Augustino Mrema kufunga ndoa Machi 24, 2022. Amepata kimwana mdogo

Augustino Mrema kufunga ndoa Machi 24, 2022. Amepata kimwana mdogo

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
1647837764134.png

Picha: Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema

Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa siku ya Alhamisi Machi 24,2022 katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha mkoani Kilimanjaro.
===

Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa siku ya Alhamisi Machi 24,2022 katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha mkoani Kilimanjaro.

Mrema atangaza kuoa tena, asema amepata "binti mdogo"

Mwenyekiti wa TLP Taifa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya PAROLE nchini Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa siku ya Alhamisi Machi 24,2022 katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha mkoani Kilimanjaro.

Mrema anafunga ndoa hiyo mara baada ya kumpoteza mke wake Rose Mrema aliyefariki dunia Mwaka jana.

Mrema amesema amepata "binti mwenye umri mdogo" mweupe ambaye ni chaguo lake na watafunga pingu za maisha mara baada ya kufuata taratibu zote za kikanisa pamoja na ulipaji wa mahari .

Amesema kilicho msukuma kuoa ni kumpata msaidizi wa kumsaidia katika maisha yake kwani yeye ni mzee na anaitaji mtu wa karibu wa kumwangalia na kumsaidia kwa ukaribu.

Mrema amesema anashukuru familia yake kwa kumkubalia.
 
Back
Top Bottom