Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 957
- 1,124
Aise apewe ulinzi kabisa, wanaweza kumdhuru waliobaki!Huyo PAULINA ana elimu gani? Mbona ana akili sana? Amavyowaumbua wenye vyeo na elimu Kama watoto wadogo!
APEWE ULINZI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise apewe ulinzi kabisa, wanaweza kumdhuru waliobaki!Huyo PAULINA ana elimu gani? Mbona ana akili sana? Amavyowaumbua wenye vyeo na elimu Kama watoto wadogo!
APEWE ULINZI
Wao viongozi ndio inabidi wakemee huu ujinga wa kuamini waganga wa kienyeji. Mganga atakwambia chochote kutokana na anavyoisoma akili yako ili mdomo uende kinywani.Hawa ndiyo wale waganga wanawaambia wakaue albino wanaenda kuuwa ili wapate vyeo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
HakikaHiyo familia ni corrupt.
Haina disciple.
Naambritanicca mtu wangu inakuwaje?
Toka lini wamburu wakawa na matako bana,Nyambafu zake huyu mwanamke naye asekwe jela wakamtie chupa ya Hennessey kabsa,amemdhulum kijana wa watu vibaya mnooHiyo flat screen ya pauline gekul ni kama hizi frameless za Hisense?
...hata singida nako si kuzuri sanaNikiwaambiaga:
- Jamii yote ya babati haifai kuoa hamuelewi, panda Mpaka Kondoa, zote ni za kukwepa kuoa.
Mnafaidika nini kwa kuzusha mambo ya uongo..?Hongereni wananchi wa Babati.
Haki imeshinda,Umoja wenu ndiyo ulinzi wenu sasa mtuhumiwa wetu yupo katika mikono salama ya Jeshi la Polisi Tz.
Jaribio lake la Kutoroka mkono wa sheria limezimwa na Wananchi na sasa Polisi wamemtia mbaroni mualifu wetu.
Sasa anachukuliwa MAELEZO YA ONYO katika Ofisi za RCO,Manyara
Pauline Gekul alipanga kutokea Nairobi,Kenya [emoji1139] leo alfajiri baada ya jana Gekul kupata taarifa za kutaka
1.kushtakiwa na 2.Kufukuzwa uanachama wa CCM Wilayani Babati.
Umoja mlio onyesha wananchi wa Babati usiishie hapo tu.
Jutitokeze Kwa wingi Mahakamani ili haki iweze Kuonekana ikitendeka.
Najua Babati inafuraha kama imepata uhuru tangu Jana,lakini tuendelee na kazi ya doria.
Ukatili na ualifu dhidi ya utu unapaswa Kupingwa na dini zote,Itikadi zote na jamii yote mahala popote.
View attachment 2826266
Sent using Jamii Forums mobile app
...hata singida nako si kuzuri sana
CRDB wameshatoa tamko kwenye official pages zao kwamba sio mfanyakazi wao... acha uropokaji na ushabiki.Crdb inabidi wamchukulie hatua huyu.... Anaaibisha hadhi ya kampuni
Kahabatishwa,,[emoji23][emoji23][emoji23]Wabongo wakikubahatisha utakoma
Kabahatishwa tena vibaya sana😂😂Kahabatishwa,,[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni series ya kutafutana kisiasa, na bahati mbaya mtafutwaji hakugundua mapema.View attachment 2825594
EMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu kusambaza video za Hashimu Ally.
HASHIMU ameeleza jinsi alivyotekwa, kuteswa akiwa ameshikiwa bastola na kuwekewa chupa sehemu yake ya haja kubwa kwa amri ya Pauline Gekul, akiwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria. Wakazi wa Babati Mjini walichukizwa na kitendo hicho, wengine wakaamua kusambaza taarifa ile WhatsApp.
EMMANUEL GEKUL anasikika katika video hiyo yenye sauti akimchimba mkwara mzito na kumueleza PAULINA SLAA NARSIS atamkata kichwa na kumpiga risasi kwa kusambaza video hizo za Hashimu. Gekul ametukana matusi mengi ya nguoni. Gekul anatamba kwamba anaweza kumuua na Babati ikatulia.
PAULINE na EMMNAUEL wanapata kiburi kwa nani? RPC Manyara upo? RCO upo? Raia wa Babati anatishiwa maisha yake kwa sababu ya kusambaza taarifa za UOVU wa PAULINE GEKUL? Familia ya GEKUL imelimeza jeshi la polisi Manyara na Babati wanaitawala kifalme? Tunataka EMMANUEL anachukuliwa hatua za kisheria iwe fundisho.
PAULINA SLAA NARSIS ametoa taarifa za kutishiwa kuuwawa kwa kuchinjwa na kupigwa risasi na EMMANUEL GEKUL, lakini hadi sasa hakuna lolote ambalo linaendelea. RPC unajua vizuri hili suala. EMMANUEL GEKUL anasema jeshi la polisi Manyara kwake siyo lolote na haogopi. Je, ni kweli familia ya GEKUL imelishika jeshi la polisi Manyara?
IGP, tunataka jeshi la polisi Manyara na Babati, lichunguzwe na ikibainika kuna watu wanakula njama za kutenda uhalifu kwa kushirikiana na familia ya GEKUL, wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria. Hatuwezi kuwa na watu katika utumishi wa jeshi la polisi wanaoshirikiana na wahalifu kutenda UHALIFU wa kutisha kwa binadamu wenzao.
Baada ya miezi 3-6, na pauline akajituliza kimyaa, mama anamteua tena naibu waziri.Sijui mnalipwa na nani kumchafua huyo dada wa watu. Kama mzoefu wa siasa za Tanzania, hii ngoma wanapigiwa watu wajinga na wanaicheza.
Umeshapanic 😂
Mbowe angekuwa kama wewe unadhani Chadema ingekuwepo leo !!!
We kabavicha bure Kabisa