Wanatafuta kiki hao... na kama ni kweli Wema kafanya vibaya aliporekodiwa yeye alidhalilishwa ila kwa mziwanda ndio kawa bucha lao insta wanamshambulia na Wema anasifiwa kwa alichofanya
This woman ana matatizo, kwani huyu tu ndio amemkataa maishani mwake akaona aweke record ya kukumbuka, shame. Kutafuta kiki. Unasikitisha, si upo busy na your baby brother kwa umri kula bata huko.
Nuhu huwa namfananisha na stani bakora!hawana kitu chochote cha maana!ila kwa kupenda kick mpaka kero, yaani vitu vya kijinga tu. afu wanajiita mastaa wenye majina mjini..da! Ila bongo rahaa!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.