Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Kwani Pengo alisemaje wadau naona na mimi ilinipita. Tatizo mb 8

Alichokisema Pengo wala hakina ubaya wowote, Kanisa lina wasibu wa kuwaelimisha waumini wake kuhusu ubaya na uzuri wa katiba pendekezwa ila Kanisa haliwezi kuwalazimisha waumini kupiga kura ya ndiyo au hapana. Waumini waachwe huru kuchagua wenyewe kama ni ndiyo au hapana na sio kulazimishwa na kanisa sasa watu wanatoka povu kushabikia mipasho ya Tapeli Gwajima
 
Acha upuuzi wewe,Catholic si wagomvi lakini washirikina,kwanza hata hiyo imani ya kweli hamna,ni kuabudu sanam tu ya bikira maria,Kama mtu amekosea aambiwe na si kunyamaziwa,

Bora umenisaidia. Huyu mpumbavu katoa comment ya kichonganishi hapo juu, ameona watu hawajamqoute akaamua kuirudia hapo chini kwa caps letters.

Ukiangalia comments hizo zinalenga kuleta ugomvi au kutuaminisha kuwa kundi fulani ni wakorofi/untouchables na lingine ni wapole.

Kardinal Pengo ni kiongozi na alitoa maoni yake japokuwa yalipingana na wenzake. Je! Kama kweli alisaini mkataba ule nini kilimpelekea kuwageuka wenzake hadharani? Alishindwa nini kuwashauri kabla hawajatoa tamko? Na kama aliwashauri wakakaidi, kwa nn alisaini?

Gwajima ametoa na yeye ya moyoni & nampongeza kwa kuwa muwazi na kutokuwa mnafiki japokuwa ni kweli ameovereact.

Tukubaliane tu kusema ukweli kuwa; Ukisikia kilio cha uchungu km hiki ujue Watanzania wameichoka serikali iliyopo na yeyote anayeitetea atatolewa maneno makali zaidi ya hayo.
 
Investigator unanichekesha sana.....kwahyo roho wa bwana ndo kamshukia huyo Gwajima nakuanza kuropoka namna hyo???

Kuhusu huyo Askofu uliyemkuta na chale....ajabu ipo wapi?kuna baadhi ya wachawi lakini leo hii wameitwa kuifanya kazi ya bwana,washirikina na wengi wa namna hyo.Sasa mtu kuwa na chale haimfanyi kuwa ni askofu mbaya huenda hayo yalifanywa kabla hajawa hivyo.
NB daktari haruhusiwi kutoa siri ya mgonjwa
 
Last edited by a moderator:
I MAY NOT AGREE WITH BISHOP PENGO ON WHAT HE SAID. BUT I WILL DEFEND TO DEATH HIS RIGHT TO EXPRESS HIS OPINION.tufike mahali tukubaliane kutokukubaliana kiungwana. Hii ya Gwajima kutoa lugha za kashfa na matusi kwa Askofu Pengo sikubaliani nayo hasa ukizingatia yeye ni kiongozi wa kiroho. Nadhani kwa hili Gwajima shetani alikupitia kidogo. Askofu Pengo hakutoa waraka. Alitoa maoni yake. Na kama tunavyojua. Maoni yake sio sheria.Tuwe wakweli.
 
Kwa nini Pengo hakutoa maoni yake walipokuwa kwenye vikao? Mpaka akaweka signature!
Kuna kitu kinaitwa collective responsibility.....dunia inaenda hivyo!

Pengo hakuwepo kwenye huo mkutano ni vizuri ukasoma vizuri hili sakata kabla ya kumlaumu na alichokisema alitanguliza kabisa kuwa ni maoni yake binafsi hivi kusema waumini wanayo akili ya kujua wapige kura ipi bila maelekezo ya kanisa ni kosa? Na kama ni kosa je unataka kusema waumini ni mambumbu hadi waelekezwe?
 
Simkubali Josephat Gwajima kwa mambo mengi lakini kwa hili la kumpa za uso huyu Mnafiki mkubwa Pengo namuunga mkono kwa nguvu zote.
 
Bora umenisaidia. Huyu mpumbavu katoa comment ya kichonganishi hapo juu, ameona watu hawajamqoute akaamua kuirudia hapo chini kwa caps letters.

Ukiangalia comments hizo zinalenga kuleta ugomvi au kutuaminisha kuwa kundi fulani ni wakorofi/untouchables na lingine ni wapole.

Kardinal Pengo ni kiongozi na alitoa maoni yake japokuwa yalipingana na wenzake. Je! Kama kweli alisaini mkataba ule nini kilimpelekea kuwageuka wenzake hadharani? Alishindwa nini kuwashauri kabla hawajatoa tamko? Na kama aliwashauri wakakaidi, kwa nn alisaini?

Gwajima ametoa na yeye ya moyoni & nampongeza kwa kuwa muwazi na kutokuwa mnafiki japokuwa ni kweli ameovereact.

