Aunt Ezekiel anamaanisha nini kuonesha hii alama?

Aunt Ezekiel anamaanisha nini kuonesha hii alama?

Waache wajiunge huko kama wanataka ingawa sidhani ana mvutooo kihivyo kuwafanya wale jamaa wamchukue kwenye jamii zao.
Kwa wanamuziki kwa ishara zao ni kama watatu hivi nawahisi
Kwa bongo movie tangu alipotangulia yule mmoja sijaona mwingine.
 
Mtoto wa aliye kuwa mchezaji hodari wa timu ya Simba AKA wazee wa matopeni Grayson Ezekiel au jina maarufu "Jujuman" Aunt Ezekiel naye kwa namna moja au nyingine ashaanza kujitangaza kama yeye ni mfuasi wa dini ya kishetani ya illuminati

View attachment 406150

Wafuasi wengine wa dini hiyo

View attachment 406151

View attachment 406152

View attachment 406153

View attachment 406154

View attachment 406155

Naona maisha yashaanza kumshinda akaona siyo kweli hawezi kufa na kiu baharini ngoja ajaribu upande wa pili

[HASHTAG]#Hance[/HASHTAG] mtanashati##siyo mtu##wa mchezo mchezo##

Mbona hata mimi huwa nafumba jicho langu mara moja moja? Inawezekana na mimi ni Illuminati?[emoji84][emoji89]
 
nafikiri amemisss kukazwa,akikazwa halafu alafu apigwe dole la kati la kiluminati aturuka mwaaaa ndio atatuo hiyo mikono machoni.
 
Hakuna cha illuminati,wanaoitwa illuminati wote walizaliwa ka wewe na mimi,ukiamini kuna illuminati utakufa masikini.ni ujanja tu kupumbaza masikini hili tuzidi kuwa masikini,mfano jay z historia yake mziki inajulikana mpaka kuwa milionea afu shenzy type wanakuambia illuminati,basi hata Mo dewji,Mengi,Bakhresa wote illuminati.
Wote hao ulowataja illuminate, we unadhani maandiko ya kwenye vitabu vya Mungu unadhani Mungu alikosea?? ,"Tajiri kuingia ufalme wa mbingu ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano,Mungu anakupa utajili wa kawaida sasa wengine wanataka utajili wa kutisha na umaarufu usokuwa na maana ndo maana wanajiunga na dini za kishetani ,
 
Hiyvo vitabu viliandikwa na wajanja, hakuna kitabu cha mungu kuna vitabu vya binadamu na binadamu na roho yake ndio mungu.
 
Back
Top Bottom