NDAGLA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 2,490
- 1,357
Pita jumapili.hutaacha kurudi pale aisee. Biblia imelala kwa jamaa
Gwajima na wachungaji wa aina hiyo hata awe anahubilia sebuleni kwangu siwezi kutoka chumbani kwenda kumsikiliza.
Yule mwingine anaita waumini wasiohudhuria ibada ni MABWEGE.
Hizi lugha tusioshinda vijiweni hatuziwezi.