Katumia lugha kali sana
Luka 13:32 Yesu akasema, Nendeni mkamwaambie yule mbweha, leo na Kesho natoa mapepo na kuponya wagonjwa, halafu siku ya tatu nakamilisha
Katumia lugha kali sana
Luka 13:32 Yesu akasema, Nendeni mkamwaambie yule mbweha, leo na Kesho natoa mapepo na kuponya wagonjwa, halafu siku ya tatu nakamilisha
Mpwa ukishangaa ya Musa........ufalme wa mungu umbali sana......waumini nao wanashangilia......Huyo Yesu wanayemwamini alikuwa na uwezo sana wakufanya chochote wakati wanamkamata kwenda kumsulubisha lakini hakutoa tusi hata mmoja sasa huyu mchungaji ambaye ni nabii na mtume anafanya hayo akiwa kama mfuasi wa huyo Yesu anayemhubiri, hata kama Askofu Pengo amekosea kiasi gani je hiyo ndio ilikuwa njia ya kumsahihisha........
wee Hamis, mwache Gwajima...Mungu wake ndio atamuhukumu...halafu mbona umeishupalia hii topic km sio kutaka kuhakikisha mchungaji wa watu anazama? au unalipwa na Mbasha?
Hakuna kifungu kinachoeleza au kuelekeza kwamba makardinali wanamajukumu ya kanisa kwa kiwango cha kuwakilisha na kuwa wasemaji katika nchi zao la hasha, ila ni;
- Washauri wa Pope
- Wajumbe wa kanisa katika vikao vya vatican
- Wajumbe wa kanisa wanaomchagua Pope
- Wajumbe ambao moja kwa moja ni candidates wa kuchauguliwa kuwa papa kunapokuwa vacant.
Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda .
Akili za kushikiwa mbaya sana, yani Pengo kusema wakristo wana akili timamu na wanajua nini cha kufanya waachwe waamue wenyewe kura ya kupiga ni kosa. Tatizo wengi wanakurupuka tu kushabikia bila kusoma alichosema Pengo ni kipi hasa
Kuweka mambo sawa,Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo sio mkuu wa kanisa Katoliki,usichanganye cheo cha ukadinary na ukuu wa Kanisa.Nchi kama Brazil,USA na hata Nigeria zina Makaldinary zaidi ya mmoja na kuna Nchi hazina kabisa Kardinali.Baraza la Maaskofu kama (TEC kwa Tanzania) ndio chombo pekee kikubwa kinachoongoza Kanisa chini ya Rais wa baraza.Hayo mengine nakubaliana na wewe.
Hahahaaa, nimechoka aisee. Eti nimempa vipande vyake, tena sijamkopesha!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa, hii kali.Kuna hadi CV ya kimwili?
Luka 13:32 Yesu akasema, Nendeni mkamwaambie yule mbweha, leo na Kesho natoa mapepo na kuponya wagonjwa, halafu siku ya tatu nakamilisha
sijui amekula maharagwe yule.....ayo ni baadhi ya michambo
Kwikwikwi..naomba kwa hiyo unajaribu kusema matusi ya msanii Ngwajima yamebarikiwa? Duu wewe utakuwa una sali pale...
Bado nawashangaa wanao jiita wakristo kubariki matusi kama haya....