Ilitakiwa wakatoliki wote wenye mapenzi mema na Pengo waandamane hadi kwake anaposalia gwajima kupinga kitendo cha kumtukana kiongozi wao.Pengo hakumwambia yeyote apige kura ya ndiyio au hapana kasema mtu awe huru.Hajamtukana Gwajima kisa cha Gwajima kuanza kumtukana ni nini?
Kama GWAJIMA anajitia jasiri kuna masheikh wametoa tamko kama alilotoa Pengo awatukane kama alivyotukana pengo aone Muziki utakaofuata toka kwa waislamu.Mwambieni kama yeye jasiri haogopi mtu amtukane kiongozi yeyote wa kiislamu awe wa BAKWATA au sio wa BAKWATA akione cha mtema kuni.
Wakatoliki kukubali kiongozi wenu kutukanwa vile na GWAJIMA mmeonyesha udhaifu mkubwa mno.Na nadhani katukana kusudi akijua kanisa katoliki la sasa ni la watu dhaifu wasio na mshikamano na wasioweza mfanya chochote.Natamani angetukana waislamu saa hii angekuwa ICU au mortuary.
Pale ni mziki wa Maaskofu kwa Maaskofu, shida yako nini??gwajima hajui quran, kwa nini awaendee masheikh?? Pengo amtumie Malaika gwajima kama alivomtumia tuone kama wataenda!