Mlamba asali
JF-Expert Member
- Dec 11, 2022
- 1,152
- 2,270
Dogo kajaa kwenye ringi kifala sana.Tumekusikia, kesho asubuhi anakutana na Termination Letter.
Wairaq Wana hasira sana, na huyo mama alimpigia kumchokonoa Ili ajae, nae kajaa kifalaHicho kijamaa ndio kinasema kinaweza kata kichwa mtu ?
Mbona hakina ubavu huo, mwisho hapo kinabadili tu upepo kuwa akikutana nae atamkata vibao.
Hakuna mtu atapanga amkate mtu kichwa halafu aseme, hiyo ilikuwa hasira tu katika mazungumzo.
Yawezekana hata kuchinja kuku tu kwa kisu hajawahi.
CRDB walishatemana nae tangu 2020.Crdb inabidi wamchukulie hatua huyu.... Anaaibisha hadhi ya kampuni
Ngafu fijo fijo.mbombo ngafu....🙌
Ni kama nimemwelewa vizur huyo kijana aliyefanyiwa huo ukatili ni mchaga ndio maana akasema aachie wachagga wasambazeameharibu zaidi. na pale anasema aachie wachagga wasambaze ndio ameonyesha ukabila na ujinga mkubwa sana.
Kwanini Kamati ya Kinga,Maadili,haki na Madaraka ya Bunge haijamuita Gekul mpaka sasa?Anapaswa kufungwa, nje ya kifungo tunamuonea Paulina...
Haki yake ni kufungwa...
Bora mmeclear mapema hatukawii kuanza kampeni ya Kataa CRDB .CRDB nao wamemkataa wanasema sio mfanyakazi wao wanasema aliacha kazi tangu 2020
View attachment 2825924
Mama Kenny Park ndie Mchaga.Ni kama nimemwelewa vizur huyo kijana aliyefanyiwa huo ukatili ni mchaga ndio maana akasema aachie wachagga wasambaze
Naonga mkono hoja tutashindwa kutafuna watoto wazuri wa ki iraq kisa dada yao kuingiza watu chupa mikunduniMti wa Mzee Philipo Gekul naona umeshakauka matawi yameshaanza kupukutisha majani. Hiyo familia Wairaqw wajitenge nayo vinginevyo AIBU itakuwa ya Kabila zima badala ya familia ya Mzee Gekul.
Nasikia leo sisiemu Babati walikaa kumjadili na kesho watakuja na maazimiotayari dada ake aishapoteza image ya kisiasa, itamuathiri kutaka tena kuwania ubunge. Hapo ndio basi tena, aanze kutafuta kazi ya kufanya nje na siasa. Keshaonekana ni muhuni
Sisi tutakuoa wewe kama mke mdogo, shenzi.Nikiwaambiaga:
- Jamii yote ya babati haifai kuoa hamuelewi, panda Mpaka Kondoa, zote ni za kukwepa kuoa.
tayari dada ake aishapoteza image ya kisiasa, itamuathiri kutaka tena kuwania ubunge. Hapo ndio basi tena, aanze kutafuta kazi ya kufanya nje na siasa. Keshaonekana ni muhuni
Sisapoti alichosema huyo jamaa. Na inaonekana dakika za mwisho ni kama alihisi anrekodiwa.View attachment 2825594
EMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu kusambaza video za Hashimu Ally.
HASHIMU ameeleza jinsi alivyotekwa, kuteswa akiwa ameshikiwa bastola na kuwekewa chupa sehemu yake ya haja kubwa kwa amri ya Pauline Gekul, akiwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria. Wakazi wa Babati Mjini walichukizwa na kitendo hicho, wengine wakaamua kusambaza taarifa ile WhatsApp.
EMMANUEL GEKUL anasikika katika video hiyo yenye sauti akimchimba mkwara mzito na kumueleza PAULINA SLAA NARSIS atamkata kichwa na kumpiga risasi kwa kusambaza video hizo za Hashimu. Gekul ametukana matusi mengi ya nguoni. Gekul anatamba kwamba anaweza kumuua na Babati ikatulia.
PAULINE na EMMNAUEL wanapata kiburi kwa nani? RPC Manyara upo? RCO upo? Raia wa Babati anatishiwa maisha yake kwa sababu ya kusambaza taarifa za UOVU wa PAULINE GEKUL? Familia ya GEKUL imelimeza jeshi la polisi Manyara na Babati wanaitawala kifalme? Tunataka EMMANUEL anachukuliwa hatua za kisheria iwe fundisho.
PAULINA SLAA NARSIS ametoa taarifa za kutishiwa kuuwawa kwa kuchinjwa na kupigwa risasi na EMMANUEL GEKUL, lakini hadi sasa hakuna lolote ambalo linaendelea. RPC unajua vizuri hili suala. EMMANUEL GEKUL anasema jeshi la polisi Manyara kwake siyo lolote na haogopi. Je, ni kweli familia ya GEKUL imelishika jeshi la polisi Manyara?
