Aunt Ezekiel anamaanisha nini kuonesha hii alama?

Aunt Ezekiel anamaanisha nini kuonesha hii alama?

Mtoto wa aliye kuwa mchezaji hodari wa timu ya Simba AKA wazee wa matopeni Grayson Ezekiel au jina maarufu "Jujuman" Aunt Ezekiel naye kwa namna moja au nyingine ashaanza kujitangaza kama yeye ni mfuasi wa dini ya kishetani ya illuminati




View attachment 406150




Wafuasi wengine wa dini hiyo




View attachment 406151





View attachment 406152




View attachment 406153




View attachment 406154



View attachment 406155


Naona maisha yashaanza kumshinda akaona siyo kweli hawezi kufa na kiu baharini ngoja ajaribu upande wa pili





[HASHTAG]#Hance[/HASHTAG] mtanashati##siyo mtu##wa mchezo mchezo##
Umeanza
 
Wabongo tuna matatizo sana mnajaribu kumzungumzia mtu hadi kwenye kitu chake anavyopenda taabu kweli kweli.
 
Kwani akieka hivyo ndo anamaanisha ameaha ingia sasa mbona maisha take bado hayajawa kiiluminat
 
Daaaah mana apa Moro Kuna Noah flan inamabendera rangi nyekundu na namba za simu haha[emoji3]
Belive me sidhani kama ni wao...hawa watu are super rich. ..na huwa wana vipawa vya ajabu...huwa wakitaka kitu wanakipata. ..mind control strategies. ..wako kama waganga wa kienyeji wenye maono ya hali ya juu. ....
 
Back
Top Bottom