Wapendwa wana JF naombeni Cv ya Mchungwaji Gwajima maana kwa mtazamo na uelewa wangu haya si maneno ya kusemwa na mchunga kondoo wa Mungu, kama ndo hivo basi hakuna haja ya kufuata makanisa ya namna hii yanayotumia maandiko matakatifu vibaya, na nafikiri dhehebu hili lafaa kuonywa kwa kiongozi wake kutumia madhabahu vibaya