Tukubaliane tu kusema ukweli kuwa; Ukisikia kilio cha uchungu km hiki ujue Watanzania wameichoka serikali iliyopo na yeyote anayeitetea atatolewa maneno makali zaidi ya hayo.

Kwa bahati mbaya sijaona huo waraka kama Pengo alisaini ila ninachojua mambo ya kanisa katoliki maamuzi yanatolewa na TEC na anayesaini ni Rais wa TEC ambaye si Pengo, na kwa mujibu magazeti niliyosoma Pengo hakuwepo kwenye hicho kikao/mkutano na alichokisema amesema kabisa ni maoni yake binafsi yasichanganywe na huo Waraka
 
Simkubali Josephat Gwajima kwa mambo mengi lakini kwa hili la kumpa za uso huyu Mnafiki mkubwa Pengo namuunga mkono kwa nguvu zote.

Umesoma mstari kwa mstari alichokisema Pengo au ndo nyie mnakurupuka kwa habari za kusikia tu?
 
Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani.

Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo.

Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.


mm nashindwa kuelewa kanisa Pengo amekuwa mtu makn tu kwenye la katiba, juz kati kumetokea wizi wa mabilion ya pesa kwenye akaunt ya tegeta escrow na baadhi ya viongoz wake ambao wako chini yake wakawa suspected, serikal imechukua hatua dhidi ya watumish wake lakn mpaka leo cjackia chochote kutoka kwa Pengo kuhusiana na hlo, au mhadhama askof hakuliona???
 
Kwa bahati mbaya sijaona huo waraka kama Pengo alisaini ila ninachojua mambo ya kanisa katoliki maamuzi yanatolewa na TEC na anayesaini ni Rais wa TEC ambaye si Pengo, na kwa mujibu magazeti niliyosoma Pengo hakuwepo kwenye hicho kikao/mkutano na alichokisema amesema kabisa ni maoni yake binafsi yasichanganywe na huo Waraka

huko rwanda wakati wa mauaji ya KIMBARI kuna wachungaa kondoo waliwakusanya waumini kanisani na kisha kuviita vikosi vya serikali (wahutu kwa wakati ule) na kuwachinja wanakondooo...............huyu PENGO ANAELEKEA KUWA NA MAWAZO KAMA YA HAWAHAWA
 
Msimamo wa maaskofu kwa umoja wao ndio msimamo wa kanisa.....lakini Pengo nje ya umoja ule ni mtanzania na ana uhuru wakutoa maoni yake.Jaribu kutofautisha hizo kofia ndipo uje kubishana hapa.

Kwa hiyo kwa mfano wanaandika biblia nyingine kwa ajili ya wakristo na yy ataanza kuandika ya kwake tena ikiwa hakuikubali ya wenzake wengi na aitumie kwa wakristo hawahawa tena.
 
Ni bora kuuliza kama huelewi Pengo ndiye kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania na Sio Tz tu Hata Kenya na Uganda hazina makadinali hivyo Pengo ni msimamizi pia. Watu wanashindwa kuelewa hoja ya Msingi alichokisema Pengo ni maoni yake binafsi na sio kosa mtu kutoa maoni yake binafsi

acha uongo kenya kuna cardinal Joseph Njue m'google.. hata uganda yupo. Na Pia pengo sio mkuu wa kanisa katoliki hapa TZ.
 
Pengo hakuwepo kwenye huo mkutano ni vizuri ukasoma vizuri hili sakata kabla ya kumlaumu na alichokisema alitanguliza kabisa kuwa ni maoni yake binafsi hivi kusema waumini wanayo akili ya kujua wapige kura ipi bila maelekezo ya kanisa ni kosa? Na kama ni kosa je unataka kusema waumini ni mambumbu hadi waelekezwe?

PENGO anaanza kufanana na wale wa Rwanda.....kwa nini PENGO hakuikumbusha serikali kuwa si wajibu wake kuwaambia wanainchi wapige kura ya NDIO??????

serikali inatuambia tupige kura ya ndio jee wewe na ASKOFU PENGO hilo liko sawa?????

ni serikali iliyoanza kutushawishi tupige kura ya ndio na sasa maaskofu wanatuambia tupige ya hapana, PENGO ANAWASEMA MAASKOFU , ILA HAISEMI SERIKALI tukuelekeza NDIO.

PENGO LAZMA AELEWE KUWA KANISA LAZIMA LISIMAME KWENYE HAKI NA UKWELI.....asituharibie kanisa letu
 
Ni vile Catholics si watu Wa Shari....angekuwa ame mtusi Shehe Mkuu Wa waislam duu SAA hivi zamani hilo kabisa lake ni majivu na wanatafuta kichwa chake
hajamtusi PENGO ila kaongea juu ya ubaya wa alichokifanya PENGO kwa hisia kali na uchungu
sisi wafuasi wa PENGO tumefurahishwa na msimamo wa GWAJIMA.....

TUNAMPNGEZA gwajima tena sana kwa kumweleza bosi wetu ukweli
 
Back
Top Bottom