Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

No! Hata kama Pengo alikosea katika kutoa tamko lake kamwe na haifai kuunga mkono kauli ya matusi aliyotumia Gwajima. Huo ni upotofu wa hali ya juu na matumizi mabaya ya Kitabu Kitakatifu cha Mwenyezi Mungu. Matusi hutolewa na walevi na wale waliopotoka na sio wale wanaojinasibu kuwa ni watumishi wa Mungu
 
Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani.

Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo.

Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.

Nani aliekudanganya kuwa Pengo ni Mkuu wa Kanisa katoliki Tanzania?na je unafahamu kuwa Pengo yupo chini kimamlaka na Raisi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania,TEC?
 
Mzinzi wa mke wa mtu nae ana power ya kumsema pengo ????mmmmh kweli ukistaajabu ya musa......

Mzinzi na msaliti wote n wenye dhambi pengo sio Mungu et wa kumwogopa apewe vyake tu
 
Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani.

Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu.

Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo.

Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.

Unaweza ukawa na point nzuri sana lakini ukitumia wrong data lazima uonekane hata hiyo taarifa yako ni fake nakushauri jisumbue japo kidogo kujua muundo wa Kanisa katoliki.

Kardinali sio mkuu wa kanisa katika nchi! kiongozi wa maaskofu katika nchi ni Rais wa Baraza la Maaskofu, hata yeye kardinali ni member wa hilo Baraza. Cheo chake ni katika kupiga kura kumchagua Papa, kwamba wakati maaskofu wengine hawapigi kura yeye ndo anapiga kura, hiyo ndiyo tofauti yake.

Kuhusu kuwaambia mazuri na mabaya, ukiambiwa usizini unaambiwa utende mema, kama kweli Pengo huyu anataka ahubiri anavyotaka aseme ubaya wa kuzini alafu awaambie watu wachague katika kuacha kuzini au kuiba.
 
No! Hata kama Pengo alikosea katika kutoa tamko lake kamwe na haifai kuunga mkono kauli ya matusi aliyotumia Gwajima. Huo ni upotofu wa hali ya juu na matumizi mabaya ya Kitabu Kitakatifu cha Mwenyezi Mungu. Matusi hutolewa na walevi na wale waliopotoka na sio wale wanaojinasibu kuwa ni watumishi wa Mungu
Mimi naunga mkono kwa 100% kauli za Gwajima, lazima umpe mtu haki yake. Kwa nini hakuwaandikia maaskofu wenzake kutokubaliana na tamko lao badala yake anajipendekeza kwa watawala. Gwajima MUNGU akubariki endelea kutwanga injili ya kweli chongo iitwe chongo na kengeza iitwe kengeza.
 
Nani aliekudanganya kuwa Pengo ni Mkuu wa Kanisa katoliki Tanzania?na je unafahamu kuwa Pengo yupo chini kimamlaka na Raisi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania,TEC?

Hakuna aliyenidanganya, na ninafahamu kuwa yupo chini ya TEC, lakini ukisoma Canon Laws utapata picha ya kwa nini nimesema ni mkuu.

Kuwa mkuu haimaanishi kuwa na mamlaka juu ya TEC, waweza kuwa mkuu kiheshima lakini si kimaamuzi ndiyo maana Mwadhama Kardinali Pengo hakuwa na mamlaka ya kuzuia waraka huo usisomwe makanisani licha ya kuwa aliona una mapungufu ndani yake.

Na ieleweke wazi, katika kikao kilichotoa waraka huo Pengo hakuwepo, alikuwa India kwenye matibabu, pengine angekuwepo kwa influence aliyonayo, na heshima aliyonayo ndani ya Maaskofu angeweza kutoa hoja zake na wakamuelewa.

Tukiacha hayo, hata kama Pengo kakosea, bado si sahihi kwa mtu anayejiita kiongozi wa dini kumtukana mtu tena akiwa madhabahuni.

Si sahihi hata kidogo na wala biblia haisemi hivyo. Alichokifanya Gwajima ni kinyume kabisa na maadili ya kichungaji. Kama ana hoja za kupingana na Pengo alipaswa azitoe kwa njia iliyo sahihi na si kwa kutukana.
 
pale watu wanadharau viongozi wao wa dini na kuabudu wanasiasa...... chadema ishafikisha wakristo stage hiyo...
 
This is too much..

Lugha aliyotumia Gwajima si ya kiongozi wa dini ni ya maruhuni wa vijiwe vya bangi.Kamtishia pengo.Pengo sio saizi ya Gwajima.Narudia Pengo sio saizi ya Gwajima.Mzee pengo yuko juu mno kwa Gwajima Iwe kimwili au kiroho au kwenye ile teknolojia anayotumia Gwajima.Amwombe msamaha Pengo haraka iwezekanavyo HADHARANI.

