Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Mikono yao inanuka damu. Hivi watu wa BaBATI WALIONA NINI KWA GEKUL NA KUMPA UBUNGEHiyo familia ni ya hovyo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikono yao inanuka damu. Hivi watu wa BaBATI WALIONA NINI KWA GEKUL NA KUMPA UBUNGEHiyo familia ni ya hovyo sana.
Wanatakiwa wafungweKutishia mtu kuua ni kosa zaidi ya kosa!
Yani mtu afanye ujinga wake halafu unataka afarijiwe?crdb wamemkana Emanuel, my classmet pale bush sek , mwamba alikuwa ni mkimya hata hawez kuongea na mtu.
Alishapata ujanja wa kuongea hadi kutukana.
Usiombe likukute. Hii familia inahitaji faraja siyo wakat wa kushangilia matatizo ya mtu. Kuna Leo kwake kesho kwakoView attachment 2825932
Aingiziwe chupa tu huyo mbunge na kaka ake manina zaoAkwende zake huko.
Hana uwezo wowote wa kuua.
Kwanza hizo Bunduki tunanunua sisi kwa kodi zetu.
Na akibisha hata yeye atashughulikiwa vile vile.
Tena sana angejuaje kuwa ni sahihi kumtendea mwenzie hivyoInavyoonekana na mh mbunge nae anaenda kwa mpalang
Ugaidi uko Gaza vipi bado una hamu? Najua huna marindaTena gaidi mbowe akinyogwa liwe fundisho kwa magaidi wengine
Gaid mbowe anapaswa kuhukumiwa kunyongwa mpaka kufa tena akinya na mavi yake nayo yanyongwe gaidi kabisaUgaidi uko Gaza vipi bado una hamu? Najua huna marinda
Magaidi wote ni waumini wa dini ya hakiGaid mbowe anapaswa kuhukumiwa kunyongwa mpaka kufa tena akinya na mavi yake nayo yanyongwe gaidi kabisa
Mbowe sidhani kama ni gaidi manaa angeshakimbia nchiMagaidi wote ni waumini wa dini ya haki
Mimi kilichonishangaza na kuniuma kwenye hili sakata ni kwamba muhusika mkuu wa hili tukio ni naibu(yaani waziri namba mbili) wa Katiba na Sheria, aisee hii dunia ina binadamu wanafiki sana, yaani ukiona jinsi wanavyokula kiapo huku wameshika bible siku wakiww wanatunukiwa hivyo vyeo.... Utasema ni watu na Mungu kawaona, kumbe ni binadamu wenye roho chafu sana kuliko hata mitaro ya stendi.Mtu ni Naibu waziri anafanyia watu ukatili wa kijinsia, anafundisha wadogo zake jeuri na kukosea wakubwa zake adabu , angekuwa waziri kamili au waziri mkuu au raisi kabisa ingekuwaje ??
Hii ni shida kabisa
Hili jinga linathibitisha wazi kwamba tukio lilikuwepoEMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu kusambaza video za Hashimu Ally.
HASHIMU ameeleza jinsi alivyotekwa, kuteswa akiwa ameshikiwa bastola na kuwekewa chupa sehemu yake ya haja kubwa kwa amri ya Pauline Gekul, akiwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria. Wakazi wa Babati Mjini walichukizwa na kitendo hicho, wengine wakaamua kusambaza taarifa ile WhatsApp.
EMMANUEL GEKUL anasikika katika video hiyo yenye sauti akimchimba mkwara mzito na kumueleza PAULINA SLAA NARSIS atamkata kichwa na kumpiga risasi kwa kusambaza video hizo za Hashimu. Gekul ametukana matusi mengi ya nguoni. Gekul anatamba kwamba anaweza kumuua na Babati ikatulia.
