AUDIO: Nuhu Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu

AUDIO: Nuhu Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu

ha ha haaaaa na hii ni kick? or this time is real considering the situation... wacha atafute hifadhi
 
Wanatafuta kiki hao... na kama ni kweli Wema kafanya vibaya aliporekodiwa yeye alidhalilishwa ila kwa mziwanda ndio kawa bucha lao insta wanamshambulia na Wema anasifiwa kwa alichofanya
 
Nimeisikiliza Ig jamaa anatoswa live bila chenga kwenye acount ya kyusho_jitsu.
 
This woman ana matatizo, kwani huyu tu ndio amemkataa maishani mwake akaona aweke record ya kukumbuka, shame. Kutafuta kiki. Unasikitisha, si upo busy na your baby brother kwa umri kula bata huko.
 
Nuhu huwa namfananisha na stani bakora!hawana kitu chochote cha maana!ila kwa kupenda kick mpaka kero, yaani vitu vya kijinga tu. afu wanajiita mastaa wenye majina mjini..da! Ila bongo rahaa!!
 
Mziwanda alikuwa anahitaji hifadhi au? Maana shilole kafungiwa mwaka mzima atakosa pa kula.
 
I think kwa wanawake kutongozwa ni kawaida.sijui why Aliamua kutangaza about huyu mtoto
 
Back
Top Bottom