Mzee Pengo si wa kuchezewa na watoto wadogo kama Gwajima
 
Ahsante sanaaaa GWAJIMAAAAAAAA, mpe vyake huyo kibaraka wa Kikwete, ameshashiba pesa za ESCROW anaropoka tuu. Mpe vyakeeeeeee, shenzi kabisa huyo Pengo.

Nadhani wewe ndio mshenzi kwa sababu unamtukana kiongozi wa dini simply because maoni yake aliyotoa hayaendani na matakwa yako. Jaribu kuwa mstaarabu kidogo na kukubali kutokubaliana na wengine.

Kwa akili yako ndogo unadhani kuwaamlia waumini aina ya kura kwa katiba mpya ndio busara? kama ni hivyo basi maaskofu wao wenyewe akiwamo huyo Gwajima waende wao wakapige kura badala yako maana wao wanajua kufikiri kuliko wewe na wana uwezo wa kuamua kwa niaba yako!
 
Pengo alikuwa muungwana sana. Alisema pamoja na kwamba sikutaka waumini wachaguliwe kura ya kupiga, lakini nilisaini kuidhinisha tamko hilo la maaskofu lisomwe makanisani (kwenye parokia zilizo chini ya Jimbo lake). Hapo maana yake ni kwamba ameheshimu mawazo ya wengi hata kama yeye hakupenda iwe vile.

Kwa hiyo ukiangalia hapo, tofauti ya Pengo na maaskofu wengine ni ndogo sana ukilinganisha na matusi aliyotukana Gwajima.
 
Lugha aliyotumia Gwajima si ya kiongozi wa dini ni ya maruhuni wa vijiwe vya bangi.Kamtishia pengo.Pengo sio saizi ya Gwajima.Narudia Pengo sio saizi ya Gwajima.Mzee pengo yuko juu mno kwa Gwajima Iwe kimwili au kiroho au kwenye ile teknolojia anayotumia Gwajima.Amwombe msamaha Pengo haraka iwezekanavyo HADHARANI.

Mzee Pengo si wa kuchezewa na watoto wadogo kama Gwajima



msisahau kuwa Yesu aliwahi kumuita Herode "mbweha" na ikumbukwe herode alikuwa Mfalme wa Israel wakati huo. Pale Herode alipojaribu ku mess up na kazi ya Mungu aliitwa mbweha sembuse pengo.
 
Wanatamani makafiri (muwe makafiri) kama wao walivyokufuru ,ili wote muwe sawaa (ngoma iwe draw )

Kafir kafir tu hana pointi

we jini maimuna unatafuta kichapo huku? Achana na Isaka mbarikiwa! Ulifukuzwa na mama yako mkaishi jangwani vp huku umesahau nn
 
msisahau kuwa Yesu aliwahi kumuita Herode "mbweha" na ikumbukwe herode alikuwa Mfalme wa Israel wakati huo. Pale Herode alipojaribu ku mess up na kazi ya Mungu aliitwa mbweha sembuse pengo.

Kumlinganisha Gwajima na Yesu si sawa ni kufuru. Pengo alitoa maoni yake kwa kuzingatia uhuru wa kutoa maoni uliotolewa na katiba.
Gwajima kavunja katiba ya nchi kwa kuporomosha matusi.Katiba imetoa uhuru wa kutoa maoni si kuporomoshea wengine matusi kama alivyofanya Gwajima.Aliyotoa Gwajima si maoni ni matusi.Pemgo angekuwa si mtu wa dini angemburuza mahakamani.
 
Jeshi la mtu mmoja! Goliath katandikwa jiwe moja tu kwisha habari yake!
 
Hapa kuna kitu kimoja, ukweli haya makanisa yanayo chipua kama uyoga ya kilokole ni hatari kwa usalama yana pokea misaada mingi kutoka nje na yanaogozwa na watu hovyo kabisa ambao kwao busara ni zero Haya makanisa ndio haya ya mtikila na kesi yake ya kadhi
Binafsi simpendi Pengo kwa sababu mara nyingi ameonesha wazi kuwa na chuki za wazi na waislam tena bila msingi.

Hata hivyo atabaki kuwa at least ni mtu mwenye busara katika maamuzi ,mfano wakati wa vurugu za mbagala na kumwagiwa acid mapadre hakutoa kauli ya vurugu bali kusamehe .

Msimamo ule wengine hawaku upenda walitaka vurugu yeye akasimama kuiomba serikali ichhukue hatua hivyo ni busara ya ukubwa na elimu ambayo hawa walokole wenye mihemko hawana siku wakiwa wengi kama kule nigeria nchii hii itaripuka huo ndio ukweli

Walokoloe ni wakiogopwa sana watu wameacha makanisa yao yenye historia zao na kufata mihemko bila kujua chanzo cha hilo kanisa huyo mchungaji anaepiga mikelel ametokeanwapi watu wamekua kondoo wa kweli kama kondoo mnyama
 
Back
Top Bottom