Dah hio vua Engine weka ingine tuMkuu Extrovert , nikipiga resi taratibu huo mlio unaishia kwenye rpm 1,200 hivi. Resi zaidi ya rpm 1,200 huo mlio unapotea.
Pia hata kwenye kudrive, huo mlio unasikika kwenye low rpm (rpm 1,200 and below) tu.
Hivyo, hiyo knock sound inaanza kutokea pale tu engene inapokuwa warmed-up (at running temperature), at idle, also at low rpm when driving (rpm 1200 max).
N.B: Engine ikiwa cold, knocking sound haipo kabisa!
Engine ikishapata joto (warmed up) ndipo knock sound huanza, only at idle & low rpm driving.
knock sound inaanza kutokea pale tu engene inapokuwa warmed-up (at running temperature), at idle, also at low rpm when driving (rpm 1200 max).
N.B: Engine ikiwa cold, knocking sound haipo kabisa!
Engine ikishapata joto (warmed up) ndipo knock sound huanza, only at idle & low rpm driving.
hivi timing chain ndiyo belt? shukrani mkuu. nitafuatilia
Gari yangu ilikua na mlio kama wako, yaliyonikuta sina hamu... kifupi ilibidi ni overhaull the entire engine.
Mkuu Planett , naomba ushee nasi hapa kama una lolote la kutujuza... tupe huo mkasa wako kuhusu hiyo knocking sound... ilianzaje? Ilisababishwa na nini? Ulitibu vipi?
Kuhusu my case, background history iko hivi:
Gari niliagiza Japan. Inaelekea kufikisha miaka miwili sasa.
1. Tangu niipokee huwa inapunguza coolant, kwa kiwango kidogo.... hadi sasa (karibia miaka miwili) nimetumia coolant Lita 1 na robo kwaajili ya kuongezea kila inapopungua.
2. Ndani ya mwaka wa kwanza, eksozi iliziba/ilijaa masega na gari kukosa kabisa nguvu mlimani. Tukaondoa masega na power ikarejea vizuri kama awali.
3. Ndani ya mwaka huu wa pili, ikaanza hiyo knocking sound kwenye engene. Knocking hii hutokea pale tu engene ikiwa na full temperature (warmed up) at idle and low rpm. Yaani engene inapokuwa fully warmed up na ukasimama at idle ndipo hiyo knocking sound inaanza, na ukiendesha knock inakuwepo at low rpm only, mwisho rpm 1,200 knocking inapotea. Kwenye cold start knocking sound haipo kabisa, ni mpaka engene inapokuwa fully hot.
4. Hivi karibuni, services mbili zilizopita, oil imeanza kupungua kwa kiwango kidoooogo sana. Pia jana nimeona mfuniko wa kwenye engene oil unachafuka, yaani pembezoni mwa mfuniko kuna unyevu nyevu wa oil kama kuvujia vile. Hii hali ndo nimeiona jana kwa mara ya kwanza.
Gari naona bado inakimbia vizuri. Service nazingatia kwa wakati, na plag natumia denso iridium genuine.

Nimesikiliza tena mlio huo na kugundua kitu cha pili inawezekana una bearing ama za waterpump, idler au za air conditioner zimeshasagika. Kwa vile unapoteza coolant, inawezekana sana kuwa bearing za waterpump zimeshasagika; waambie mafundi wako waangalie bearing hizo pia. Unaweza kuwa unahitaji water pump mpya.
Mkuu Kichuguu , water pump mbovu yaweza sababisha knocking sound ya namna hiyo? If yes, kwanini hii knocking inatokea only at idle when the engene gets warm? Why at cold start knocking haipo?
Nilizungumzia bearings, siyo water pump yenyewe. Bearing yoyote kwenye serpentine belt system au the timing belt system ikifa, unaweza kupata mlio huo. Friction huongezeka injini ikipata joto, hivyo mlio unakuwa mkubwa zaidi. Halafu injini ikiwa na spid kubwa mlio wa bearing unamezwa na muungurumo wa injini kwa vile frequency ya mlio huo inaweza kuwa juu sana kuliko sauti ya injini; sauti za juu sana huwa hazisikiki vizuri masikioni mwa binadamu.Mkuu Kichuguu , water pump mbovu yaweza sababisha knocking sound ya namna hiyo? If yes, kwanini hii knocking inatokea only at idle when the engene gets warm? Why at cold start knocking haipo?
Mleta maada kama bado hujasolve shida yako na upo Dar nitafute. Ili tuweze kusikiliza huo mlio unatokea sehemu gani kwa kutumia hiki kifaa.Mkuu Kichuguu , water pump mbovu yaweza sababisha knocking sound ya namna hiyo? If yes, kwanini hii knocking inatokea only at idle when the engene gets warm? Why at cold start knocking haipo?
Mimi nasikia Knock hapo.