Augustino Mrema kufunga ndoa Machi 24, 2022. Amepata kimwana mdogo

Mwenyekiti wa TLP,Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa siku ya Alhamisi Machi 24,katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha huko Kilimanjaro.

Mrema ambaye pia ni Mwenyekiti wa bodi ya Parole Nchini anafunga ndoa hiyo mara baada ya kumpoteza mke wake Rose, aliyefariki.

IMG_20220320_203557.jpg
 
Ikumbukwe,
Hayati Rose alikuwa mwanafunzi wa mwl Agustino mrema akiwa mwalimu.

Anasema alimuona binti huyo akiwa darasa la sita akamsubiri mpaka alipomaliza masomo yake ndo akamuoa.

Pia mrema aliambiwaga ni mzee sana aache siasa akajibu
"mimi sio mzee muulizeni mke wangu"[emoji4]
 
Huyu mzee awe makini na huyo mtoto huwa wanapandisha sana mapigo ya moyo kwa wazee wakiwa kitandani.
 
sijui vijana tunakosea wapi. dingi kama huyu kaopoa kimwana mbichi kabisa wakati vijana tunapambana kila uchao hatuwapati. ama kweli uchawi upo.
 
#FAHAMU Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa siku ya Alhamisi Machi 24,2022 katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha mkoani Kilimanjaro...
Mhh! Umri wa uzee na kisukari, ataweza kweli kumpa kitu cha haja katika "matrimonial bed" na bi mdogo akaridhika!? Asije akaanza kuingia katika vita na machalii wa Kiraracha.
 
Mrema amesema amepata "binti mwenye umri mdogo" mweupe ambaye ni chaguo lake na watafunga pingu za maisha mara baada ya kufuata taratibu zote za kikanisa pamoja na ulipaji wa mahari .

😂 😂 😂 😂 Bongo ni hatari sana, yani kuoa mwanamke mweupe ni jambo kubwa sana
 
#FAHAMU Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa siku ya Alhamisi Machi 24,2022 katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha mkoani Kilimanjaro...
we picha, kwani shida nini unaleta story bila picha?
 
Ni sawa kabisa,mimi nadhani hili jambo jamii wanatakiwa walielewe maana ukiliangalia in Positive way,lina faida nyingi sana kuliko hasara!

Kama tu" Mke aliepatikana kweli amepatikna kwa Upendo toka ndani na wala si tamaa zake za mali.
 
Usemacho ni kwelii ukilitazama kwa upande mwingine mzee kaona mbalii nani wa kumsaidia mambo yake binafsi kama si mke si jambo jema kwa mzee kama yule kuajiri mtu wa kumsaidia mambo yake mfano, magonjwa kufua nguo zake hususani za ndanii
 
No comments..
Screenshot_20220320-213554.jpg
 
Back
Top Bottom