Pengo ameongea maoni yake, lakini ameheshimu maamuzi ya Maaskofu wenzake kwa kusaini tamko ili liweze kusomwa kwenye makanisa yaliyo chini ya Jimbo lake la Dar es Salaam, na tayari yameshasomwa. Sasa tatizo liko wapi, mbona amesharuhusu lisomwe?...maamuzi ya Baraza hufanywa hata kama mmoja wa maaskofu hakuwepo kadharika Pengo alikuwa na mwakilishi wa kanisa katoliki katika kikao kwahiyo maamuzi yaliyofikiwa kwa saini ya mwakilishi wake ilikua ni tosha kuwa Pengo naye amekubaliana na maamuzi....
Wewe umemsikiliza Pengo vizuri? Toa mapenzi binafsi kisha umsikilizetena Pengo ndio utaelewa kuwa yeye ni msaliti.. Kwa ufupi nikueleze ndugu yangu, Pengo ni mjumbe/mwanachama wa Baraza la Maaskofu Tanzania na maamuzi ya Baraza hufanywa hata kama mmoja wa maaskofu hakuwepo kadharika Pengo alikuwa na mwakilishi wa kanisa katoliki katika kikao kwahiyo maamuzi yaliyofikiwa kwa saini ya mwakilishi wake ilikua ni tosha kuwa Pengo naye amekubaliana na maamuzi.
Baraza la Maaskofu Tanzania ndio chombo cha juu kabisa cha umoja wa madhehebu na dini zote za kikristo hapa nchini, kwahiyo kwenda kinyume na maamuzi ya pamoja ni kuamua kuudharirisha ukristo na jamii nzima ya wakristo nchini.
HAKUNA NAMNA NA HAKUNA JINSI....Alichofanya Pengo ni kitendo cha kipuuzi na kutafuta sifa mbele ya watawala.
Amen.......pamoja na waumini wake waliokuwa wakishangilia bila kujua kuwa wametukaniwa wazazi au hata ndugu zao waliowaacha vijijini wakihangaika na kilimo....ambacho taifa limekiri kuwa ni uti wa mgongo wa uchumi huu......Laana ya wakulima aliowatukana lazima itamkuta
Kinacho anagiwa sio lugha aliyo tumia Gwajima ila je ujumbe unafika?hicho ndio kitu muhimu kuangalia hapa,
Kwa mimi nimemuelewa sana Gwajima na laiti kama siku nikionana naye,nita mpa hongera kwa kuwa jasiri kama simba,maana huwa aangalii wadhifa wa mtu,
Gwajima ni kama Yohana mbatizaji,yeye ni sauti ya mtu aliaye nyikani.
Hata mimi nimemuweka kwenye kapu moja na wahuni wengine na wachumia tumbo.....Nimemdharau sana Gwajima kwa hili, na wote waliomsapoti.
Nimekuuliza hebu toa kipande cha nukuu ambacho Pengo amekubaliana na Mahakama ya Kadhi, usikwepe swali
Nimemdharau sana Gwajima kwa hili, na wote waliomsapoti.
Haki ipi hiyo..??nani ampeleke Lumande, na mimi nakuhakikishia hatoenda Lumande. Haki itasimama na Uongo utajitenga.
Kwa akili yako Pengo alipowasaliti Maaskofu wenzake alifanya haki?????
nimemdharau sana gwajima kwa hili, na wote waliomsapoti.