Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Duu huyu ni mwehu si mchungaji! Naomba Pengo asimjibu amsamehe ni wazi dish limeyumba hakika.

Ngwajima ni mgonjwa hakika

Gwajima yuko sawa mshazoea kupelekwa tu. Mkiambiwa ukweli hamtaki. Msaliti Pengo. Gwajima Hoyeeeeeeeeeee nimekupenda sana kwa hili
 
wakati unaongea na mzee wako jaribu kumwambia hilo neno "mpuuzi" alafu turetee mrejesho hapa
twatwatwa wazungu wanasema "not every nonsense is a nonsense" yaani si kili upuuzi ni upuuzi mtupu. sasa hata kama baba yako anafanya jambo la upuuzi lazima umwambie baba huu ni upuuzi... live with principles dont be idealistic.
 
kwa style hii naanza kumkubali gwajima,hawa viongozi wajingajinga waliolewa madaraka na ufisadi hii ndio saizi yao,hivyohivyo gwajima wako wengi wiki ijayo mpake mwingine

Gwajima yuko.vizuri ndo maana wanampiga vita hapendi ujinga mie nasikilizaga sana akikemea
 
Baadhi ya watanzania wanaugonjwa wa kushabikia mambo bila hata kujua misingi yake ni ipi. Kamwe mwenye akili timamu hawezi kushindwa kuona ukosefu wa Gwajima kwenye jambo hili.

Hata kama Pengo alikosea Gwajima hakupaswa kusema vile kama kweli ye ni mtumishi wa Mungu
 
Nafikiri hata wewe mwenyewe uliyoyaandika huoni ukweli wake ndio maana unamaliza kwa kuomba ueleweke.

Nakushangaa mno kwa ulichoandika, huwezi kusema kwamba Gwajima ni jasiri, unamaanisha jasiri wa kutukana? Hivi wewe unakubaliana na kupiga kura ya hapana katika uchaguzi kwasababu askofu ndio amekushauri? wewe unaamini katika demokrasia au udikteta?

Naomba watanzania tutumie vizuri akili zetu, kwani ikifika mahali watu wanafurahia kuambiwa wapige kura ya hapana na siyo ya ndiyo tumefika pabaya. Mimi ni mkristo lakini katika hili tuambiane ukweli tu. Namna ya Gwajima ya kutukana wenzake hivyo ndio imenitisha zaidi na kuthibitisha yote mabay ambayo nasikia juu yake kwamba yaweza kuwa kweli kwa mtu kama huyu.

"Not guilty until innocent proven" sasa Gwajima kaprove guiltiness ya pengo kwa kuwasaliti maaskofu wenzake na mabaraza mengine yakikristo.Tusi gani gwajima alilotukana ndugu fazili?
 
Exodus 22.

28 Thou shalt not revile the gods, nor curse the ruler of thy people.
Acts 23:5


Ha ha ha Mkuu upooo?

Nilipenda Sana nukuu ya Maaskofu kabla ya kutoa lile tamko....

"Nanyi kwa subira yenu mtaziponya nafsi zenu" Luka. 21:19

Huo mstari Una maana kubwa Sana kwetu tunaoharakisha mambo mazito Kama katiba utafikiri tunafukuzwa.
 
Ilitakiwa vijana wa kikatolic mkamtie dispiline,nashangaa mpaka sasa kimya.

Ha haaaaa.pale majeshi majeshi wakatoliki waende na rozali mama maria wapi na wapi ha haaaaaaaaa. Hawamuwezi Gwajima
 
Mi hata sipati jibu,hivi kuna watu wanaojielewa kweli wanaohudhuria hizo ibada za wachungaji wa sampuli hii?

Pita jumapili.hutaacha kurudi pale aisee. Biblia imelala kwa jamaa
 
Nafikiri hata wewe mwenyewe uliyoyaandika huoni ukweli wake ndio maana unamaliza kwa kuomba ueleweke.

