NDAGLA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 2,490
- 1,357
Sampuli ya Wasaliti na wanafiki kama Pengo? Wapo wengi na yawezekana wewe pia ni mmoja wapo.
Mkuu tatizo ni hiyo lugha aliyoitumia kumshambulia kwenye hadhara ya watu haijakaa vizuri kwa mtu anayejiita mchungaji ingekuwa ni konda wala isingekuwa na shida.
Anyways,nashukuru huo upumbavu unaoitwa dini niliachana nao miongo kadhaa sasa.
Ukiona watu wanakubaliana katika kila jambo jua kuna wengine hawafikirii kabisa ama ni wanafiki na mnapotofautiana lugha za kuudhi siyo njia nzuri ya kuwekana sawa tena kwa watu wanaojiita viongozi wa kiroho.
