Alimpiga mkwara singa singa akafa kwa presha mjini Arusha, baada kutaka Yeye (mr singh) na wakili wake wamuone ndani ya siku saba ! Siku ilipofika Mrema akapokea summons ya Mahakama Kuu. Akamtaka radhi Wakili !
Tena akabadili safari za mabasi usiku zikawa mchana na kusaidia kupunguza ajali zilizokuwa zimeshamiri kwa kipindi hicho.