Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Nimesikiliza kwa makini maelezo ya Pengo kuhusu azimio la baraza la maaskofu wa kanisa katoliki na nikiri tu kwamba Pengo kwenye hili AMEKURUPUKA!

Ni jambo la kushangaza kumuona mzee mzima anazuia wahumini wake kufanya jambo jema kwa maslahi ya taifa lao na vizazi vijavyo kwa hoja ya "uhuru wa kuamu!" au kwa kingereza "free will".

Kama ni hivyo, kwanini huko makanisani wachungaji utusii kudhibiti nafsi zetu dhidi ya maovu, kwanini tunaonywa kuacha kufanya dhambi? kwanini wasituache tu tufanye tupendalo, after all sisi ni watu wazima! Kwanini linapokuja suala la kutenda jambo jema kwa taifa ndio inapozuka hoja ya "watu waachwe waamue wao wenyewe?"

Pia kuhusu kauli ya Gwajima, kwa hoja yupo sahihi kabisa ingawa ametumia nguvu kubwa zaidi kuifikisha. Ila nampa hongera mchungaji Gwajima (ingawa mimi sio fun wake) kwa kuwa muwazi katika hili na kumchana mnafiki Pengo.

Pengo, it time to go away!

Wewe akili yako sio nzuri kwa kumpongeza mtu anayemtukana mwingine aliyetoa maoni yake kistaarabu. Na pia unapotoka sana kwa kulitaka Kanisa liwashurutishe watu kutumia demokrasia yao. Alichosema Pengo ni sahihi kwamba Kanisa litawaelimisha watu lakini litawaacha watumie uhuru wao kuamua kama waikubali au kuikataa katiba, sasa wewe pamoja na wengine mnaoropoka kama Gwajima mlitaka Kardinali afanyeje, awalizimishe watu? Wakati mwingine mtasema Kardinali anapaswa kuwaambia wakristo wamchague nani. Acheni upuuuuuuuzi!
 
Leo wagalatia mnakamuana kinyesi hadaharani.
Gwajima anamuita PENGO MPUMBAVU na MPUUZI!

Mashati mnavutana nyie KONDOO msio na manyoa!
Teh teh teh teh!


Jamani Ukafiri Sanaa ya Ajabu!!
Duhh!
Ukafiri ni bora kuliko kua mfuasi wa zezeta allah na mtume wake
 
We kichwa ka nanii ya kitimoto haya maneno nilikwambia siku za nyuma kuwa Profile picture yako na Akili zako zinakwenda Sambamba ukadhani nakuchukia kwa sababu unaishi kwa shemeji yako mume wa dadako mpaka leo.

Sasa unaona kumbe kuna wengine pia wameliona hilo.

Huna ulijualo zaidi ya kutumwagia Uharo mtupu humu.

Malezi uliokulia wewe unadhani kila mtu kakulia hayo,umekulia kwa shemeji yako unadhani kila mtu kakulia kwa shemeji au anakaa kwa shemeji,pole sana mdogo wangu
 
Pole sana. Hivi unaelewa maana ya fallacy au unajiongelesha tu? kwa hiyo ulichomkosoa Otorong'ong'o ni logical fallacy na sio typing error? hebu acha kujiaibisha. kajipange upya ndio uje hapa.

Sasa kama huelewi nimemkosoa nini uataielewaje kwa mengine?kama jambo dogo hilo hukulielewa utaelewaje makubwa?umeshaonyesha uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo kwa hiyo naomba niishie hapo.
 
Hivi kweli kosa la Kardinali Pengo mpaka Gwajima amtukane kiasi hicho nini hasa?!!!

Pengo alitoa maoni yake kwamba waumini wapewe elimu kuhusu yaliyomo kwenye mapendekezo ya katiba mpya, halafu waamue wenyewe bila kushurutishwa kuipigia katiba kura ya ndio au ya hapana.

