kwenye ishu ya matusi ya gwajima nime'prove kwamba watu wengi wanaendeshwa na mihemko kuliko critical analysis..
Nakubaliana na hili 100%
kwenye ishu ya matusi ya gwajima nime'prove kwamba watu wengi wanaendeshwa na mihemko kuliko critical analysis..
Mnajua maana ya matusi au mnaropoka tu......pumbavu.....mpuuzi..... Mjinga..... Si tusi...... Uyo pengo ndie hayo niliotaja

Absolutely,Pengo is our leader deserve to be respected by that guy
This is too much..
Mpuuzi ni mtu anayepuuzia mambo ya muhimu! Mjinga ni mtu asiyejua! Mpumbavu ni mtu asiyejua ila akifundishwa anajua/anaelewa...Tusi liko wapi hapo?
Halafu hivi Pengo alishindwa kuitaadharisha na serikali isiwaambie wananchi waipigie katiba kura ya Ndio?

Pumbavu,demokrasia ya wapi inasema uwaambie watu jinsi ya kupiga kura?Mpuuzi ni mtu anayepuuzia mambo ya muhimu! Mjinga ni mtu asiyejua! Mpumbavu ni mtu asiyejua ila akifundishwa anajua/anaelewa...Tusi liko wapi hapo?