PAULINE na EMMNAUEL wanapata kiburi kwa nani? RPC Manyara upo? RCO upo? Raia wa Babati anatishiwa maisha yake kwa sababu ya kusambaza taarifa za UOVU wa PAULINE GEKUL? Familia ya GEKUL imelimeza jeshi la polisi Manyara na Babati wanaitawala kifalme? Tunataka EMMANUEL anachukuliwa hatua za kisheria iwe fundisho.
PAULINA SLAA NARSIS ametoa taarifa za kutishiwa kuuwawa kwa kuchinjwa na kupigwa risasi na EMMANUEL GEKUL, lakini hadi sasa hakuna lolote ambalo linaendelea. RPC unajua vizuri hili suala. EMMANUEL GEKUL anasema jeshi la polisi Manyara kwake siyo lolote na haogopi. Je, ni kweli familia ya GEKUL imelishika jeshi la polisi Manyara?
IGP, tunataka jeshi la polisi Manyara na Babati, lichunguzwe na ikibainika kuna watu wanakula njama za kutenda uhalifu kwa kushirikiana na familia ya GEKUL, wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria. Hatuwezi kuwa na watu katika utumishi wa jeshi la polisi wanaoshirikiana na wahalifu kutenda UHALIFU wa kutisha kwa binadamu wenzao.
Kwa wenye nyazifa kwa utawal kwao sio kosa na atasafishwa na kuonekana hana hatia, mark this...Kutishia mtu ni kosa.
Watu wajitambue na waache upumbavu
Wambulu ndio wadudu gani we kimaWambulu wamejipaka kinyesi wenyewe
Madhara ya kuokota malaya na wahuni kama akina PAULINA GEKUL na kuwapa uwaziri ni makubwa sana kwa sasa,kuna vitu huwezi tarajia kama vinaweza fanya na waziri.Ni Aibu kubwa sana kwa Taifa.EMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu kusambaza video za Hashimu Ally.
HASHIMU ameeleza jinsi alivyotekwa, kuteswa akiwa ameshikiwa bastola na kuwekewa chupa sehemu yake ya haja kubwa kwa amri ya Pauline Gekul, akiwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria. Wakazi wa Babati Mjini walichukizwa na kitendo hicho, wengine wakaamua kusambaza taarifa ile WhatsApp.
EMMANUEL GEKUL anasikika katika video hiyo yenye sauti akimchimba mkwara mzito na kumueleza PAULINA SLAA NARSIS atamkata kichwa na kumpiga risasi kwa kusambaza video hizo za Hashimu. Gekul ametukana matusi mengi ya nguoni. Gekul anatamba kwamba anaweza kumuua na Babati ikatulia.
PAULINE na EMMNAUEL wanapata kiburi kwa nani? RPC Manyara upo? RCO upo? Raia wa Babati anatishiwa maisha yake kwa sababu ya kusambaza taarifa za UOVU wa PAULINE GEKUL? Familia ya GEKUL imelimeza jeshi la polisi Manyara na Babati wanaitawala kifalme? Tunataka EMMANUEL anachukuliwa hatua za kisheria iwe fundisho.
PAULINA SLAA NARSIS ametoa taarifa za kutishiwa kuuwawa kwa kuchinjwa na kupigwa risasi na EMMANUEL GEKUL, lakini hadi sasa hakuna lolote ambalo linaendelea. RPC unajua vizuri hili suala. EMMANUEL GEKUL anasema jeshi la polisi Manyara kwake siyo lolote na haogopi. Je, ni kweli familia ya GEKUL imelishika jeshi la polisi Manyara?
IGP, tunataka jeshi la polisi Manyara na Babati, lichunguzwe na ikibainika kuna watu wanakula njama za kutenda uhalifu kwa kushirikiana na familia ya GEKUL, wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria. Hatuwezi kuwa na watu katika utumishi wa jeshi la polisi wanaoshirikiana na wahalifu kutenda UHALIFU wa kutisha kwa binadamu wenzao.
Ndio mana huna marindaMbowe ni gaidi na uaji, anatakiwa kuhukumiwa kunyogwa mpaka kufa kabisa maana ushahidi unazidi kujionesha na genge lake