Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Yani mtu afanye ujinga wake halafu unataka afarijiwe?
 
Mtu ni Naibu waziri anafanyia watu ukatili wa kijinsia, anafundisha wadogo zake jeuri na kukosea wakubwa zake adabu , angekuwa waziri kamili au waziri mkuu au raisi kabisa ingekuwaje ??
Hii ni shida kabisa
Mimi kilichonishangaza na kuniuma kwenye hili sakata ni kwamba muhusika mkuu wa hili tukio ni naibu(yaani waziri namba mbili) wa Katiba na Sheria, aisee hii dunia ina binadamu wanafiki sana, yaani ukiona jinsi wanavyokula kiapo huku wameshika bible siku wakiww wanatunukiwa hivyo vyeo.... Utasema ni watu na Mungu kawaona, kumbe ni binadamu wenye roho chafu sana kuliko hata mitaro ya stendi.
 
Hili jinga linathibitisha wazi kwamba tukio lilikuwepo
 
Oh,hii habari nilikuwa sijaipata bado. Pauline Gekul,amefanya nini tena? Amemwingiza mtoto chupa matakoni? Good God!
 
Madhara ya kuokota malaya na wahuni kama akina PAULINA GEKUL na kuwapa uwaziri ni makubwa sana kwa sasa,kuna vitu huwezi tarajia kama vinaweza fanya na waziri.Ni Aibu kubwa sana kwa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…