Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,419
- 82,414
Hahahaaa, hii kali.Kuna hadi CV ya kimwili?CV ya Kimwili au ya Kiroho?
Hahahaaa, hii kali.Kuna hadi CV ya kimwili?CV ya Kimwili au ya Kiroho?
Gwajima ni jembeeeeee
HUKO rwanda kuna mapadri walishirikiana na serikali(kwa wakati huo wahutu) kuwateketeza watutsi....PENGO anaelekea..Nahisi ndugu zake Gwajima ni wengi, kama kweli unafahamu maana ya migogoro kwenye inchi usingeweza kushabikia haya!
Hiyo madhabahu aliyotumia ngwajima kumkashifu Pengo ndio hiyo hiyo hutumia kuita Roho Mtakatifu na Damu ya Yesu ama kuna madhabahu nyingine? Kama ndio hiyo hiyo Je? ni mungu yupi anayemtumikia? Kusali kwenye madhehebu yasiyoeleweka ni kujitafutia laana tu.
hamna uthibitisho wa kuliwa kwa mke wa mtu na GWAJIMA...Teh Teh jembe au mwehu..kama kweli anajua kutoa ya moyoni basi asimulie na kisa cha kutoka na mke wa mtu.
Gwajima ana uchungu gani?angelikuwa na uchungu kweli na watanzania angewanyonya kiasi kile kwa miujiza hewa?
Gwajima ni mpiga dili kama wapiga dili wengine.
pengo sijuu nimpe laana gani mbayaaaaa.anafaa kufungiwa jiwe azanishwee kwenye karooo la maji machafuu
Ni mtu wa mungu kweli asiyetaka kondoo wapotee.Ni jembe,mchungaji wa kweli.
hamna uthibitisho wa kuliwa kwa mke wa mtu na GWAJIMA...
FLORA amesema mahakamani hajawahi kumsaliti MBASHA na mtoto ni wa mbasha na yuko tayari kwa DNA test:ALIYESEMA HAYA WKT AKITOA USHAHIDI WA KESI YA MBASHA KUBAKA
mahakama ya kadhi itakuja tu kwani islam ni dini ya m'mungu si dini ya binadamu au kabila fulani kama na nyie wakristo mnataka mahakama ruksa kuanzisha
Canon Law (CODE OF CANON LAW) inampa majukumu hayo ndio maana ana influence katika Katika Kanisa. Bila hivyo basi ukardinali usingekuwa na maana yoyote.
Teh Teh.Mimi ni mkatoliki lakini niweke msimamo wangu kama mwamini, kitendo cha Kadinali Pengo kuyatamka maneno yale ni wazi kuwa ameenda kinyume na makubaliano ya wenzake, alitakiwa aseme tangu mwanzo lakini kuwapa go ahead halafu huku nyuma anaongea vile ni kosa.
Katiba pendekezwa ni kweli ina mapungufu na kama viongozi wa kiroho wanapaswa kuwaelekeza mambo mazuri iki isije kuwa majuto. Kwa hiyo maaskofu walikuwa sahihi na Pengo aliteleza, mbona wanasema msizini na hamsemi kuwa wanatukataza, kwa nyie ni watoto? Si wanajua kuwa mna akili na mnatambua kuwa ni dhambi, msimamo wa MAASIKOFU ni sahihi kabisa