IGP, tunataka jeshi la polisi Manyara na Babati, lichunguzwe na ikibainika kuna watu wanakula njama za kutenda uhalifu kwa kushirikiana na familia ya GEKUL, wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria. Hatuwezi kuwa na watu katika utumishi wa jeshi la polisi wanaoshirikiana na wahalifu kutenda UHALIFU wa kutisha kwa binadamu wenzao.
Ana bonge ya flat screen toleo jipyaIla Pauline ni toto mashallah. Anajaa mkononi
hujamwelewa. alikuwa anasema wachagga mwenzao akiwa na tuhuma huwa wananyamaza, hawasambazi isije chafua kabila lote la wachaga, na alikuwa anamaanisha kwamba wairaq kwasababu waziri kachafua mama asisambaze hilo jambo litaharibia wairaq wote, alikuwa ana maana wajifunze kwa wachaga, na ni kama hapo kuna bifu la wairaq na wachaga kwenye chama, na walilenga kwenye uchaga kwasababu chadema alikotoka yule dada wanatuhumiwa kuwa ni wachaga.Ni kama nimemwelewa vizur huyo kijana aliyefanyiwa huo ukatili ni mchaga ndio maana akasema aachie wachagga wasambaze
Hii imeshakuwa "inshu" sasa.View attachment 2825594
EMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu kusambaza video za Hashimu Ally.
HASHIMU ameeleza jinsi alivyotekwa, kuteswa akiwa ameshikiwa bastola na kuwekewa chupa sehemu yake ya haja kubwa kwa amri ya Pauline Gekul, akiwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria. Wakazi wa Babati Mjini walichukizwa na kitendo hicho, wengine wakaamua kusambaza taarifa ile WhatsApp.
EMMANUEL GEKUL anasikika katika video hiyo yenye sauti akimchimba mkwara mzito na kumueleza PAULINA SLAA NARSIS atamkata kichwa na kumpiga risasi kwa kusambaza video hizo za Hashimu. Gekul ametukana matusi mengi ya nguoni. Gekul anatamba kwamba anaweza kumuua na Babati ikatulia.
PAULINE na EMMNAUEL wanapata kiburi kwa nani? RPC Manyara upo? RCO upo? Raia wa Babati anatishiwa maisha yake kwa sababu ya kusambaza taarifa za UOVU wa PAULINE GEKUL? Familia ya GEKUL imelimeza jeshi la polisi Manyara na Babati wanaitawala kifalme? Tunataka EMMANUEL anachukuliwa hatua za kisheria iwe fundisho.
PAULINA SLAA NARSIS ametoa taarifa za kutishiwa kuuwawa kwa kuchinjwa na kupigwa risasi na EMMANUEL GEKUL, lakini hadi sasa hakuna lolote ambalo linaendelea. RPC unajua vizuri hili suala. EMMANUEL GEKUL anasema jeshi la polisi Manyara kwake siyo lolote na haogopi. Je, ni kweli familia ya GEKUL imelishika jeshi la polisi Manyara?
IGP, tunataka jeshi la polisi Manyara na Babati, lichunguzwe na ikibainika kuna watu wanakula njama za kutenda uhalifu kwa kushirikiana na familia ya GEKUL, wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria. Hatuwezi kuwa na watu katika utumishi wa jeshi la polisi wanaoshirikiana na wahalifu kutenda UHALIFU wa kutisha kwa binadamu wenzao.
Umeandika ugoloSio utetezi. Kinachotakiwa Sasa ni kuhakikisha huyo mtuhumiwa Pauline Gekul anakamatwa na kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma zake ili haki ya huyo mtoto ipatikane.
Kinachoonelana hapo ni watu wanaofahamiana, kabila Moja ,wanategeshewa makosa mengine ,Africa Mzee familia yenu ikitoboa the rest ndugu zako ni wakala hoi, hakuna rangi utaacha kuona hata ujipendekeze vipi wewe ni mtuhumiwa tuu
Ukipata tuhuma, zikiwa haziishi, Kila ukifungua chombo Cha habari unsisikia, Kila gaziti head line, Kila kundi la Whatsapp Wana forward bila kujali kuwa ndugu zake wapi Wana forward halafu anaandika " hii imekaje wadau" familia nzima inaugua ndio maana wazungu katika DOCTRINE OF RESJUDICATA Kuna principle yake inasema Interest Reipublicae Ut Sit Finis Litium ikimaanisha jamii inahitaji jambo likianza lifike mwisho
Mara nyingi Wana harakati na wanasiada huwasha moto sio kwa sababu ya kile kilichotokea Bali Wana ma ajenda Yao ikitokea kitu Cha namna hiyo wananlink ili kusukuma ajenda zao. Bila kusahau muda wa Kampeni za ubunge zinakaribia hivyo Kila mtu anatafuta nitoke vipi