Augustino Mrema: Behind the Scene

Augustino Mrema: Behind the Scene

Alimpiga mkwara singa singa akafa kwa presha mjini Arusha, baada kutaka Yeye (mr singh) na wakili wake wamuone ndani ya siku saba ! Siku ilipofika Mrema akapokea summons ya Mahakama Kuu. Akamtaka radhi Wakili !

Tena akabadili safari za mabasi usiku zikawa mchana na kusaidia kupunguza ajali zilizokuwa zimeshamiri kwa kipindi hicho.
 
Ni mgombea rais wa kwanza wa upinzani kushinda lakini kura zake zikachakachuliwa na NEC 1995.
 
mkuu
Augastine Mrema aliwahi kuwa afisa usalama katika wizaraya mambo ya ndani wakati huo Mzee Ali Hasan Mwinyi alikuwa waziri wa mambo ya ndani .... miaka ya 1980's kulitokea mauaji ya watu waliosadikika ni wachawi huko mwanza/shinyanga na Mwinyi kama waziri na Mrema walijiuzulu kupisha uchunguzi na uwajibikaji

Aliwahi kutamka mwaka jana kuwa hii kazi ya usalama wa taifa bado analipwa na bado anaendelea nayo. Japo yupo kwenye chama cha upinzani!
 
Back
Top Bottom