Msimamo ya CCT ambao unaongozwa na Askofu Malasusa ambaye ni KKKT, uliwataka waumini waisome katiba inayopendekezwa kisha waipigie kura ya hapana. Kimsingi hii siyo demokrasia. Nyie maaskofu mnaowataka watu watumie demokrasia yao kama mnavyotaka ninyi mmepata wapi mamlaka hayo??? Hilo ndilo swali la msingi la Kardinali, hakuna jingine!

Sikiliza vizuri alichosema Kardinali:https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=237215&d=1427127373

Kweli nyie wenye akili mnaona kwamba Kardinali amekosea hapa? Mlitaka awe dikteta kama alivyo Gwajima ndio mfurahi?

Gwajima amenishtua kabisa, huu ndio mwanya kwa wale wanaotaka kupima roho na kujua mtumishi gani ni wa kweli na yupi ni wababaishaji. Au mnasubiri mwone Yesu akishuka kutoka Mbinguni kuwaambia huyu ndiye na huyu siye?

Huwezi kuniambia hata kidogo kwamba alivyofanya Gwajima kumtukana Kardinali aliyetoa maoni yake ameongozwa na Roho Mtakatifu, nafikiri anaongozwa na roho mtaka "tifu".

Watanzania jifunzeni kufikiri la sivyo mtaendeshwa kama baiskeli na hawa wahuni wanaojiita watumishi wa Mungu.

Mnaonaje kama Kardinali naye angekuwa mwendawazimu kama Gwajima na kujibu matusi aliyotukanwa?
 
Sasa kama huelewi nimemkosoa nini uataielewaje kwa mengine?kama jambo dogo hilo hukulielewa utaelewaje makubwa?umeshaonyesha uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo kwa hiyo naomba niishie hapo.

Pole sana. unatia huruma!
 
Kuona matusi kwa lugha hii ya gwajima ni kwa wenye hekima pekee. Kwa Gwajima na wafuasi wake wanaona ni fahari kutukana na kwao ni ushujaa. Sitegemei kuskia jingine kutoka kwao maana ni dhahiri hawawezi kufanya kinyume na roho wanaemtumikia. Roho wa kishetani.
 
mkuu nawe unasapoti matusi ya gwajima!?

Mkuu usishangazwe sana na haya. Watu hawako tayari kutafakari yaliyo ya kweli,Ya kupendeza, yenye sifa njema.mtu ukiona uovu unatendeka ukakaa pembeni kwamba huusiki ni kwamba unashiriki uovu huo. Wapo wakatoliki wengi waliopingana na askofu Pengo kwa hoja japo ni kiongozi wao. Ila linapokuja suala la kumtukana wengine watakaa kimya maana kwao ni faraja kwa sababu anayetukanwa ni askofu wa kanisa katoliki. Heshima ya mtu haitegemei kanisa aliloko, ni haki ya kila binadamu. Ni haki ya kikatiba.Kuna unafiki mkubwa miongoni mwa watu wanaojiita watumishi na wafuasi wa Yesu.
 
Gwajima soma matendo 23:5,na ukome kumtukana Askofu wangu,na laana zote ulizomtamkia Kadirnali zikurudie mwenyewe.Huna adabu kabisa
 
Gwajima soma matendo 23:5,na ukome kumtukana Askofu wangu,na laana zote ulizomtamkia Kadirnali zikurudie mwenyewe.Huna adabu kabisa

Acts 23:5


5 Then said Paul, I wist not, brethren, that he was the high priest: for it is written, Thou shalt not speak evil of the ruler of thy people.
Exod 22:28
 
Nina clip ya kardinal nashindwa kui upload kwa simu. Ameongea vizuri na kiongozi anaetambua uzito wa jambo lenyewe hasa kipindi hiki katika Taifa letu. Inatosha kufahamu kwamba Gwajima kajidhalilisha sana katika jamii.

kwenye ishu ya matusi ya gwajima nime'prove kwamba watu wengi wanaendeshwa na mihemko kuliko critical analysis..
 
Acts 23:5


5 Then said Paul, I wist not, brethren, that he was the high priest: for it is written, Thou shalt not speak evil of the ruler of thy people.
Exod 22:28

Absolutely,Pengo is our leader deserve to be respected by that guy
 
Back
Top Bottom