Nakushangaa mno kwa ulichoandika, huwezi kusema kwamba Gwajima ni jasiri, unamaanisha jasiri wa kutukana? Hivi wewe unakubaliana na kupiga kura ya hapana katika uchaguzi kwasababu askofu ndio amekushauri? wewe unaamini katika demokrasia au udikteta?

Naomba watanzania tutumie vizuri akili zetu, kwani ikifika mahali watu wanafurahia kuambiwa wapige kura ya hapana na siyo ya ndiyo tumefika pabaya. Mimi ni mkristo lakini katika hili tuambiane ukweli tu. Namna ya Gwajima ya kutukana wenzake hivyo ndio imenitisha zaidi na kuthibitisha yote mabay ambayo nasikia juu yake kwamba yaweza kuwa kweli kwa mtu kama huyu.[/QUOT
"not guilty until innocent proven" sasa gwajima kaprove guiltiness ya pengo kwa kuwasaliti maaskofu wenzake na mabaraza mengine yakikristo.Tusi gani gwajima alilotukana ndugu fazili?

Kama wewe ni mfuasi wa Gwajima jaribu kutumia akili yako uone kama ungependa watu waige mfano wa Gwajima. Hata wale wahuni mtaani wanaheshimiana pale wanapoambiana ukweli lakini sio kwa mtindo huu.

Licha ya kwamba kiwango hiki cha Gwajima hakijafikia kiwango cha mkristo wa kawaida, nasema kiwango hiki hakifai hata kwa mpagani.
 
Mtaongea yote,lakini watanzania wamejua kuwa maoni yao yalitupwa jalalani na kuwekwa ya mabeberu.Na wameamua tayari kuwa ni HAPANA,na wengine kwenda mbali zaidi kwa kusema hakuna katiba inayopendekezwa na wala wasihangaike kuja na maandishi yao huku mtaani.
 
Ha ha ha Mkuu upooo?

Nilipenda Sana nukuu ya Maaskofu kabla ya kutoa lile tamko....

"Nanyi kwa subira yenu mtaziponya nafsi zenu" Luka. 21:19

Huo mstari Una maana kubwa Sana kwetu tunaoharakisha mambo mazito Kama katiba utafikiri tunafukuzwa.

Mkuu mi nipo naanagalia mambo yalivo tu......
 
ukifanya kitu cha kipumbavu utaitwa MPUMBAVU, ukifanya cha kijinga utaitwa MJINGA na ukifanya cha kipuuzi utaitwa MPUUZI! so hakuna tusi pale...

Akili kama zako ndio zimejaa Tanzania hii ndio maana ccm inapeta mwaka wa 54 sasa kwani ujinga wa watu ndio mtaji wa chama hicho. Kweli wewe kama una akili zako unashabikia hili?
 
kuna kitu ninakimiss hapa, je huo waraka uliotiwa sahihi na baraza la maaskofu akiwemo pengo na kusambazwa makanisani ulikuwa umeazimia kuwaambia waumini siku ya kupiga kura wakapige lakini wapige kura ya HAPANA??? kama ndio so leo Pengo kaja kivyake kutoa msimamo au mtazamo wake peke yake kuwa sio vizuri kuwaamulia au kuwalazimisha waumini kufanya jambo na kwamba ni vema waachwe waamue wenyewe nini cha kufanya??? KAMA NDIVYO PENGO KAKOSEA, lakini Gwajima kakosea zaidi, matusi, kejeli na maneno yasiyokuwa na staha hakupaswa kuyasema dhidi ya mchungaji mwenzake, yaani hajatofautiana kabisa na wale team wema na zari wanavotukanana kule IG, kwa mtu mwenye jina kubwa kama yeye hakupaswa kwa kweli AMENISHANGAZA!!!!!
 
Big up mkuu,unafiki na usaliti ni dhambi mbaya sana.

Unazungumzia usaliti gani, amefanya nani usaliti, usaliti wa kuwalazimisha watu kidikteta waache kutumia demokrasia yao wafanye wanachoambiwa na viongozi wao?!
 
Back
Top Bottom