Augustino Mrema kufunga ndoa Machi 24, 2022. Amepata kimwana mdogo

Augustino Mrema kufunga ndoa Machi 24, 2022. Amepata kimwana mdogo

Anaenda kuchukua hela za mzee anakuletea maana ukimwambia mzee akupe hela hata kupa nimekuelewa sana
Naunga mkono hoja
Screenshot_20220321-230016.jpg
 
Ina maana keshokutwa 24 August 2022 ndoa ilikuwa inasherehekewa kutimiza miezi 5?
RIP mzee wa Kiraracha kipenzi cha chama "chetu" CCM.
 
Back
Top Bottom