuzi nini
Huyu gwajima hana heshima hata kidogo. Hekima na mwenye akili hawezi kutamka hivi.
Kinacho anagiwa sio lugha aliyo tumia Gwajima ila je ujumbe unafika?hicho ndio kitu muhimu kuangalia hapa,
Kwa mimi nimemuelewa sana Gwajima na laiti kama siku nikionana naye,nita mpa hongera kwa kuwa jasiri kama simba,maana huwa aangalii wadhifa wa mtu,
Gwajima ni kama Yohana mbatizaji,yeye ni sauti ya mtu aliaye nyikani.
Mahakama ya Kadhi? Sasa hapa ndipo inapodhihirisha kwamba haufahamu hata alichoongea Pengo. Pia ninaanza kuwa na wasiwasi kuwa huenda hata Gwajima hakusikia alichoongea Pengo. Ni vyema ukafanya utafiti kabla haujaongea. Nilitaka niweke audio clip ya alichoongea Pengo, ila naona nitakuwa napoteza muda tu kujadili na watu kama huyu totoo brstPengo ni takataka kabisa na ni hafai katika jamii haiwezekani kukiuka na kwenda kinyume na maaskofu wenzake,yani namfananisha na kopo la chooni,hafai kabisa
Kwa yeye kukubali ina maanisha wakatoriki wote ni wamekubali mahaka ya kadhi
Gwajima akili yake sio nzuri.....asicheze na Pengo.Awatukane hao hao malofa wenzake.
We jamaa kichwani mwako sijui umeweka nini aisee, anyway mimi sina mda wa kuweka mjadala mreeefu na wewe. Kwa kifupi tu ni kwamba mimi naunga mkono kwa wananchi kulazimishwa kupiga kura ya Hapana juu ya katiba hii yenye maslahi ya CCM, wewe kama unaona katiba ina maslahi kwako basi kaipigie kura ila sisi tunaoona kuwa hii katiba sio ya wananchi na ni ya CCM hatuipigii kura.
Mwisho kabisa ni kwamba Mahakama ya kadhi ni janga kwa taifa.
Mahakama ya Kadhi? Sasa hapa ndipo inapodhihirisha kwamba haufahamu hata alichoongea Pengo. Pia ninaanza kuwa na wasiwasi kuwa huenda hata Gwajima hakusikia alichoongea Pengo. Ni vyema ukafanya utafiti kabla haujaongea. Nilitaka niweke audio clip ya alichoongea Pengo, ila naona nitakuwa napoteza muda tu kujadili na watu kama huyu totoo brst
Mahakama ya Kadhi? Sasa hapa ndipo inapodhihirisha kwamba haufahamu hata alichoongea Pengo. Pia ninaanza kuwa na wasiwasi kuwa huenda hata Gwajima hakusikia alichoongea Pengo. Ni vyema ukafanya utafiti kabla haujaongea. Nilitaka niweke audio clip ya alichoongea Pengo, ila naona nitakuwa napoteza muda tu kujadili na watu kama huyu totoo brst
Kitendo cha kumfananisha Pengo na mpuuzi kama walivyo wakulima na kumtaka bwana PENGO aachie ngazi na kurudi kulima kwa maana ndio kazi inayowafaa watu wapuuzi kama yeye....huko ni kuwakosea heshima wakulima ambao kwa nafaka zao ndio wamemuwezesha yeye kusimama hapo mazabahuni na kumwaga mitusi..
Nadhani humfahamu gwajima.juzi kati kanunia ndege yake .sasa huyo ni lofa , labda ww utuambie una ndege ngapi au hujawahi panda huwa unaziona tu angani
mama yangu weeeeeee! Ukweli gwajima katumia lugha isiyokuwa ya kistaarabu. Hata kama anapingana na kiongozi mwenzake wa roho ingekuwa vema akatumia lugha ya kiutu uzima na ya staha kuliko kumchana live kama mtu wa bongo flava. Nimesikilza mpaka nikaona nafsi yangu inaniambia tuna viongozi wachache sana wa dini, wengi ni wajasiliamali wa dini.
Gwajima ni mpuuzi sana....ana kiburi kiasi kujiona yeye ni Mungu mtu.Awatishe hao hao kina Mbasha maana anajua hawezi kumfanya lolote pamoja yakuwa anamto.mbea mkewe.
Hakuna lolote.....kejeli aliyoitoa Gwajima niyakupingwa vikali sana na imeonesha ana kitu kingine cha tofauti kwa Pen go zaidi ya tunachokijadili hapa.