Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Asante Gwajma nabii wa bwana, hakika we ni mtumishi kwel unayesimamia haki, kuanzia jumapili ijayo nitaanza rasmi kusali kanisani kwako maana nimeamini hapo upo utikufu mkubwa na nguvu za bwana,

Pombe zikipungua kichwan utashangaa sana hii comment yako.
 
We jamaa kichwani mwako sijui umeweka nini aisee, anyway mimi sina mda wa kuweka mjadala mreeefu na wewe. Kwa kifupi tu ni kwamba mimi naunga mkono kwa wananchi kulazimishwa kupiga kura ya Hapana juu ya katiba hii yenye maslahi ya CCM, wewe kama unaona katiba ina maslahi kwako basi kaipigie kura ila sisi tunaoona kuwa hii katiba sio ya wananchi na ni ya CCM hatuipigii kura.

Mwisho kabisa ni kwamba Mahakama ya kadhi ni janga kwa taifa.

watu hawalielewi hili!wanadhani maaskofu wamekosea kusema tupige kura ya hapana.Hawakumbuki kwamba kinachopingwa na watz wengi pamoja na hao maaskofu ni ule mchakato uliotumika kupata katiba haukuwa sahihi,sheria ilikiukwa,rasimu iliyotoka kwa wananchi ikaachwa,wakubwa wakatunga yao bungeni,halafu wakaileta na wanapigia debe ipitishwe.Hili ndilo tatizo kuu,hivyo kuwaambia watu waikatae ni sahihi,kwa vile tayari katiba yenyewe ni haramu.Maaskofu wako sahihi kabisa na hao wanaosema tupige kura ya ndio hawako sahihi,kwa kuwa katiba hii ni haramu.Ukilijua hili,utauona unafiki wa Pengo ulipo.
 
Nadhani wewe ndio mshenzi kwa sababu unamtukana kiongozi wa dini simply because maoni yake aliyotoa hayaendani na matakwa yako. Jaribu kuwa mstaarabu kidogo na kukubali kutokubaliana na wengine.

Kwa akili yako ndogo unadhani kuwaamlia waumini aina ya kura kwa katiba mpya ndio busara? kama ni hivyo basi maaskofu wao wenyewe akiwamo huyo Gwajima waende wao wakapige kura badala yako maana wao wanajua kufikiri kuliko wewe na wana uwezo wa kuamua kwa niaba yako!

Pengoooo, jinga sanaaa wewe pengo.
 
Mi nadhani hii ya kumwambia Pengo kwamba kafanya makosa walishaijadili maaskofu, ila suala likabaki je nani atampa za uso?? Gwajima, mzee wa full ma confidence akaamua achukue hilo jukumu la kumpa za uso na kweli, amempa za kutosha!!
 
FIKRA PEVU,UNAJISIKIAJE UNAPOMWAGIZA MWANAO AKASEME JAMBO FLANI MAHALI THEN BADALA YA KUSEMA ULIVYOMWAGIZA ANABADILISHA NA KUINGIZA MANENO YAKE.?this is how MR PENGO haS done
 
I salute you Gwajima. Naomba ukishamalizana na Pengo, toa za uso kwa yale mabwege yaliyofunga safari kwenda area D.
 
Kaaibisha ukristo na Kanisa Katoliki! Kanisa lenye heshima lililotulea lenye maadili mema!
Apigweeeeeeeeeeee malaika wamshughulikie Pengo arudi kundini
 
Hapana mkuu karibu usikie Habari za Yesu! Matusi ni wale wa Vatican siyo sisi

Kwa hiyo Ngwajima kumbe hapo alikuwa ana mtukuza Mungu? Hakika huko mna mungu wenu..
 
Mapendo!

kwa wale wakristo wakatholiki wenye imani thabiti tuungane kwa pamoja kumuomba mwenyezi Mungu amlipe kwa matendo yake anaye jiita mchungaji gwajima kwa kumtusi kiongozi wetu wa kanisa katoliki Tanzania kadinali Pengo.

kwa pamoja tuseme neno!

Imeandikwa...

Samehe saba mara sabini....
 
Mi nadhani hii ya kumwambia Pengo kwamba kafanya makosa walishaijadili maaskofu, ila suala likabaki je nani atampa za uso?? Gwajima, mzee wa full ma confidence akaamua achukue hilo jukumu la kumpa za uso na kweli, amempa za kutosha!!

Ndiyo...... Gwajima habakizi change! Amemlipa cash cash! Hahaaaa kizazi jeuri na nabii jeuri!
 
Pengo alianza kutofatiana na wenzake ndani ya.baraza hakuwa na aibu akatoa waraka wake juu ya katiba, pia now baada ya baraza tena kukaa na kuonyesha nia ya kuwatetea wananchi ten a waamin wake anaujua wanapotea kila cku Kwa migongano na kukosa maadili mema ya viongoz na mapadre anadiriki tena kusimama kupinga mawazo ya jumuiya Za kikiristo tz. Huyo mtu we utamtafasir vip sema mapadre na maaskofu wetu wanamheshimu wangeweza na wao kumpinga ktk homilia zao kwenye misa but wengine wanamchukulia kawaida na ndio maana wanamjibu.
Aache kuwapinga maaskofu wake mbele ya waamin

No kweli pengo kakua Wikipedia chama cha mwalimu ccm hivyo anaona kitaanguka na bado anang'ang'ania sera na mustakabali wa mwalimu wa serikali mbili Kwa hofu juu ya zanzibar
Daima
Milele amina
 
Back
Top Bottom