Aunt Ezekiel "Kwenye ndoa ni bao moja tu”. Ni kweli?

Hakuna mwanamke anayehimili kupigwa bao nyingi, kama ni nyigi basi ni mbili tu tena za fasta fasta. Wacheza x wenyewe wanapiga bao moja tu tena kwa kulirefusha muda lisiwe la harakaharaka. Kujisifu kupiga bao nyingi ni uongo, upige bao nyingi kwa afya gani? Mwanamke gani atakayevumilia umchubue? Bao ni moja tu na uke unakauka hapohapo shoo haindelei tena hadi baadae sana mwili ukijereti na kurichaji nguvu tayari kwa shoo nyingine
 
Mambo ya kupiga bao 3 mpaka 6 huo ni umasikini, matajiri na watu walioridhika na maisha goli 1 latosha. Akili na nguvu nyingi zitumike kutafuta maisha sio kwenye ngono. Ila waafrika kuna sehemu tulilaaniwa mtu anakamia kabisa magoli 6 , basi ndio maana life span ya waafrika ni kati 50 -60, wakati mataifa wengine 70-80 kiurahisi tu, tumeendekeza sana ngono.😀😀😀😀
 
Sema umekwama. Ugali unafanya watu kuwa wajinga.
Kama unataka kuwa na nguvu kula vyakula vya asili kabisa ya Africa kama viazi vikuu, viazi vitamu, mtama, n.k
Mahindi yaliletwa na Wareno siyo chakula cha asili cha Waafrica
Naona umeanza kutusi wakubwa zako kumbuka huo ugali ndio umekukuza wewe, we piga piga zako ugali na samaki kisha mwambie aisogeze uone maajabu
 
Naona umeanza kutusi wakubwa zako kumbuka huo ugali ndio umekukuza wewe, we piga piga zako ugali na samaki kisha mwambie aisogeze uone maajabu
Watoto wa sikuhizi kila mtu haujui ugali😅
 
Kumbuka kuwa wanaume wa dar ndiyo walio anzisha maandamano ya kumuondoa kahaba..
 
Wewe unaonekana hupati papuchi, mkono ruksa pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…